Instagram story viewer> @fundi_link> Posts
11.4K
followers
1614
following
All services, one app — technicians, construction, flooring, estates, logistics, relocation & more | Fundi Link available on Play Store & App Store
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
@fundi_link @fundi_link ☎️☎️0793 220 500 Huduma Zote, Wakati Wowote, Bila Stress!

Mwisho wa mwaka umefika, mvua za El Niño zinaharibu nyumba na kazi nyingi.

Lakini wewe ukiwa na Fundi Link app kila kitu kiko salama. 

# 0793 220 500

👉 Huduma zetu ni zaidi ya app — ni suluhisho la maisha
☎️☎️ 0793 220 500

• Usafi & Fumigation – nyumba yako ibaki safi na salama.

• Renovation & Ukarabati – badilisha muonekano bila maumivu ya kichwa.

• Ujenzi – mafundi wa kila kitu, kutoka msingi hadi finishing.

• Movers & Relocation – hamia bila stress, kila kitu kinasimamiwa.

• Landscaping – bustani yako iwe paradise ya kweli.

Hii siyo tu app, ni matokeo ya miaka 2 ya utafiti wa kina kuhakikisha unapata mafundi sahihi, wataalamu wa kutosha, na #site supervisors wanaosimamia kila hatua.

• Unapopiga simu ☎️☎️ 0793 220 500 au kupakua app, unahisi kila kitu kiko chini ya usimamizi wa kitaalamu.

• Hakuna tena “Fundi Juma” au “Maiko” wanaokosea kazi — hapa ni ubora, uaminifu na matokeo ya uhakika.

• Ni kama unavyohisi unapokanyaga sakafu ya premium — exclusive, tofauti.

Piga. ☎️☎️ 0793 220 500  huduma kwa wateja.

Mwisho wa mwaka huu, nyumba yako isiwe hadithi ya mafuriko — iwe mfano wa ubora na usalama! taken in Dar es Salaam, Tanzania by @fundi_link
0
19 days ago
Download
Kupitia @fundi_link @fundi_link tunao mafundi wa kutosha kwa kila huduma — hasa kwa wanaofanya #renovation na ukarabati.

Sisi Mkeka wa Mbao tuliona jinsi wateja wanavyoteseka kutafuta #mafundi na kuwasimamia; sio kazi rahisi!6

Kupitia @fundi_link @fundi_link , tunashughulikia kazi #zote za ujenzi, renovation, ukarabati, na upakaji rangi.

Hata kipindi cha El Niño, usihofu — tunao mafundi wazuri wa #paa wataka rekebisha mabati yako kwa ubora wa hali ya juu.

☎️☎️0793 220 500 taken in MbeziBeach (Africana) by @fundi_link
2
22 days ago
Download
@fundi_link @fundi_link 

Tunao mafundi wa #ujenzi, fundi rangi, fundi kupakua, decorations na mafundi wengine wengi.

Kazi zako zinasimamiwa kwa uzuri na utaalamu ili kuhakikisha matokeo bora na #ya kisasa.

@mkeka_wa_mbao_original @classic_finishestz 
Tunazo bidhaa bora za kisasa:

• Sakafu za mbao — vinyl, SPC, Spotlight, Firmfit
• Wall panels — za ndani na #nje, zenye uimara na muonekano wa kisasa

• Skirting boards — #finishing safi na ya kuvutia kwa nyumba na ofisi

Kwa ubora, sisi ndio wenyewe — bidhaa zetu zinakuletea muonekano wa kisasa, uimara, na thamani ya kudumu. taken in Halotel Tanzania by @fundi_link
0
23 days ago
Download
Kwani wewe ni Mke namba ngapi 😅😅😅😅😅 Kwa style hii nataka nibadilishe cheo kutoka kuwa Mke mkubwa niwe Mke mdogo, eti kuna shida? 

Hivi inawezekana kabisa kupenda watu kwa pamoja, najua walifu wenzangu inawezekana 😅😅😅😅”

@fundi_link @fundi_link wanakuhakikishia unapata huduma za mafundi bora wa kila kitu. Usijisumbue wala kupata taabu ya chochote — mafundi wa kila kitu wapo. Wewe tukabithi kazi yako iwe ujenzi, kupaka rangi na mengineyo

#ujenzi
#rennovation
#fundirangi
#wiring taken in Nyamwezi Kiungani Kariakoo by @fundi_link
16
25 days ago
Download
@fundi_link @fundi_link ,  Fundi Link App inapatikana bure kabisa kupitia Play Store na App Store.

📲 Pakua leo na ufurahie huduma mbalimbali chini ya usimamizi wa wataalamu wetu.

Je, umechoka #kugombana na #mafundi wasio waaminifu?
Kwa huduma za ujenzi, renovations, na #ukarabati kuelekea mwisho wa mwaka, @fundi_link ndiyo suluhisho. taken in Dar es Salaam, Tanzania by @fundi_link
2
a month ago
Download
@fundi_link @fundi_link ,  Fundi Link App inapatikana bure kabisa kupitia Play Store na App Store.

📲 Pakua leo na ufurahie huduma mbalimbali chini ya usimamizi wa wataalamu wetu.

Je, umechoka #kugombana na #mafundi wasio waaminifu?
Kwa huduma za ujenzi, renovations, na #ukarabati kuelekea mwisho wa mwaka, @fundi_link ndiyo suluhisho. taken in Tegeta, Dar es Salaam by @fundi_link
3
a month ago
Download
@fundi_link @fundi_link ,  Fundi Link App inapatikana bure kabisa kupitia Play Store na App Store.

📲 Pakua leo na ufurahie huduma mbalimbali chini ya usimamizi wa wataalamu wetu.

Je, umechoka #kugombana na #mafundi wasio waaminifu?
Kwa huduma za ujenzi, renovations, na #ukarabati kuelekea mwisho wa mwaka, @fundi_link ndiyo suluhisho.

Tunao #mafundi bora kabisa, na kazi yako yote inasimamiwa kwa weledi kupitia app ya Fundi Link.

🌟 Pakua Fundi Link leo na kazi zako ziwe mikononi mwa wataalamu. taken in Golden Tulip Dar-es-salaam City center by @fundi_link
0
a month ago
Download
@fundi_link @fundi_link 

Muonekano wa ndani wa nyumba au ofisi yako unaonyesha ubora na mtindo wako. 

Kwa huduma za #Interior Design & #Decor kutoka FundiLink, tunakusaidia kubadilisha mawazo yako kuwa uhalisia wenye uzuri na ubora.

✨ Interior Design
🛋️ Interior Decor
🎨 Colour & Space Planning
💡 Lighting Ideas
🏢 Home & Office Styling

📞 Piga simu: 0793 220 500
#FundiLink #InteriorDesign #InteriorDecor HomeStyling OfficeDesign taken in Mbweni, Dar Es Salaam, Tanzania by @fundi_link
0
2 months ago
Download
kama tupu sasa linabadilishwa kuwa ofisi ya kisasa kupitia Fundi Link na usimamizi wa #wahandisi wetu.

✅ Tumepanua mlango
✅ Kufanya office partition
✅ Kupaka rangi
✅ Kuweka security system
✅ Kusinstall AC na taa

Kila hatua iko chini ya usimamizi wa wataalamu kupitia #Fundi Link App — kutoka space #wazi hadi #modern #office yenye vibes za kisasa!

☎️☎️ 0793220500 taken in Bunju, Dar Es Salaam, Tanzania by @fundi_link
0
2 months ago
Download
Kupitia @fundi_link @fundi_link tunakuletea huduma za Usafi na Fumigation — majumbani, ofisini, viwandani, bustanini na maeneo mengine mengi.

Pakua @fundi_link @fundi_link ujionee huduma zetu zote. App hii ni bure kabisa!

Tunajivunia kuwa na #wataalamu wa kutosha kwa kila huduma tunayotoa, kuhakikisha ubora na ufanisi kila wakati.

☎️☎️ 0793220500 taken in Salasala by @fundi_link
0
2 months ago
Download
@fundi_link @fundi_link Eneo lililoanza kama tupu sasa linabadilishwa kuwa ofisi ya kisasa kupitia Fundi Link na usimamizi wa #wahandisi wetu.

✅ Tumepanua mlango
✅ Kufanya office partition
✅ Kupaka rangi
✅ Kuweka security system
✅ Kusinstall AC na taa

Kila hatua iko chini ya usimamizi wa wataalamu kupitia #Fundi Link App — kutoka space #wazi hadi #modern #office yenye vibes za kisasa!

☎️☎️ 0793220500 taken in MbeziBeach (Africana) by @fundi_link
0
2 months ago
Download
@fundi_link @fundi_link ndio Suluhisho,  Tunajua wateja wengi wameumizwa na mafundi wasio waaminifu — hasa upande wa kutengeneza samani za ndani kama makabati, vitanda, viti n.k.

Kupitia @fundi_link @fundi_link tunakuletea wataalamu wa #carpentry wenye uzoefu wa miaka mingi. 

Jukumu letu kuu ni kusimamia na kuhakikisha kazi zako zote zinakamilika kwa ubora.

☎️☎️ 0793220500 taken in Mbweni, Dar Es Salaam, Tanzania by @fundi_link
0
2 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up