Instagram story viewer> @eddnho> Posts
46.3K
followers
1038
following
-Former footballer
-Gift:Footballer
-👻 EDDNHO
-5June🌟Gemini
-Every second of every minutes of every hour of every day I need ALLAH
-I make my own luck
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Yaaa habib yaaa habib Oman nakujaa tende ziwe nyingi hapo masheh wangu ijumaa ya mwisho wa ramadhan hii by @eddnho
2
2 years ago
Download
Your favorite Rasta Bwaiiiiiiii of all time GOAT. by @eddnho
0
4 years ago
Download
My street my Rules mtaani kwangu by @eddnho
0
4 years ago
Download
Wazanzibar mna lala sana sisi tumesha amka na tupo mitaa yenu tuta wapigia kelele mpaka muamke "Part of the History" @cafclcc tuna taka kombe letu kombe letu by @eddnho
16
a year ago
Download
ALLAHMDULLAH we made it @simbasctanzania from beautiful country TANZANIA 🇹🇿 after long long wait now here we come by @eddnho
0
a year ago
Download
Master maind him Self ACHRAF HAKIMI 
Achraf Hakimi  kuhusu ile ishu na mke wake:

 🗣 “Nilivyomuoa mke wangu, Hiba Abouk mwaka 2020 hadi 2023, baada ya miezi miwili, niligundua amekuja kuchukua pesa zangu, hivyo nikaamua kuhamisha kila kitu kwa jina la mama yangu na nikawa nasubiri ajaze fomu ya talaka… Kamwe sitokuja kumuamini mwanamke yeyote tena isipokuwa mama yangu…. Mimi na mama yangu tulicheza muziki baada ya kuona talaka…”

Nilisajili mali zangu zote kwa jina la mama baada ya kuhisi kuna kitu kibaya anapanga… 

Baada ya mwaka mmoja wa ndoa, kabla ya talaka, tuligombana kidogo tu asubuhi ile, alisema natakiwa kujua anaweza kutaka talaka muda wowote na tutagawana mali zote sawa sawa...

Baada ya kusikia hivyo, nilitambua mke wangu ni malaya (gold digger) kisha sikupuuzia kauli yake na kuanza kufikiria nini cha kufanya…

Wazo la kumpatia mali zangu mtu ninayemuamini, jina la mama yangu likanijinia kichwani…

Nilimueleza mama yangu kila kitu na akasema “Mwanangu, nimekubeba tumboni miezi 9 kamwe siwezi kuruhusu chochote kikukute… 

Tumepambana sana kufika ulipo, hivyo hakuna mwanamke aliyetoka huko aje kukuangusha…

Basi haraka tulihamisha kila ninachomiliki hadi nguo mpaka jezi ninazochezea, zimehamia kwa mama...

Baada ya mke wangu kudai talaka na kutaka nusu ya mali zangu, sikuumia akili…

Alikuwa ananiambia nitaenda kuwa kapuku, mganga njaa baada ya talaka… Nilibaki nacheka moyoni…

Ukifeli kupanga basi jipange kufeli… Alifeli kupanga, nilifanikiwa kupanga… Alishtuka baada ya kugundua sina kitu...

Alikuwa analia sana mahakamani sio uchungu wa talaka ila kwa sababu aliondoka kama alivyokuja…" by @eddnho
2
2 years ago
Download
Simba UBAYA UBWELA TO the world in INDIA 🇮🇳 @simbasctanzania  @abdulfareed_hussein @bobramso @lokojr12 @ahmedally_  #ubayaubwela by @eddnho
6
2 years ago
Download
 by @eddnho
8
2 years ago
Download
Huku sasa ndugu yangu @sumamnazaleti_  kutaka kuliwa na MAMBA wa Kigoma,hii nyimbo naipenda sana una ufanya mziki vile una taka tu anko mala mapiano mala pop mala rbn wakati uhalisia wako ni HIP HOP una fanya kama  Messi ktk ball #lala #sumamnazaleti by @eddnho
2
2 years ago
Download
Oyaaaa kaaza kuniita BABY by @eddnho
6
2 years ago
Download
 by @eddnho
12
2 years ago
Download
Ila washabiki wa Arsenal waka tunga na nyimbo hapo hapo uwanja una vuja "old trafod is Falling down" uku mtangazaji :Peter Drury....." Glory days are old, best players are old, trophies are old and the coach is old.
Ladies and gentlemen, this is Old Trafford" aiseeeeee hii team by @eddnho
0
2 years ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up