Instagram story viewer> @dstar_content> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Kuna mtu anakitafuta hicho unachokidharau wewe, na anaomba dua akikipata asikipuuze..

Kuna mtu mahali anashukuru kwa kidogo, halafu upo wewe, unalalamika kila siku kuwa ulichonacho hakikutoshi...

Kuna mtu ana kazi ya maana kuliko wewe, lakini amefumba kinywa chake, kuliko kelele zako..

Kuna mtu ana akili kukuzidi, ila humkuti kwenye mijadala, unayoibishia wewe bila hoja..

Kuna mtu anamiliki pisi kuliko yako, na haumii akiona unajiuliza, kwanini hamtangazi facebook..

Kuna mtu ana pesa kukuzidi, na haulizi watu swali la unajua mi nani, kama ufanyavyo wewe ukipata madusko kidogo tu..

Kuna mtu ana ushauri mzuri tu kwako, ila hakupi kwa sababu wewe unajua sana..

Kuna mtu ana matatizo mengi zaidi yako, ni vile tu hana mabango, kama unavyosimulia wewe shida zako kwa kila umuonae..

Kuna mtu kashavuka mstari wa maumivu ya kusemwa, yanayokufanya wewe uchukie watu, wakitaja tu jina lako kwenye story zao..

Kuna mstari mwembamba sana, kati ya kuwa matured na kufanya show off, hakikisha unauelewa.. by @dstar_content
9
7 months ago
Download
Hatuna cha kumuadithia Mungu wetu, yeye ndio mwandishi, na simulizi hii anajua itaishaje..

Vitabu vyetu havijaandikwa kushindwa milele, japo havitamaniki kusomwa kuanzia mwanzo, vimechakaa..

Hatulijui jua letu ndio, lakini kwanini tuna pumzi inayofanya vizuri kwenye pua zetu hadi leo?..

Kwa sababu moja tu, bado tunadaiwa na wanaocheka kipindi sisi tunalia ndani kwa ndani.

#WemanaMimi kwenye Story zetu za kila Leo taken in Kikuyu, Dodoma by @dstar_content
2
3 years ago
Download
HAPA NI WAPIII? 

Hapa ni sehemu ambayo Mwalimu Julius Nyerere alifika Julai 10, 1971 na kukaa  kwa muda wa miezi mitatu hadi Oktoba 30,1971 akiwa anaishi kwenye hema.

Hapa ni sehemu ambayo ilianzishwaa kutokana na kambi la vijana wa chama kilicholeta uhuru cha TANU (Tanu Youth League) 

Hapa nikatika eneo lililokuwa linaitwa Ipala Lyanhembo (fuvu la tembo) na kambi hiyo iliongozwa na Mzee Robina Ligoha.

Ambapo hapa Mwalimu Nyerere alitembelea kambi hiyo Mei 5,1969 kuona shughuli za uzalishaji wa zao la zabibu,

Ukakamavu na utamaduni ambapo katika hotuba yake kambini hapo alitoa agizo kwamba Watanzania wasiishi kama panzi, bali waishi kama nzige vijijini.

Hapa ni sehemu ya wananchi ambalo jina lake  linatokana na neno la Kigogo, Mwino likiwa na maana ya chumvi ambapo inaelezwa  hapo awali kulikuwa na bonde la chumvi lililokuwa likitumika kwa matumizi ya nyumbani.

BILA shaka wengi hawajui hapa ni wapi hapa ni IKULU YA CHAMWINO  iliyopo jijini Dodoma ambayo sasa ndio makazi Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania anaishi.

Iambie kila kona ya Dunia kuwa Hapa ni IKULU,  kata ya Buigiri, tarafa ya Chilonwa na Wilaya ya Chamwino, kilomita 40 kutoka katikati ya Jiji la Dodoma. taken in Kikuyu, Dodoma by @dstar_content
5
3 years ago
Download
Taarifa mbili tatu kutoka kwa champ wa KATORO kabla sijachukuwa jukumu la kwenda kujiopolea mtoto mzuri wa mchimba madini 😂 by @dstar_content
0
2 days ago
Download
We ni mbunge gani alikukosha kwenye bunge ja bajeti na kwanini? by @dstar_content
0
11 days ago
Download
1+🙏🎂

Amezaliwa Kaka na mwalimu wangu Roho ya Kinabii moyo mweupee usio hata na chembe ya unafki.. 

kwenye tatizo la mwingine hiyo imemaanisha kuondoka kwa amani yake pia kwa kulichukua na kulifanya la kwake..

Ilipohitajika suluhu ya jambo lolote lile basi hiyo ilimaanisha yeye atakuepo mpaka pale suluhu ya jambo hilo itakapo patikana..

Anaitwa Faraja Dogeje, mitaa inamtambua kama socialist na ni mmoja tu, unaweza kumuita Mulamu 

Mtu wa ku trust the process na falsafa ya do the does 

Lakini kwangu yeye ni kaka na mwalimu, zaidi ya mshikaji, huyu ndiye *MSIMAMIZI WA HARUSI YANGU* 

Wife popote ulipo mzingatie huyu! akitoa dosari tu kwako basi, kitumbua kimeingia mchnanga 

Kwenye Dua zangu za kila siku jina lako ni katika yale yasokosekana hata kwa bahati mbaya..

Happy birthday Kaka ishi sana mtu wa watu wewe..🙏 by @dstar_content
0
12 days ago
Download
Serikali ya taarifa maarifa kwenye kiwanda cha elimu na BURUDANI by @dstar_content
7
13 days ago
Download
Kuna mtu anaelekea kununua sanda muda huu, home ameuacha mwili wa mlezi wake kwa kilio..

Kuna familia imeshinda juu ya benchi hospitalini, wodini amelanzwa tegemezi lao kwenye vyote..

Kuna binti amepewa chaguzi la kuiamua kesho yake, kwa hatma ya kuutoa mwili wake, mbele ya vyeti bora anavyomiliki..

Kuna mshua yupo Bar, night aliushuhudia usaliti wa mkewe anayempenda, leo asubuhi ameachishwa kazi..

Kuna mwana yupo benchi kitambo, home ana mke anaekaribia kujifungua, kijijini mama amezidiwa..

Yupo mwanetu aliyeanza kufanikiwa, jina lake linakabidhiwa kwa mganga huko, kesho asiamke!..

Ipo ndoa inafungwa leo, yenye maslahi kwa mzazi, machozi kwa binti anaeolewa..

Kuna kijana anatekwa na wasiojulikana muda huu, ikiwa zimepita siku chache tangu aikosoe serikali yake, au kiongozi..

Kuna vingi sana vinawatokea tusiowajua wala kuwaona, ila yupo Mungu tunaemwamini wote sisi..

Yeye ndiye mganga wa kila kitu, na cashier wa aina zote za tabasamu..

TUENDELENI KUMPA DUA ZETU, YEYE ANATUELEWA SANA..

@sportylady06 @kaisalally by @dstar_content
0
a month ago
Download
Happy New Month..❗️
Tumeuchana mwaka katikati..👍
Maisha Podcast, Tunakutakia mafanikio kwenye harakati zako za maisha katika mwezi huu wa sita.
Usikose kutembelea Audiomack ya Maisha Podcast kupata code za maisha.
Maisha Podcast, Be Inspired
#june #happynewmonth #beinspired #audio by @dstar_content
4
2 months ago
Download
Kuwa strong ndio upande tuliouchagua, 

Kumtumikia yeye ndio maamuzi ya maisha yetu milele, hata leo mbaya ina kesho nzuri 

Life goes on, Dunia inakuhitaji, amka tuendelee na safari mwanangu 

Anga linahitaji tabasamu lako mengine yatimiee, ardhi inakusubili kushuhudia hatua zako tena

Majonzi ni sehemu ya maisha yetu ila Furaha ndio maisha yetu yenyewe 

Simama tumshukuru MUNGU tuendelee tenaa na hii safari 

Alway Great, Always Strong 👊 @great_evah by @dstar_content
4
2 months ago
Download
Leo tumekusogezea Episode ya 39 ambapo mtu wako @dstar_content amepiga story na wana kuhusu Anguko la Wasichana. 
Usikose kuisikiliza hii episode kupitia Audiomack utajifunza kitu.
Maisha Podcast, Be Inspired
 #maishapodcast #yfp #beinspired #Maisha #audiomack by @dstar_content
0
2 months ago
Download
Kipindi unajitafuta, kwenye Dua zako liweke na jina lake..

Katika vita vyake dhidi ya vishawishi, muombee pesa isiusimamie moyo wake mbele..

Ana shida zake ambazo nakupenda yako haiwezi kuzimaliza, hata umtamkie kila sekunde..

Kuna machozi yake yatalihitaji bega lako, pamoja na hela yako vilevile..

Ndani ya moyo wake unaweza kuwa upo peke yako kweli..

Ila kuna sehemu ya amani yake, haikamiliki hadi tigopesa yake isome..

Adui mgumu zaidi wa mwanamke ni pesa..

Kama amechagua kukuvumilia, muombee bro, halafu tafuta hela.. by @dstar_content
5
3 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up