Instagram story viewer> @efmtanzania> Posts
102079
posts
5.1M
followers
3
following
📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Upo tayari kwa show kubwa ya @jchameleon ? Watanzania Julai 31 sio ya kukosa pale SuperDome Masaki Jijini Dar es Salaam.

Kata tiketi yako mapema maana siku zinayoyoma.

Tiketi Zinapatikana 👇

-www.deiwaka.tukioo.com
-Kukuriko Restaurant, Mikocheni
-TPH BookShop, Samora Avenue
-Robby One Fashion, Kinondoni

Viingilio 👇

Regular 50K
VIPI 150K
VVIP Milioni 5 (Meza ya Watu 10)

#BongoFlavaHonorsS4 by @efmtanzania
29
6 hours ago
Download
A Star-Studded Squad.

DAR-ES-SALAAM is about to have the best of both Worlds. 

Here is the final line-up for the SOUNDS OF TOMORROW.

A few days left before we lit up @darvillage 

🎟️ Early Bird Tickets are on sale now via @hustlesasa.tanzania 
Secure yours before prices go up.

#SoundsOfTomorrowTz  #TopStoryTz #JizoTech #TheFutureSoundsDifferent taken in Tanzania by @efmtanzania
3
2 days ago
Download
Msanii @jchameleon licha ya kuwa ni kutoka Uganda ila amekuwa na mashabiki wengi nchini Tanzania, Ameweka alama ambayo haiwezi kufutika.

Julai 31 mwaka huu pale SuperDome Masaki Jijini Dar es Salaam itakuwa usiku maalum wa kumpa heshima @jchameleon katika tukio kubwa la BongoFlava Honors. 

Kaa tayari kwa ajili ya Show kubwa ya BongoFlava Honors Julai 31 mwaka huu, Kata tiketi yako mapema maana siku zinayoyoma.

Viingilio 👇

Regular 50K
VIPI 150K
VVIP Milioni 5 (Meza ya Watu 10)

#BongoFlavaHonorsS4 by @efmtanzania
18
4 days ago
Download
Arsenal wameanza kuangalia uwezekano wa kumsajili nyota wa Real Madrid, Vinícius Júnior, huku klabu hiyo ikifuatilia kwa karibu hali ya mkataba wa mshambuliaji huyo wa Brazil.

Taarifa zinaeleza kuwa Vinícius Jr bado hajafikia makubaliano ya kuongeza mkataba mpya na Real Madrid, huku mkataba wake wa sasa ukiwa unaelekea kumalizika mwaka 2027.

Hata hivyo, dili hilo bado liko katika hatua za mwanzo na changamoto kubwa kwa Arsenal inatajwa ni mshahara mkubwa wa mchezaji huyo pamoja na thamani ambayo Real Madrid inaweza kuhitaji kabla ya kumruhusu kuondoka.

Iwapo Vini Jr atashindwa kufikia makubaliano ya mkataba mpya, Real Madrid inaweza kulazimika kumuuza katika dirisha hili la usajili ili kupata fedha kutokana na uhamisho wake, badala ya kusubiri hadi mkataba wake umalizike na kumpoteza akiwa mchezaji huru 2027.

✍️: @story_za_soka 

#EDigitalUpdates by @efmtanzania
8
30 minutes ago
Download
Manchester City wameweka kwenye mnada baadhi ya vitu vilivyokuwa katika ofisi ya Pep Guardiola baada ya kuondoka klabuni. Vitu hivyo ni pamoja na,

Jaketi la mazoezi la Pep, Filimbi yake ya mazoezini, Kiti cha ofisini Taa ya mezani, Seti ya vikombe vya kahawa alivyotumia Daftari lenye maandishi ya mbinu na kalamu zake.

Picha zilizowekwa kwenye fremu na vifaa vyake Vitu vya mapambo vya mezani, ikiwemo samaki wawili aina ya kasa na nyota iliyopakwa rangi.

Vile vile wameweka kwenye mnada na Mpira maalum uliosainiwa na Erling Haaland na alipewa pep kama zawadi baada ya halaand  kufikisha mabao yake 100 ya Epl.

Baadhi ya mapato ya mnada huo yanatarajiwa kwenda kusaidia shughuli za hisani kupitia taasisi ya klabu, huku mashabiki wakipewa nafasi ya kumiliki vitu vya kumbukumbu za kipindi cha mafanikio ya Pep Guardiola akiwa Manchester City.

✍️: @story_za_soka 

#EDigitalUpdates by @efmtanzania
4
3 hours ago
Download
Maoni ya @salumumnolela baada ya shabiki wa Simba maarufu Camera Simba Fan kuonekana jana katika tukio la Yanga la kutambulisha wachezaji wapya.

#EDigitalUpdates by @efmtanzania
339
4 hours ago
Download
Tunajua Unalifahamu Balaa Za @marioo_tz Lakini Marioo Atakaye-Perform Kwenye Stage Ya Sound Of Tommorow Bado Haujamshuhudia Kabla.

🗓️ Ni Tarehe 31 July Na 1 August 2026 Pale @darvillage Ni Siku 2 Zilizojaa Music, Na Vibe La Kitofauti. Kutoka South Afrika Atakuwepo @dbngogo , Unapitwaje!?

🎟️ Chukua Tiketi Yako Mapema Kupitia @hustlesasa | Kiingilio Ni 30K Siku Moja 50K Siku Mbili.

#SoundsOfTomorrowTz  #TopStoryTz #JizoTech #TheFutureSoundsDifferent by @efmtanzania
4
4 hours ago
Download
Hii hapa List ya #Wachonga katika miaka 30 ya BongoFlava.

Ay,Fid Q, Madee, Chege, Juma Nature, Mhe Temba, JayMoe,Soggy Doggy, Jaffarai, Ferooz, Daz Baba, Mchizi Moxie na wengine wengi.

Tukutane  Rock City Mall, Jumamosi tarehe 8/8/ 2026, kuanzia saa moja jioni mpaka baadae sana. 

Usiku mmoja,jukwaa moja na mastaa wakubwa wa BongoFlava watakaokupa show ya kikubwa. 

Pata tiketi yako mapema 
Regular 50000
VIP 100000
VIP Meza ya watu 5 (1 ML)
VVIP meza ya watu wa 4 (3 ML pamoja na vinywaji) 

Download Otapp katika Googleplay au Appstore kununua tiketi yako mapema. Kama uliisikia tu kwa wengine, safari hii usikubali kubaki nyumbani. 

#30yaBongoFlava    #Wachonga by @efmtanzania
6
5 hours ago
Download
Unlocking business investment through SGR...
.
.
DONT MISS THE OPPORTUNITY.... by @efmtanzania
0
5 hours ago
Download
Itoshe Kusema @bigthemadness Ameiva😂, @dolphin_creator_ Ameacha Ndala😅

Jumatatu na Ijumaa Saa 12:00 Jioni macho kwenye screen ( @tvetanzania ) : Marudio ni Jumanne Saa 8:30 Mchana Na Jumamosi Saa 12:00 Jioni

Kijiwe chetu ni ( @tvetanzania ) Channel no.295 DSTV, 115 STARTIMES, 407 AZAM TV : Subscribe YouTube Channel yetu ( EFM TANZANIA ) 

🎥 : @iam_gwak & @meddy_qx 
Gym : @oasis_village_club 

#MtuBig🤴 #JashoTime by @efmtanzania
20
5 hours ago
Download
Hizi Ni Tabia Zinazoweza Kumfanya Kijana Wa Sasa Ashindwe Kupata Maendeleo.

Kama Umepitwa Na Kipindi Cha Mindset Ya @azilricco 📺 TVE Tayari Tumeshakuwekea Youtube - TVE TANZANIA Link Ipo Kwa Bio.

WE MADE THIS
Creative Director  @iam_almando 
Producer  @kilasi_veron 

#MindSetTVE by @efmtanzania
4
6 hours ago
Download
Mahusiano Ili Yadumu Yanahitaji Sana Mawasiliano, Uaminifu, Na Uvumilivu.

Kama Umepitwa Na Kipindi Cha Mindset Ya @azilricco 📺 TVE Tayari Tumeshakuwekea Youtube - TVE TANZANIA Link Ipo Kwa Bio.

WE MADE THIS
Creative Director  @iam_almando 
Producer  @kilasi_veron 

#MindSetTVE by @efmtanzania
11
6 hours ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up