Co Creator:
Posted On: January 16th 2026, 10:23 pm
🚨 UPDATE: Muda huu nimearifiwa kuwa Simba na Chippa United wameshindwana.
Chippa wanataka $450,000 (tsh 1,134,000,000) ili kumuachia Stanley Nwabali,wao Simba hawako tayari kuzidi $250,000 kwa mchezaji aliebakiza mkataba wa miezi sita.
Wakala wa Stanley Nwabali,ambae anajulikana kama Shizzy,Leo amepambana kufanikisha dili hilo Ila mambo yamegoma.
Chanzo changu kutoka Simba kimeniarifu kuwa Hivi Sasa Simba wamefungua mazungumzo na kipa mkubwa mwenye uwezo na uzoefu kutoka Niger 🇳🇪 na wanahitaji kumpata kipa huyo ndani ya saa chache zijazo.
Kaa karibu na
@usajili_na_hansrafael14 Load More