Instagram story viewer> @dijavabby> Posts
34
posts
1.6K
followers
153
following
I love Allah❤️🙏
I love my Parents 👩‍❤️‍👨
I believe myself 🥰
My young sis @princessdavan bff👭😘
I'm proud to be second born😜✌️
Business woman💪
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Usihadaike na uzuri wa nje wa kitabu raha ya stori uisome na ikufundishe kusudio husika na maudhui ya kitabu hicho,kwani unaweza ona kitabu kimechakaa nje ila ndani stori yake ni tamu na kurasa zote zimetimia😊👌 tupendane tukiwa hai❤️🙏karibuni #dijavafashion ujipendelee👌❤️🙏 by @dijavabby
17
3 months ago
Download
Siri ya maisha kwanza kabisa jipende na ujikubali sana sababu wewe ni wa kipekee na hatotokea kama wewe,pili Amini katika ndoto zako na uzipambanie haswa,tatu Ishi na watu vizuri mana tunategemeana unahitaji watu kwa mambo kadha wa  kadha,nne Jiheshimu sana mana ukijiheshimu utaheshmika na kamwe hadhi yako haitashuka🙏😊#dijavafashion karibu ujipendelee mteja kwetu ni mfalme👌❤️🙏kujipenda ndo kitu najuaga Alhamdullilah❤️🙏 by @dijavabby
12
3 months ago
Download
Unapopata wakati wa kufurahi🥂 na uwapendao❤️basi hakikisha unafurahi nao kweli kweli😊😘🎂🍽️ @princessdavan kadada❤️😘upendo ni kipaumbele chetu❤️😘🙏 by @dijavabby
6
3 months ago
Download
Hakika mungu ni mkubwa sana🙏 anajua shida na raha zetu,huzuni na furaha zetu,maumivu yetu kero zetu dhambi zetu na mema yetu🙏❤️na vyote vilivyomo ktk hii dunia umiliki ni wake yeye😊🙌anajua kuliko tunavyovijua🤌anaona kuliko tunavyoviona😊na wakati wake ni sahihi sana.Asante sana mungu nauona ukuu wako kila siku ktk maisha yetu🤲🙏🥰❤️ @dijavaqueen🥰 mwenye subra zangu,karibu #dijavafashion ujipendelee🙏❤️ by @dijavabby
20
6 months ago
Download
Indeed,it is another year again😊.Thanks god for everything🙏❤️.we pray that this year 2026🔥❤️ will be a very good year for us😊and that we will find success and that everyone whose desire in their heart will be fulfilled by God's power💪.Let's celebrate 🥂✌️🔥🙏.karibu Dijava fashion ujipendelee❤️🙏 by @dijavabby
7
7 months ago
Download
Upendo ni ngome kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku❤️,upendo ni silaha ya kuangamiza maadui💪,upendo hujenga msingi bora na imara katika maisha yetu ya kila siku❤️🥂,upendo huzaa wema na kujaliana,kupendana,kusapotiana ktk kila kitu🥰😊🙏,upendo uacha alama ya kudumu maishani😊upendo ni tuzo kubwa sana kutoka kwa mungu🙌🙏na haununuliwi  popote pale nashukuru kwa yote🙏😊❤️nawapenda sana hakika nimeuona upendo wenu kwangu🤌❤️🙏 @princessdavan udugu hazina yetu na upendo ni kipaumbele chetu siku zote @dijavabby 👸💝nimejaaliwa utajiri wa subra na upendo mwingi🥰🙏Alhamdullilah karibu # dijava fashion ujipendelee❤️🙏 by @dijavabby
17
7 months ago
Download
Mazuri na mabaya yote ni matokeo ya maisha🤌tunapaswa kuyakubali yote na kujifunza kwani maisha ni darasa lisilo na mwisho wa mafunzo kikubwa kutokata tamaa kwa lolote💪linalokuja mbele yetu🙏kwani hakuna anaeijua kesho yake yote ni matokeo tu.😊❤️🙏@dijavaqueen👸💝Alhamdullilah karibu #dijava fashion ujipendelee👌❤️🙏 by @dijavabby
15
8 months ago
Download
Love yourself❤️,accept yourself☺️,believe in yourself🤗,u are truly valuable and have a special purpose for being in this world🥰🙏.I love my self the way I am❤️👸.Let's love each other while we are alive❤️🌹🥰.@Dijavaqueen👸💝 love is my priority❤️🥂🤗🙏 by @dijavabby
9
10 months ago
Download
Makesure u forget the past in your life😊, correct where you went wrong🤷 and start a new beginning with a positive attitude🤗 that builds you up and not further destroy u @dijavaqueen👸💝Allah is everything🙏❤️ by @dijavabby
28
10 months ago
Download
Maisha yanatufundisha mengi sana kuna mengine tunayafuata na mengine tunayapuuza na kuyaacha yaende kama hayajapita mbele yetu kikubwa uhai na uzima ndo muhimu sana😊❤️🙏@dijavaqueen👸💝mungu kwanza mengine ndo yanafuata🙏❤️ by @dijavabby
8
10 months ago
Download
Once a day passes,it never comes back🤗.if you are lucky enough to be happy😊,be happy😊.life is very short🥂❤️😘@dijavaqueen👸💝karibu #Dijava fashion ujipendelee🤗🙏❤️ by @dijavabby
14
a year ago
Download
Hakuna aijuaye kesho yake tuishi kwa kupendana,kusaidiana,kuheshmiana,kuthaminiana,kujaliana,tuambiane tunapendana tukiwa hai❤️🌹tuonyesheane upendo tukiwa hai🤗❤️Nusu manyema Nusu chinga🙌🔥 @princessdavan😘 karibuni@dijava fashion ujipendelee🤗🙏❤️#dijavaqueen👸🥰alhamdullilah🙏 by @dijavabby
11
a year ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up