Instagram story viewer> @fetty_densa> Posts
311.7K
followers
7382
following
Tanzania Pro football Player⚽️ || Playing @simbaqueensctz 🦁& @twigastarstz 🇹🇿
Founder & Owner || @densa_brands
Inquiries:[email protected]
POSTS STORIES REELS TAGGED
Alhamdulillah 🙏🏽tunashukuru Mungu kwa Ushindi huu💪🏾wa Ngao Ya Jamii @Simbaqueensctz kwa Pamoja tunasema tukutane kwenye Ligi 2023-2024🏟️ 

#NguvuMoja
#FettyDensa by @fetty_densa
240
3 years ago
Download
In life there are ups and downs and don’t enjoy it too much when you are doing well. Remember that there is also a downfall one day when you go down don’t hurt yourself by having too many thoughts because they are all human situations we go through in our lives so stop letting people’s words get you off the rails because you will lose absolutely the space that existed 💪🏻🫡❤️ #NeverGiveUp# 💪🏻💃⚽️❤️ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @fetty_densa
16
3 years ago
Download
In life, you should never give up, fight for what you believe in until the end, Allah is everything, there will be a time when things will go wrong for you, don’t blame yourself and be miserable, keep fighting till the end 💪🏻🦁❤️💃⚽️ #Footballforlife# taken in Dodoma, Tanzania by @fetty_densa
132
3 years ago
Download
📰 FETTY DENSA AFICHUA SIRI YA KUDUMU SIMBA QUEENS

Beki wa kulia wa Simba Queens, Fatuma Issa ‘Fetty Densa’, amefichua siri inayomsaidia kudumu kwa muda mrefu ndani ya kikosi hicho cha Msimbazi huku akiendelea kupambana kuwania nafasi ya kucheza.

Densa amesema kujitunza, kufanya mazoezi mara kwa mara na kuheshimu maelekezo ya makocha ni mambo muhimu yanayomsaidia mchezaji kudumisha kiwango chake na kuendelea kushindana kwa muda mrefu.

“Mazoezi ni muhimu na yanasaidia. Wakati mwingine ukiwa hufanyi mazoezi unazeeka mapema,” amesema Densa, akisisitiza umuhimu wa mchezaji kuendelea kujifua ili kuuweka mwili katika hali nzuri.

Mchezaji huyo alijiunga na Simba Queens mwaka 2019 akitokea Evergreen ya Temeke, na amekuwa miongoni mwa wachezaji waliodumu kwa muda mrefu katika klabu hiyo. Pia, mtindo wake wa kucheza akiwa amevaa hijabu umemfanya awe miongoni mwa wachezaji wanaotambulika kirahisi katika soka la wanawake nchini.

Katika kipindi chake Msimbazi, Densa amekuwa sehemu ya mafanikio makubwa ya Simba Queens, ikiwemo kutwaa mataji matatu mfululizo ya Ligi Kuu ya Wanawake katika misimu ya 2019/20, 2020/21 na 2021/22.

Aidha, alikuwa sehemu ya kikosi kilichofika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake mwaka 2022, mafanikio yaliyoiweka Simba Queens katika ramani ya soka la wanawake barani Afrika.

Msimu wa 2021/22, Densa alionyesha ubora wake kwa kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu wa Ligi Kuu ya Wanawake.
Mafanikio hayo yanaonyesha kuwa kudumu kwake Simba Queens hakutokani na muda aliokaa klabuni pekee, bali pia mchango wake katika timu na juhudi za kuendelea kuwa bora.

#sisiNisimba🔴 by @fetty_densa
6
14 hours ago
Download
Mamy fetty 💪🏻⚽️🇹🇿🫡❤️ #Football4life# #TwigaStars#🇹🇿 by @fetty_densa
144
4 days ago
Download
@fetty_densa AHSANTE KWA SUPPORT YAKO

KARIBUNI SANA BUYORDER

JUMLA/REJAREJA 📌

GATEWAY MALL SINZA MORI 📍

WHATSAPP GROUP KWENYE BIO ❗️

0794040450 ☎️ taken in Sinza Mori by @fetty_densa
12
5 days ago
Download
Mtu safi ❤️😋😍🧑‍🩰🫡 #MamyFetty# taken in Utulivu Location by @fetty_densa
88
9 days ago
Download
Kila jambo majaaliwa subira aina hasara 🤲🫡💪🏻❤️🇹🇿⚽️ #Football4life# taken in Gaborone, Botswana by @fetty_densa
158
11 days ago
Download
Wachezaji wetu walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania.🇹🇿

Kila la Kheri @violetnicholaus_26 @aisha.mnunka10 @elizabethmkuki21 @fetty_densa @mar.on08 @official_janeth30 

#NguvuMoja by @fetty_densa
28
13 days ago
Download
ALHAMDULILLAH WE ARE CHAMPIONS 🏆🥇💪🏻🫡🦁❤️⚽️ #SimbaNguvuMoja# @simbaqueensctz taken in Dar es Salaam, Tanzania by @fetty_densa
45
15 days ago
Download
Semaji anasema ubora wa viwango vya @simbaqueensctz haupungui, ukimntazama @fetty_densa ni kama vile Kapombe tu tangu afike Simba mpaka leo hapungui kiwango chake

@simbaqueensctz 

_________________________________
⚽️ Burudani yote ya soka ipo hapa! 👇

📡 TV3 SPORTS

📺 Azam TV ➜ CH 416
📺 StarTimes ➜ CH 131 & CH 197
▶️ YouTube ➜ TV3 SPORTS by @fetty_densa
18
16 days ago
Download
Campeones💃🕺
COMMUNITY SHIELD WINNERS 2026 @simbaqueensctz 
#withbillyremz taken in KMC Football Stadium by @fetty_densa
29
16 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up