Instagram story viewer> @freyson_jnr> Posts
1960
posts
12.4K
followers
342
following
Reporter &Voice over
Sports pundit & analyst @globaltvonline
Content Creator
Scouting โšฝ๏ธ
Founder @freyson_media
East Africa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
TODAY ๐‘ฐ๐’•โ€™๐’” ๐’Ž๐’š ๐’…๐’‚๐’š! ๐ŸŽ‚ ๐‘ฏ๐’‚๐’‘๐’‘๐’š ๐‘ฉ๐’Š๐’“๐’•๐’‰๐’…๐’‚๐’š ๐’•๐’ ๐’Ž๐’š๐’”๐’†๐’๐’‡. ๐‘ป๐’‰๐’‚๐’๐’Œ ๐’š๐’๐’–, ๐‘ฎ๐’๐’…, ๐’‡๐’๐’“ ๐’•๐’‰๐’† ๐’ˆ๐’Š๐’‡๐’• ๐’๐’‡ ๐’๐’Š๐’‡๐’† ๐’‚๐’๐’… ๐’‚๐’๐’๐’•๐’‰๐’†๐’“ ๐’„๐’‰๐’‚๐’๐’„๐’† ๐’•๐’ ๐’„๐’‰๐’‚๐’”๐’† ๐’Ž๐’š ๐’…๐’“๐’†๐’‚๐’Ž๐’”. ๐‘ด๐’‚๐’š ๐’†๐’—๐’†๐’“๐’š ๐’”๐’•๐’†๐’‘ ๐‘ฐ ๐’•๐’‚๐’Œ๐’† ๐’•๐’‰๐’Š๐’” ๐’š๐’†๐’‚๐’“ ๐’๐’†๐’‚๐’… ๐’Ž๐’† ๐’„๐’๐’๐’”๐’†๐’“ ๐’•๐’ ๐’Ž๐’š ๐’‘๐’–๐’“๐’‘๐’๐’”๐’†. ๐Ÿ™๐ŸŽ‰โœจ

NAZEEKA SASAโ€ฆ๐Ÿ‘ด @freyson_jnr by @freyson_jnr
31
4 days ago
Download
LEO NIMEFIKA HATUA MUHIMU SANA โ€” FOLLOWERS 10K ๐ŸŽ‰

Ninapenda kuchukua muda kuwashukuru kila mmoja wenu kwa support yenu ya dhati. Asanteni sana kwa kunifuatilia, kwa likes, comments, shares, na maneno ya kunitia moyo. Kila hatua niliyopiga hadi kufikia hapa, imekuwa kwa sababu yenu.

Kuna nyakati zilikuwa ngumu, lakini uwepo wenu ulinipa nguvu ya kuendelea, ulinipa motisha ya kutokukata tamaa, na kunifanya niamue kuendelea kujenga kile ninachokiamini.

Hii si mwisho bali ni mwanzo wa safari kubwa zaidi. Naahidi kuendelea kuwapa habari na content bora, zenye thamani, na zinazowagusa moja kwa moja.

Naomba muendelee kunisapoti kama mlivyofanya hadi sasaโ€”tuendelee kukua pamoja. Kama bado hujanifollow, karibu sana kwenye familia ya Freyson Junior @freyson_jnr 

Special thanks to my family and beloved friends @kidosports_ @ngindomediatv @mtuwaball @kenny_jnr15 @hafidh_naputa @street_pundit @ackius_77 @dickson_beka255 @officialkevootz @mukhtarally_ @mohusein_15 @balldancer10 @kudra_mshairi @official_mr_azamfc_tz @mkisi_azam @therealbertha2 @isayahdede and others.๐Ÿ™

Mwanangu @jaydon_og_ Shukrani kwa kunikumbusha kila siku kuwa bila Mungu basi hakuna chochote kinawezekana na daima tuishi humo tukiwa na imani thabiti. My best friend @mskinnah1 thanks a lot always ulinipa maneno ya kunitia nguvu na kunifanya niamini kwamba naweza kufanya ninachofanya licha ya changamoto mbalimbali zinazotokea kila uchwao.

ASANTENI SANA SANA ๐Ÿ™ @freyson_jnr @freyson_media 

#freyson2026 taken in Tanzania by @freyson_jnr
32
4 months ago
Download
๐Ÿ“ฐ Viniฬcius Junior: Mtukutu Uwanjani, Lakini Mungwana wa Mpira

Katika ulimwengu wa soka, jina la Viniฬcius Junior limekuwa likitajwa mara nyingi kwa manjonjo yake, kasi, na wakati mwingine kwa tabia yake ya kuonyesha hasira uwanjani. Lakini nyuma ya sura hiyo ya ushindani mkali, kuna upande mwingine wa mchezaji huyu wa Real Madrid ambao haupewi nafasi kubwa na vyombo vya habari โ€” uungwana na heshima katika mchezo.

Mara kadhaa, Viniฬcius ameonekana akikabiliana na rafu kali kutoka kwa wapinzani, matusi ya kibaguzi, na chokochoko zinazoweza kumtoa mchezoni. Hata hivyo, mchezaji huyu kijana kutoka Brazil amekuwa akionyesha fair play kwa kiwango cha kuvutia, akiwasaidia wachezaji walioumizwa, na mara nyingine hata kukubali makosa yake kwa uungwana usio wa kawaida.

Tabia hizi ndizo zinazotofautisha Vini na wachezaji wengi wa kizazi kipya โ€” kizazi ambacho mara nyingi kinaonekana kufuata umaarufu kuliko maadili ya mchezo.

Wakati mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vikiwa vimejikita zaidi kuripoti matukio ya vurugu au majibizano yake na wapinzani, upande huu chanya wa Viniฬcius umesalia kivulini. Hata hivyo, kwa wanaoangalia kwa jicho la karibu, Viniฬcius ni mfano wa namna ushindani unaweza kuunganishwa na uungwana.

Kwa maneno mengine, Viniฬcius Junior ni ushahidi kwamba mpira si tu ushindani, bali pia ni somo la utu na heshima.

Follow @freyson_media  @freyson_jnr 
Follow @freyson_media @freyson_jnr 

#freysonsports1 #freysonupdates #freyson2025 #viniciusjr #realmadrid #realmadridfans #vinijr #freysontv by @freyson_jnr
1k
10 months ago
Download
Huyu mnamzingatiaโ€ฆ? by @freyson_jnr
0
10 hours ago
Download
๐Ÿšจ ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š Arsenal FC sasa wako kwenye nafasi kubwa ya kumsajili winga wa Real Madrid CF Vinicius Jr.๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธ

Arsenal imempa Vinicius Jr @vinijr ofa ya mshahara wa $500,000 kwa wiki ikiwa atakubali Kujiunga na Arsenal kwenye Dirisha hili.๐Ÿ’ฐ

Aidha, taarifa zinaeleza kuwa Viniฬcius anaweza pia kuamua kusalia Real Madrid hadi mkataba wake utakapomalizika, kisha aondoke bila ada ya uhamisho katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi mwakani.

Iwapo hali hiyo itatokea, klabu zitakazomhitaji zitakuwa na nafasi kubwa ya kumshawishi kwa kumpa mshahara mkubwa na marupurupu ya kuvutia, huku Real Madrid ikikosa fedha yoyote ya uhamisho.

Follow @freyson_jnr 
Follow @freyson_media 

#vinijr #viniciusjr #realmadrid #arsenal #freysonupdates taken in Madrid,Spain by @freyson_jnr
0
10 hours ago
Download
๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : CECAFA Kagame Cup

SIMBA SPORTS CLUB 0๏ธโƒฃโž–๏ธ0๏ธโƒฃ MOGADISHU CITY CLUB

Hii ni Kagame Cup na siyo ligi kuu, vipi mmeionaje mechi hii ya Simba?

@freyson_jnr taken in Kigali, Rwanda by @freyson_jnr
0
10 hours ago
Download
โ€ผ๏ธ๐Ÿ’ฅ BREAKING NEWS: Mabingwa wa Ulaya, PSG, wameanza kuchukua hatua za kumwania kiungo nyota wa Manchester City, Rodri, baada ya kuwasiliana na klabu hiyo ili kufahamu masharti ya kumsajili.

Mbali na PSG, vigogo wa Hispania Real Madrid wanaelezwa kuwa wanaongoza kwenye mbio za kumsajili Rodri na tayari wamefikia makubaliano ya awali na mchezaji huyo. Barcelona nayo imeonyesha nia ya kutaka huduma ya kiungo huyo wa kimataifa wa Hispania.

Kwa mujibu wa RMC Sport, licha ya PSG kutokuwa na mpango wa kusajili kiungo katika dirisha hili la usajili, viongozi wa klabu hiyo wanaona Rodri kama fursa ya kipekee sokoni, hasa kutokana na ukweli kwamba amebakiza mwaka mmoja pekee katika mkataba wake na Manchester City.

Hata hivyo, kwa sasa Real Madrid ndiyo inaonekana kuwa mbele zaidi katika mbio za kupata saini ya Rodri, huku PSG na Barcelona zikiendelea kufuatilia kwa karibu maendeleo ya usajili huo.

RODRIGO HERNAฬNDEZ AENDE WAPI?

Follow @freyson_jnr 
Follow @freyson_media taken in England by @freyson_jnr
0
14 hours ago
Download
#ripotizamaseko | Beki wa kati Juma Ramadhan Shemvuni amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Namungo Football club akitokea KMC Football club.

I was there @edgarmaseko_ taken in Tanzania by @freyson_jnr
1
18 hours ago
Download
#ripotizamaseko | Dodoma Jiji FC imefikia makubaliano na golikipa Mohamed Hussein "Muddy Color"  ya kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hio.

Mohamed Hussein amesaini mkataba wa miaka miwili.

I was there @edgarmaseko_ by @freyson_jnr
0
18 hours ago
Download
#ripotizamaseko | Beki wa kati Abdallah Denis "Viva" amefikia makubaliano na Mbeya City Football club ili aweze kua sehemu ya kikosi hicho msimu ujao.

I was there @edgarmaseko_ taken in Tanzania by @freyson_jnr
0
19 hours ago
Download
#ripotizamaseko | Golikipa Yona Amosi amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Singida Black Stars Football club kama mchezaji huru.

Kama nilivyoripoti hapa Yona Amosi ni Chui mpya.

I was there @edgarmaseko_ taken in Tanzania by @freyson_jnr
0
19 hours ago
Download
๐Ÿšจ Kocha Jose Mourinho ndiye aliyeweka Jina la Winga Yann Diomande @yandiomande kwenye usajili wa Real Madrid msimu huu. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช๐Ÿ’ฐ 

Jose Mourinho anamtaka Yann Diomande kubiresha safu yake ya Ushambuliaji, Real Madrid wako tayari kutoa ada ya โ‚ฌ120m.

Elewa PSG iliweka ada ya โ‚ฌ120m na RB Leipzig wakaikataa wao wanataka ada ya โ‚ฌ130m lakini kuna uwezekano mkubwa ada ya โ‚ฌ120m ya Real Madrid ikakubaliwa haraka kama wataiwasilisha.

Follow @freyson_jnr 
Follow @freyson_media 

#realmadrid #freysonsports1 #freysonupdates #yanndiomande #realmadridfans by @freyson_jnr
0
20 hours ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up