Visionneuse de stories Instagram> @hansrafael14> Publication
il y a 5 mois
Co Creator: usajili_na_hansrafael14
SIMBA BADO HAWAJAMALIZA!

Baada ya kukamilisha usajili wa kipa wa Niger,kituo kifuatacho ni kwa kiungo wa Stellenbosch,Genino Palace (27).

Simba wanamuhitaji Palace,ili kufunga usajili wa kigeni.

Simba wamekubaliana kuongeza Wachezaji wapya wanne wa kigeni na tayari watatu wametua (Tanja,Toure na Gueye) wamebakiza ingizo la Genino Palace ili wamalize kazi.

Usajili wa Khadim Diaw,umeota mbawa baada ya viongozi kupishana mitazamo juu ya mchezaji huyo,dili la Chikumbutso Salima na Ndongani Samba limekufa Baada ya Simba kupata machaguo bora zaidi (Toure na Gueye).

Mnyama bado hajamaliza,Genino Palace….anaweza kutua hivi karibuni labda washindwane na klabu yake✍️

Hakikisha una-follow @usajili_na_hansrafael14
Download
239
Posted On: January 17th 2026, 07:22 am
Tagged Users:

Comments (239)
Load More

More posts

back to up