Instagram story viewer> @franken_attack> Posts
3.4K
followers
1347
following
HIT MAKER
Music Producer
Voice over artist
Contact:0753201828
Bantu Music
*KAZI ZANGU 👇👇👇**
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Your welcome by @franken_attack
2
15 days ago
Download
Nasikitika Kutangaza Kifo cha Mpendwa Wetu(Shangazi)  MARRY NCHIMBI Kilichotokea Jana Majira Ya Saa Sita Mchana by @franken_attack
41
19 days ago
Download
HAPPY BIRTHDAY MY BROTHER @pmawenge 
Na hii ni zawadi yangu kwako ya chupa kali 

#WHATSMYNAME OUT NOW 
Directed by me @director_deemoolah PESSA

Performed by @pmawenge 
Produced by @franken_attack 

Vixen @angel.elite1 

Cc BOMBRONX LABEL
  #mgayafilm by @franken_attack
37
25 days ago
Download
Niko Tayari Kuingia Kwenye Kikundi Cha Wavaa Suti wenzangu Pale Kwa Bwana @azmamponda Na Kuweka Share Yangu Ya Ma Beat Makali Katika Albam.....Nasubiri Ruhusa Yenu bwana @pmawenge @rascosembo @zaiidyao @niitesonga @onetheincredible @therealnikkimbishifans taken in Arusha, Tanzania by @franken_attack
12
6 months ago
Download
Zamani nilishawahi Fanya Hili Goma Enzi Izo Nalizwa sana Na mapenzi😂

Kabla kaka yangu @franken_attack hazidiwa na  Pombe Na Kupenda Wanyama Mbugani😂🙌

#Dawa it's in every music digital store by @franken_attack
18
2 months ago
Download
taken in Serengeti National Park by @franken_attack
9
3 months ago
Download
taken in Arusha National Park by @franken_attack
13
3 months ago
Download
Kama kuna kipaji Dodoma na Tanzania kwa ujumla inatakiwa kujivunia ni msanii @space.n.i . Space ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana cha kuimba,kutunga na kupiga ala za mziki zaidi Gitaa.

Katika nyimbo zake nyingi Space huja na wazo zima la midundo na ala anazozitaka na nyimbo nyingine huanza kuzitengeneza yeye mwenyewe na kumuachia producer kazi ya kumalizia tu.

Katika wimbo wa Nimezama Space ameshiriki vyema katika utengenezaji wake kwani yeye ndiye aliyecharaza Gitaa unazozisikia zinarindima kwanye mdundo wa wimbo huo. Space alishirikiana vyema na Producer @franken_attack pamoja na @en_diel na Team nzima katika kutengeneza wimbo huu mtamu wenye asili ya Afrobeats.

Wimbo huu ni katika muendelezo wa Space kufanya nyimbo za kiswahili zaidi na wakati huu ameamua kufanya kiswahili kweli kweli 😁😁 kuanzia kwenye midundo,melodies hadi uandishi. Usipokuwa makini unaweza ukakataa kuwa aliyeimba siyo Space.

Wimbo wa NIMEZAMA upo kwenye platforms zote update playlist yako kwa ngoma hii kwali kutoka kwa @space.n.i 

#dodomacity #fyp #NIMEZAMA #fypppppppppppppppシ゚viral taken in Dodoma, Tanzania by @franken_attack
13
4 months ago
Download
Huu mwaka sio wa maneno mengi………

Msanii @space.n.i na producer @franken_attack wakipika jambo

#soundgoodlifestyle taken in Dodoma, Tanzania by @franken_attack
15
9 months ago
Download
#Hawara  Huu ni Wimbo Mzuri Kutoka Kwa Dada Mzuri @chimahtz Nenda Ukautazame Sasa by @franken_attack
1
4 months ago
Download
Mungu Akufungulie Zaiidi Kaka Mkubwa @ebe_nation Hongera Kwa Hatua Nzuri ya Kumpendeza Mwenyezi Mungu by @franken_attack
2
5 months ago
Download
#Uhifadhi &Utalii ni nguzo katika uchumi wetu
#HIP HOP imetumika kuhamasisha jambo hili muhimu 
@Rugengamusic & @christiancharaji kutoka #Tanapaentertainmentgroup  chini ya @tanzaniaparks & @wizarayamaliasilinautalii  tunaendelea kusisitiza kulinda maeneo yote yanayohifadhiwa Cc  producer @franken_attack 
@r.music255
@baba_keagan
@Dkt.kijaji(PhD)
Respect kwa wanangu 
@djhazuu 
@megafm_tz 
@nellyayotz 
@mrconnection255 
@radio5tz 
@wizara_sanaatz
@semiosonyo5 
@djtass
@djdixxtz 
@stopatherhymecca 
@arushaoneradio 
@defxtro
@sept_safaris
@zoewildlife
@tawa.trophyshop 
@visitngorongoro 
@jabirsalehtherealest tunaendelea na utamaduni wetu wa Hip hop
@tanzania_forest
@wizarayamaliasilinautalii
@azamtvtz 
@cloudstv 
@eastafricatv 
@tanzaniasafarichannel 
@wasafitv
Nyote nawakaribisha by @franken_attack
9
5 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up