Instagram story viewer> @diji_mask> Posts
51
posts
12.2K
followers
585
following
▪️ Music Producer
▪️ chorus Killer
▪️ Diji Mask feat pop q _ Mama link 👇
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
#DijiMask with my brother @s.a.m.p.a.m.b.a @staminashorwebwenzi @rojamoah by @diji_mask
9
7 months ago
Download
My brother thanks so much kwa ushaur mzuri 🙏 nitaufanyia kazi naamin kesho yangu itakuwa yenye matunda @zest_soundkiller#mtuwakazi #DijiMask #zestsoundkiller@dijimask_fan_page by @diji_mask
12
10 months ago
Download
 by @diji_mask
0
5 days ago
Download
CHINI YA @applemusicsoundtz NMEFANIKIWA KUFANYA HII NAOMBENI SAPORT HATA LIKE NA COMENT UKIPENDEZWA UTA SHERE CC:@officialsamsilver @rojamoah @diji_mask @razady_tz @mr_somebody_official MMENIFIKISHA HAPA LEO by @diji_mask
4
6 days ago
Download
Vibe) MIAKA 8 ya @babamankaofficial My C E O @officialsamsilver @rojamoah @applemusicsoundtz by @diji_mask
26
24 days ago
Download
Pale Iringa Tarehe 28 mwezi wa sita siku ya Jumapili asiwepo wa Kukosa ndugu zangu tunaenda sherekea miaka 8 ya kwenye Mic ya Mtangazaji wetu namba moja nyanda za Juu kusini @babamankaofficial ukumbi wa Savanah Lounge #newmusic #shows #babamanka by @diji_mask
10
a month ago
Download
Ndugu zangu Leo ndio siku ya mwisho ya mazoezi hapa Ethiopia na kambi yetu ambayo ilikuwa maalumu kujiandaa na show yetu kubwa sana ambayo tunaifanya kila mwaka mkoani Iringa Tutaanza safari Leo kurudi Tanzania uwanja wa Mwalimu Nyerere Dar es salaam na kesho safari ya kwenda Iringa kwa show ya Miaka nane ya baba Manka ambayo itafanyika Savannah Lounge siku ya Jumapili Kama @applemusicsoundtz tutakuwa na wasanii na producer wote lengo kusikiliza wasanii na kuchukua watakao fanya vizuri ili kusaidia kusukuma mziki wetu wa Nyanda za juu kusini @dondoshanews simu ziite sasa kaka Tunarudi Leo Tanzania watu Waache kusema hatupokei simu watupigiage na whatsap #shows #babamanka #iringa #samsilver by @diji_mask
62
a month ago
Download
Msichoke wanangu kunisapoti tupo pazuri na tunakaribia kufikawimbo wangu wa #unanifaa upo dunia nzima na unafanya vizuri tuendelee kusikiliza na kudowload ndio ada za wanangu #unanifaa #mzikimzuri #bongovibes #soundtrack by @diji_mask
36
a month ago
Download
Hii ndio verse nilitamani kaka yangu @officialalikiba angenifungulia kwenye wimbo wangu huu unaitwa unanifaa upo hapo kwa bio na digital platform zote Nenda YouTube hapo Andika SamSilver Unanifaa utaipataDirected by @director_shadeah Produced by @dr.tone_tzMastered by @dr.tone_tzStudio @applemusicsoundtz#Unanifaa #SamSilver #BongoFlava #LoveSong #TanzaniaMusic #NewMusic #OfficialVisualizer #AfricanMusic #SwahiliMusic #musicvideos by @diji_mask
46
a month ago
Download
Kama una mpenzi wako mmeshibana nyakati zote basi mtumie huu wimbo utanishukuru sana #Unanifaa #SamSilver #BongoFlava #LoveSong #TanzaniaMusic #worldcup2026 #OfficialVisualizer #diamondplatnumz #SwahiliMusic #harmonize #musicvideos by @diji_mask
43
a month ago
Download
wimbo #huyuwasasa Producer @diji_mask Studio @applemusicsoundtz Distributor @onerpm by @diji_mask
6
2 months ago
Download
#huyuwasasa sasa inapatikana kwenye majukwaa yote ya kusambazia muziki.Mtayarishaji wa wimbo huu anaitwa @diji_mask Wimbo umeandaliwa katika studii za @applemusicsoundtz Msambazaji ni @onerpm karibu by @diji_mask
16
2 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up