Instagram story viewer> @ditso_mwanza> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
 by @ditso_mwanza
0
14 days ago
Download
Ugumu wa maisha ya chuo unategemeana na wewe utachagua maisha yaweje . by @ditso_mwanza
1
a day ago
Download
Chakula ,chai nakula kwa mama samia.

Sponsored by @ds_classic_wear by @ditso_mwanza
1
a day ago
Download
Second semester ndo imekata hivyo unaizungumzia vipi ?
@theworldcampus_ by @ditso_mwanza
1
a day ago
Download
Kwa siku natumia elfu 35 .

@theworldcampus_ by @ditso_mwanza
1
2 days ago
Download
Elimu ya bure kabisa kuhusu matumizi ya chumvi na sukari mwilini.

@theworldcampus_ by @ditso_mwanza
3
2 days ago
Download
Unajua nini kuhusu ubora  au viwango vya chakula ili kiweze kutumika kwenye mwili wa mwanadamu?
@theworldcampus_ by @ditso_mwanza
0
2 days ago
Download
DIT kampasi ya mwanza yazindua club ya maadili rasmi chuoni by @ditso_mwanza
0
2 days ago
Download
UZINDUZI WA KLABU YA MAADILI DIT MWANZA KAMPASI

Leo, tarehe 22 Julai 2026, Afisa kutoka Ofisi ya Rais – Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Kanda ya Ziwa, Bw. Samwel Daudi Omary, amezindua rasmi Klabu ya Maadili katika DIT Mwanza Kampasi.

Uzinduzi huo umelenga kuimarisha uelewa wa masuala ya maadili, uwajibikaji na uongozi bora miongoni mwa wanafunzi, pamoja na kuwajengea uwezo wa kuzingatia misingi ya uadilifu katika maisha yao ya kitaaluma na kijamii.

Katika hafla hiyo, viongozi wa kusimamia Klabu ya Maadili DIT Kampasi ya  Mwanza  wameteuliwa ili kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya klabu unafanyika kwa ufanisi.

Viongozi walioteuliwa ni pamoja na: Mwenyekiti – NEASTORY VENANCE GOBANYA; Katibu – WIVINA JOELI ANTONI; na Mweka Hazina – SUDAIS MOHAMEDI OMARI.

Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi wa Serikali ya Wanafunzi wakiwemo Chief Minister (Mtendaji Mkuu) pamoja na viongozi wengine. Pia imehudhuriwa na Mlezi wa Klabu hiyo Bw. Kaduma Charles.

#DITMwanza #Maadili #Leadership #PublicEthics #StudentLeadership taken in DIT Mwanza Campus by @ditso_mwanza
0
3 days ago
Download
Next video kuna madini mengi sana kuhusu maswala mazima ya food processing 

@theworldcampus_

Sponsored by @ds_classic_wear by @ditso_mwanza
0
3 days ago
Download
Maisha ya chuoni ni kweli ni maisha ya pata au ?

Sponsored by @ds_classic_wear by @ditso_mwanza
1
3 days ago
Download
DIT hakuna stress za msosi lakini kuna stress za masomo 
@theworldcampus_

Sponsored by @ds_classic_wear by @ditso_mwanza
2
3 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up