Visionneuse de stories Instagram> @usajili_na_hansrafael14> Publications
620
publications
157.7K
abonnés
2
abonnements
Transfer Expert,powered by @aloyce_builders
PUBLICATIONS STORIES REELS TAGUÉ
Tout Télécharger
Leo UEFA inarudi na mikeka iko tayari kwenye Whatsapp channel yangu….mikeka yote natoa bure….gusa link hapo juu kujiunga na channel yangu. by @usajili_na_hansrafael14
2
il y a un mois
Télécharger
 by @usajili_na_hansrafael14
0
il y a 3 mois
Télécharger
Gusa link hapo juu kwenye BIO tukapige hela😄 by @usajili_na_hansrafael14
0
il y a 3 mois
Télécharger
🚨 DONE DEAL: Simba imemuuza Kibu D,kwenda,Al Nasr Benghazi ya Lybia✅It’s over Kati ya Simba na Kibu.Simba wameingiza $300,000 (Tsh 772,829,100)✅Kibu atacheza mechi Yake ya mwisho siku ya jumatano dhidi ya KMC Baada ya hapo ataondoka. by @usajili_na_hansrafael14
1k
il y a 4 mois
Télécharger
🚨 BREAKING: Muda wowote kuanzia sasa klabu ya Al Ahli Tripoli ya Libya,itatuma ofa ya $2,500,000 (Tsh 6.4 billion) kwenda Azam ili kumpata Fei Toto.Hii itakuwa ni ofa ya tatu baada ya ofa mbili za mwanzo kukataliwa na Azam.Tayari kuna makubaliano binafsi kati ya Tripoli na Fei Toto ambapo nyota huyo atalipwa $60,000 (Tsh 153,600,000) kwa mwezi kama dili hilo litakamilika. Tripoli wanamtaka Fei ndani ya wiki hii. by @usajili_na_hansrafael14
819
il y a 4 mois
Télécharger
🚨🚨 DONE DEAL: Offen Chikola,amejinga na Singida Black Stars,kwa mkopo akitokea Yanga.Kıla kitu kimekamilika Chikola atatambulishwa Singida Muda wowote kuanzia sasa. by @usajili_na_hansrafael14
604
il y a 4 mois
Télécharger
🚨 DONE DEAL: Anicet Oura is Red✅Simba wamekamilisha usajili wa winga wa Ivory Coast,Anicet Oura (26).Anicet Oura,ameingia Simba kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na IF Gnistan ya Finland.Mchezaji huyo ana uwezo mkubwa wa kucheza kama winga na namba 10.Hili ni ingizo la kocha mkuu wa Simba kwani wamewahi kufanya kazi pamoja pale Stellenbosch.Anicet Oura Ni balaa jipya mjini🥷Kwa habari zaidi follow @usajili_na_hansrafael14 by @usajili_na_hansrafael14
651
il y a 4 mois
Télécharger
🚨 DEAL DONE: Chota Chama is Red✅Chota Chama amejiunga na Simba kwa mwaka mmoja akitoka Singida✅Chama ni balaa jipya mjini✅ by @usajili_na_hansrafael14
2k
il y a 5 mois
Télécharger
🚨 BREAKING: Klabu ya CR Belouizdad kutoka Algeria,imetuma ofa rasmi kwenda Wydad Casablanca,ili kumsajili mshambuliaji Seleman Mwalimu,ambae kwa sasa anacheza Simba kwa mkopo.Mazungumzo kati ya CR Belouizdad na Wydad yanaendelea wakipata muafaka dili litafanyika na Gomes ataondoka Simba January hii ili kujiunga mazima na CR Belouizdad.Sead Ramovic anamtaka Mwalimu,baada ya kumalizana na Ahoua. by @usajili_na_hansrafael14
373
il y a 5 mois
Télécharger
SIMBA BADO HAWAJAMALIZA!Baada ya kukamilisha usajili wa kipa wa Niger,kituo kifuatacho ni kwa kiungo wa Stellenbosch,Genino Palace (27).Simba wanamuhitaji Palace,ili kufunga usajili wa kigeni.Simba wamekubaliana kuongeza Wachezaji wapya wanne wa kigeni na tayari watatu wametua (Tanja,Toure na Gueye) wamebakiza ingizo la Genino Palace ili wamalize kazi.Usajili wa Khadim Diaw,umeota mbawa baada ya viongozi kupishana mitazamo juu ya mchezaji huyo,dili la Chikumbutso Salima na Ndongani Samba limekufa Baada ya Simba kupata machaguo bora zaidi (Toure na Gueye).Mnyama bado hajamaliza,Genino Palace….anaweza kutua hivi karibuni labda washindwane na klabu yake✍️Hakikisha una-follow @usajili_na_hansrafael14 by @usajili_na_hansrafael14
239
il y a 5 mois
Télécharger
🚨 BREAKING: Simba wamefungua mazungumzo na kipa wa AS Fan,Mahamadou Tanja Djibrilla Kassali Djibo (29) ambae ni Raia na kipa namba moja wa Niger 🇳🇪.Simba hawana muda wa kupoteza wanamuhitaji kipa huyo ndani ya saa chache zijazo ili aanze Safari ya kuja Tanzania.Dili la Mahamadou Tanja Djibrilla Kassali Djibo,lina zaidi ya 80% kutiki✅Kaa karibu na @usajili_na_hansrafael14 ili uwe wa kwanza kujua. by @usajili_na_hansrafael14
561
il y a 5 mois
Télécharger
🚨 UPDATE: Muda huu nimearifiwa kuwa Simba na Chippa United wameshindwana.Chippa wanataka $450,000 (tsh 1,134,000,000) ili kumuachia Stanley Nwabali,wao Simba hawako tayari kuzidi $250,000 kwa mchezaji aliebakiza mkataba wa miezi sita.Wakala wa Stanley Nwabali,ambae anajulikana kama Shizzy,Leo amepambana kufanikisha dili hilo Ila mambo yamegoma.Chanzo changu kutoka Simba kimeniarifu kuwa Hivi Sasa Simba wamefungua mazungumzo na kipa mkubwa mwenye uwezo na uzoefu kutoka Niger 🇳🇪 na wanahitaji kumpata kipa huyo ndani ya saa chache zijazo.Kaa karibu na @usajili_na_hansrafael14 by @usajili_na_hansrafael14
481
il y a 5 mois
Télécharger
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up