Instagram story viewer> @fisherman_gen> Posts
260
posts
1K
followers
58
following
soul fisherman
Servant of Christ
Steward of God’s Mysteries
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
NIKULIPE NINI  AVAILABLE IN ALL DIGITAL PLATFORMS taken in Dar-es-alaam, Tanzania by @fisherman_gen
23
3 months ago
Download
HAPPY BIRTHDAY MAN OF GOD ........

NISAIDIE KUMTAMKIA BARAKA MTU HUYU MKUU SANA KATIKA UFALME  WA KRISTO MTU ALIYEKUBALI KUTUMIKA PAMOJA NA MIMI BILA KUCHOKA WALA KUANGALIA MAZINGIRA NIMEWAHI KUKUTANA NA WANAMZIKI WENGI LAKINI HUYU NI MTUMISHI WA MUNGU ANATEMTUMIKIA MUNGU KWA NJIA YA MZIKI 

MIMI BINAFSI NAMPENDA SANA NA NINAMUOMBEA SANA NEEMA YA KRISTO ISIPUNGUE JUU YAKE  NI MTU ALIYEIONA KESHO NA NDOTO YAKE LAZIMA ITATIMIA NA UTUKUFU WA MUNGU UTADHIBITIKA SANA JUU YAKE 

LIMEBARIKIWA TUMBO LILILOKUZAA

HAPPY BIRTHDAY SIR 🎂 

Yoshua 1:5
[5]Hapatakuwa mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe; sitakupungukia wala sitakuacha. by @fisherman_gen
14
2 months ago
Download
Together with our beloved sister, Precious Kombo @preciouskombo a very humble and precious woman of God. May the Lord continue to protect you, strengthen you, and keep you in His grace always, dear sister. taken in Dar-es-alaam, Tanzania by @fisherman_gen
3
2 months ago
Download
Isaya 40:25,31
[25]Mtanifananisha na nani, basi, nipate kuwa sawa naye? Asema yeye aliye Mtakatifu. 
To whom then will ye liken me, or shall I be equal? saith the Holy One. by @fisherman_gen
0
2 months ago
Download
 by @fisherman_gen
3
2 months ago
Download
FISHERMAN_Nikulipe nini? Tayari ipo mjini YOUTUBE by @fisherman_gen
4
2 months ago
Download
Zaburi 119:6
[6]Ndipo mimi sitaaibika, 
Nikiyaangalia maagizo yako yote. 

Nikulipe nini is now available in all digital platforms 

#nikulipenini 
#fisherman by @fisherman_gen
1
2 months ago
Download
ZABURI 116:1-4

[1] HALELUYA.
NAMPENDA BWANA KWA KUWA ANAISIKILIZA
SAUTI YANGU NA DUA ZANGU.

[2] KWA MAANA AMENITEGEA SIKIO LAKE,
KWA HIYO NITAMWITA SIKU ZANGU ZOTE.

[3] KAMBA ZA MAUTI ZILINIZUNGUKA,
SHIDA ZA KUZIMU ZILINIPATA.
NALIONA TAABU NA HUZUNI;

[4] NIKALIITIA JINA LA BWANA.
EE BWANA, NAKUOMBA SANA,
UNIOKOE NAFSI YANGU. by @fisherman_gen
2
2 months ago
Download
CHALLENGE GANI UMEIPENDA ZAIDI 

NIKULIPE NINI NOW AVAILABLE IN ALL DIGITAL PLATFORMS 

#nikulipenini 
#fisherman taken in Tanzania, Africa by @fisherman_gen
0
2 months ago
Download
Umewahi kusubiri jambo kwa mda mrefu ukaomba sana ukafunga sana  af ghafla  BWANA akalifanya utaachaje sasa kumsifu 

Nikulipe nini is now available in all digital platforms worldwide 

#nikulipenini
#fisherman 
#mygeneration 
#tanzaniagospel 
#gospel taken in Dar es Salaam, Tanzania by @fisherman_gen
9
2 months ago
Download
🔥 NEW SONG RELEASED 🔥

A fresh gospel sound is here 🙌✨
NIKULIPE NINI by Fisherman is now OUT NOW! 🔥

This touching song carries a deep message of gratitude to God — “Nikulipe nini Bwana kwa wema wako?” 💛
A beautiful reminder to appreciate everything God has done in our lives 🙏✨

▶️ Watch now on YouTube:
https://youtu.be/Ss2426K6xdE?si=8HgVs-XV2vqfH-To

🎧 Also available on all streaming platforms worldwide.

Stream, share, and support gospel music 🙌✨

📞 For Music Promotion & Ads:
+255 719 080 895

📲 Follow us everywhere:
@gospelmusiunlock

Gospel Music Unlock – The Home Of Gospel Music

⚠️ NOTE:
We do not own any rights to the audio, video, or images used. All copyrights belong to the respective artists.

#newsongreleased
#nikulipenini
#gospelmusicunlock
#tanzaniangospel
#supportgospelmusic taken in Tanzania by @fisherman_gen
11
3 months ago
Download
Zaburi 61:3-4
[3]Kwa maana ulikuwa kimbilio langu, 
Ngome yenye nguvu adui asinipate. 

[4]Nitakaa katika hema yako milele, 
Nitaikimbilia sitara ya mbawa zako 

#kairos_026 
#supernaturalincrease 
#mygenerationtz🇹🇿 . taken in Dar es Salaam, Tanzania by @fisherman_gen
16
3 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up