Instagram story viewer> @ecfadventist> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
 by @ecfadventist
0
12 hours ago
Download
UZINZUDI MAKAMBI MTAA WA KING'ONGO
Picha za matukio sabato ya ufunguzi makambi mtaa wa king'ongo ukiongozwa na Mwenyekiti wa Field Mch: Petro Mganda.

25JULY 2026 by @ecfadventist
0
12 hours ago
Download
UZINZUDI MAKAMBI MTAA WA KING'ONGO
Picha za matukio sabato ya ufunguzi makambi mtaa wa king'ongo ukiongozwa na Mwenyekiti wa Field Mch: Petro Mganda.

25JULY 2026 by @ecfadventist
0
12 hours ago
Download
ZIARA RASMI YA MCHUNGAJI JOEL RUTEBUKA NDANI YA UNIONI MISHENI YA KUSINI MWA TANZANIA

Ziara hii inalenga kukutana na makundi mbalimbali ya washiriki pamoja na viongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato katika Unioni Misheni ya Kusini mwa Tanzania, kwa lengo la kuimarisha umoja, kuwatia moyo watumishi wa Mungu, na kuhimiza utekelezaji wa utume wa kanisa.

Ikiwa na kaulimbiu ONEVOICE27: Uhamasishaji na Kuhuisha Maono, ziara hii inalenga kuwahamasisha viongozi na washiriki kuendelea kutekeleza utume wa kanisa kwa umoja, ufanisi na uaminifu kwa wito wa Mungu, huku tukijiandaa kwa ajili ya mavuno makubwa ya roho yanayotarajiwa kupitia kampeni ya uinjilisti ya Sauti Moja 2027, Utume kwa Wote.

Tunamkaribisha Mchungaji Joel Rutebuka kwa moyo wa upendo na ushirikiano, tukiomba Mungu aibariki ziara hii ili iwe chachu ya kuimarisha maono ya kanisa na kuendeleza utume wa Injili. by @ecfadventist
0
13 hours ago
Download
Ungana nasi katika ibada hii ya kipekee pamoja na Pr. Methuselah Masunga. Katika kuzihesabu baraka za Mungu katika Maisha yetu ya kila siku🙏🏼🙏🏼
🗓Jumamosi, 25-07-2026
📍Kiluvya SDA Church
Wote Mnakaribishwa 🙏🏼🙏🏼
#IbadaYaMaombi #nitakwendanikimsubiriyesu #onevoice27
#seventhdayadventistchurch less by @ecfadventist
3
a day ago
Download
ECF UPDATES:
TAR: 19-23 JULAI, 2026

NTUC & STUM - SECRETARIAL ADVISORY || LUSH GARDEN HOTEL ARUSHA, TANZANIA 

#onevoice27 taken in Arusha, Tanzania by @ecfadventist
0
3 days ago
Download
ECF UPDATES:

2026 NTUC & STUM - SECRETARIAL ADVISORY || LUSH GARDEN HOTEL ARUSHA, TANZANIA - DAY 03 taken in Arusha, Tanzania by @ecfadventist
0
4 days ago
Download
 by @ecfadventist
0
5 days ago
Download
NTUC & STUM SECRETARIAT ADVISORY - ARUSHA TANZANIA || DAY 02 taken in Arusha, Tanzania by @ecfadventist
0
5 days ago
Download
 by @ecfadventist
0
6 days ago
Download
 by @ecfadventist
0
8 days ago
Download
Mwenyekiti wa unioni misheni ya kusini mwa Tanzania mchungaji Joseph Mngwabi akifanya huduma ya kugawa vitabu kwa wageni walioshiriki katika makambi ya mtaa wa Mbezi juu.  Hakika wageni ni Mbaraka na yafaa tuwakarimu sana. by @ecfadventist
1
9 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up