Instagram story viewer> @denzel_trainer> Posts
2.8M
followers
13
following
•BANKER BY PROFESSION
•CERTIFIED FITNESS COACH
•TRANSFORMATION EXPERT
•WELLNESS ADVOCATE
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
GSM 4 WEIGHT LOSS WORKOUTS. Please, make sure you add these 4 Workouts in your routine today, do 20x3 reps each. @gsmbeverage 

Hayo ni mazoezi manne mazuri ambayo GSM ameyafanya leo kwaajili yakupunguza uzito wa mwili wake, kumuongezea pumzi na kumfanya kuwa fiti zaidi.Fanyeni reps 20x3 kwa kila zoezi. 

TAFADHALINI! NAOMBA MNIPIGIE KWA HUDUMA YA PERSONAL TRAINING NITAKUFUATA POPOTE PALE ULIPO NA VIFAA.
#0718942338 #0718942338 #0718942338 #0718942338 #0718942338 #0718942338 by @denzel_trainer
411
2 years ago
Download
AHSANTENI SANA NDUGU ZANGU WA MKOA WA RUVUMA WILAYA YA SONGEA. NYUMBANI NI NYUMBANI.

Kwa heshima kubwa, napenda kumshukuru na kumpongeza Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa
Ruvuma Brig, Ahmed Abbas Ahmed, kwa mwaliko huu na kwa kuonyesha kwa vitendo kwamba afya ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma na watumishi ni msingi wa maendeleo. @rs_ruvuma 

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Wa Ruvuma pamoja na RIZIKI FOUNDATION, wamehakikisha Denzel Trainer nakuja nyumbani Songea kwa kuhakikisha nasaidia kuiboresha afya ya ndugu zangu kwa vitendo, huu ni upendo mkubwa. 

VIDEO SHOTED BY MY MANAGER @denzel_junior__ by @denzel_trainer
103
21 days ago
Download
IMEKUWA NI HESHIMA NA FURAHA KUBWA SANA KWANGU KUKUTANA NA  TREYSONGZ @treysongz PAMOJA NA TIMU YAKE.

Mimi Denzel Trainer, Moja ya ndoto yangu kubwa ni kuifungua Dunia kwa vijana wenzangu kupitia maarifa, fursa na ushirikiano na watu wenye mafanikio kutoka sehemu mbalimbali duniani. Natamani kuona Tanzania ikijivunia kuwa na wakufunzi bora, wenye weledi, nidhamu na sifa njema, wanaoweza kuipeperusha bendera yetu kwa heshima.

Nia yangu si kujijenga mimi pekee, bali kujenga kizazi kinachoweza kufungua milango kwa wengine kufanikiwa. Ninaamini tukipeana nafasi, maarifa na fursa, tunaweza kuifanya Tanzania ijivunie kupitia vijana wake duniani. by @denzel_trainer
475
2 months ago
Download
UKIWEZA KUFANYA HAYO MAZOEZI YA TUMBO NA UKAZINGATIA CHAKULA BASI LAZIMA UFANIKIWE.

Mazoezi yeyote yanayo husiana na kupunguza uzito wa mwili wako basi ni lazima uzingatie ulaji kwa asilimia kubwa sana ndio utafanikiwa. by @denzel_trainer
8
2 hours ago
Download
😂😂😂😂 HAWA NDIO WANAFUNZI WANGU BORA KUWAHI KUTOKEA KUTOKA SHAFA. 

Haya ni maziwa mapya yenye ladha kutoka Shafa Farms, yanayopatikana katika ladha tatu: chokoleti, stroberi na ndizi. Ladha tatu za kuongeza furaha katika siku yako! Utaanza kujaribu ipi? Onja musisimuko. @shafafarms.tz by @denzel_trainer
19
15 hours ago
Download
KWA WALE AMBAO MNASUMBULIWA NA VITAMBI NA HAMJUI MAZOEZI YAKUFANYA BASI FANYENI HAYO KWA MWEZI MZIMA.

BEGINNERS LEVEL DO 10x3 REPS EACH.
INTERMEDIATE LEVEL DO 16x3 REPS EACH.
ADVANCED LEVEL DO 20 OR 25x3 REPS EACH. 

Hayo Mazoezi yana ambatana na mpangilio mzuri sa vyakula, Acha kula vyakula vya wanga, achana kunywa vinywaji vyenye ngano na sukari. Acha kula matunda yenye sukari nyingi. by @denzel_trainer
14
16 hours ago
Download
YAOOOOOOOOO! Zoezi kwaajili yakujenga mguu wake uweze kuwa imara, wenye nguvu na mwepesi kufanya maamuzi uwanjani na kupiga mishuti.

NAOMBA MNIPIGIE KWA HUDUMA YA PERSONAL COACHING NITAKUFUATA ULIPO NA VIFAA VYANGU VYOTE #0718942338 by @denzel_trainer
61
a day ago
Download
Hii ni nafasi thabiti kwangu ya kugusa maisha ya watoto wetu wenye mahitaji maalumu kwa upendo, msaada na moyo wa kujitolea. Kila mtoto anastahili kuheshimiwa, kupendwa na kupewa nafasi ya kuishi kwa furaha na matumaini. Mchango mdogo kwetu unaweza kuwa sababu kubwa ya tabasamu na matumaini kwao. Tuendelee kushikana mikono, kujali na kuwasaidia watoto wetu, kwa sababu pamoja tunaweza kubadilisha maisha yao na kujenga kesho yenye mwanga zaidi. #TuwajaliWatotoWetu #KutoaNiUpendo #MsaadaKwaWatoto #TogetherWeCan” by @denzel_trainer
13
2 days ago
Download
JEMBE NI JEMBE BELLY FAT WORKOUTS. . . .

VITU AMBAVYO VITAMSAIDIA JEMBE KUPUNGUZA MWILI WAKE HARAKA SANA.

(1)-Akubali kunisikiliza na kuacha nitakacho muelekeza. 
(2)-Aache vyakula vyote vya ngano na mafuta.
(3)-Acha kutumia vinywaji vyote vyenye sukari, ngano na vitu vyenye baridi.
(4)-Azingatie muda wa kula.
(5)-Azingatie masaa ya kulala.
(6)-Ahakikishe anakunywa maji Glass 8 kwa siku.

Akifanya haya basi lazima afanikiwe, na matamanio yangu mimi Denzel Trainer kwa wanafunzi wangu ni kuona wanapata matokeo.

NAOMBA MNIPIGIE KWA HUDUMA YA PERSONAL COACHING #0718942338 by @denzel_trainer
44
2 days ago
Download
JEMBE NI JEMBE WEIGHT LOSS TRAINING. Jembe ni jembe amebahatika kupata mwili mkavu sana usio kuwa na mafuta mengi. Kwake Mafuta mengi kidogo yapo kwenye upande wa tumbo, ijapokuwa mwili wake una mifupa migumu kidogo lakini sio mnene, kama tutafanikiwa kupunguza uzito wa mwili wake, basi itakuwa rahisi sana kuweza kunyanyua uzito mkubwa na kujenga misuli ya mwili wake kirahisi sana. 

NAWAOMBA MNIPIGIE KWA HUDUMA YA HOME COACHING, ONLINE COACHING, COMPANY COACHING AND GROUPS COACHING VIA #0718942338 #0718942338 #0718942338 by @denzel_trainer
8
3 days ago
Download
YAO KOUASS ATTOHOULA TRAINING. . . .

Matamanio yangu kwa wanafunzi ninao watrain ni kuona matunda yao, hivyo nina amini na nina imani kubwa sana na ubora wa kazi yangu. by @denzel_trainer
47
3 days ago
Download
HAWA NI WATOTO WANGU WA SONGEA WENYE MAHITAJI MAALUMU.

Tuwape watoto wetu elimu ya afya na mazoezi tangu wakiwa shule ya msingi. Hata watoto wanaoishi katika mazingira yenye changamoto wanahitaji nafasi ya kujifunza, kucheza na kufanya mazoezi ili kujenga afya bora na maisha yenye matumaini. Afya ya mtoto ni msingi wa taifa lenye nguvu.

Jamii, wazazi na walimu tuchukue hatua leo! Tuwahimize watoto kufanya mazoezi, tuweke mazingira salama ya michezo, na tuwape elimu sahihi ya afya. Tukimjenga mtoto leo, tunajenga taifa bora kesho. by @denzel_trainer
5
3 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up