Instagram story viewer> @grace_gavile> Posts
482
followers
211
following
MUSTSO vice president 2026/2027
POSTS STORIES REELS TAGGED
 by @grace_gavile
9
9 days ago
Download
MUSTSO 2026/2027📌
#uongoziwavitendo taken in Mafinga by @grace_gavile
3
13 days ago
Download
From leadership to brotherhood, we celebrate together🤍✨

Viongozi wa Mbeya University of Science and Technology Students’ Organization wakiongozwa na Rais(r), Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, wakishiriki kwa furaha katika kusherehekea ndoa ya aliyekuwa Rais wa MUSTSO, Aman Mdekha💍❤️ @aman_mdekha 

Moments like these remind us that leadership is not only about serving together, but also about celebrating, supporting and standing together as one family🥂✨

Congratulations to the newlyweds! 💐💍
May God bless your union abundantly🤍

Who killed it?? #challengeaccepted taken in Iringa, Tanzania by @grace_gavile
50
13 days ago
Download
Tukutane Kazini.
Mhe. Rais(r) George Gabriel Ndendya akiongozana na Mhe. Grace Sawile Gavile Makamu wa Rais pamoja na Ndg. Michael Musa Ollomi Waziri Mkuu  wakielekea Ofisini mara baada ya Kikao Cha ndani na Makamu Mkuu wa Chuo Cha MUST Prof. Aloys Mvuma.

Uongozi wa Vitendo Kwa Maendeleo ya Wote.

Cc. @mustso_president_ @grace_gavile @comrade_michael by @grace_gavile
30
a month ago
Download
Rais wa Serikali ya Wanafunzi (MUSTSO) amekutana na Makamu Mkuu wa Chuo cha Mbeya University of Science and Technology, Prof. Aloys N. Mvuma, katika kikao maalum kilicholenga kujadili masuala muhimu ya maendeleo ya wanafunzi pamoja na kuboresha mazingira ya kujifunzia na kuishi chuoni.
Katika mazungumzo hayo, pande zote mbili zilisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya uongozi wa chuo na serikali ya wanafunzi katika kuhakikisha ustawi wa wanafunzi na maendeleo ya taasisi kwa ujumla.
Aidha, Prof. Aloys N. Mvuma alieleza dhamira ya uongozi wa chuo kuendelea kusaidia jitihada za wanafunzi kitaaluma na kiubunifu, huku akihimiza nidhamu, ubunifu na bidii katika masomo kama msingi wa mafanikio yao. �
Mbeya University
Mkutano huo ni sehemu ya juhudi endelevu za MUSTSO kuimarisha mawasiliano na uongozi wa juu wa chuo kwa lengo la kujenga MUST iliyo bora zaidi.

#MUSTSO #MUST #StudentLeadership #Mbeya #UniversityLife Leadership Innovation. by @grace_gavile
12
a month ago
Download
This is MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY of honey and milk 🍯🍯🍼🍼 by @grace_gavile
18
2 months ago
Download
 by @grace_gavile
14
2 months ago
Download
📍DAR ES SALAAM 🇹🇿
Rais (r) wa Serikali ya Wanafunzi MUSTSO Mhe. George Gabriel Ndendya atoa salamu za Pongezi wa Washiriki na washindi wa UNI Awards 2026 @uniawards_tz hasa Washindi kutoka Chuo Cha MUST ambao ni Mr. Olivo Haule @official_shanboy  alieshinda tuzo ya best Male bongo fleva artist na Bi. Neema Theonest @official_neematheonest alieshinda tuzo ya best female presenter.

Aidha ameipongeza Kamati ya Maandalizi ya Tuzo hizi kwani ni tuzo zinazochochea, kukuza na kutambua vipaji vya wanafunzi nchini hasa Chuo cha MUST.

cc @mustso_president_ @grace_gavile @official_shanboy @official_neematheonest @uniawards_tz @basata.tanzania by @grace_gavile
6
2 months ago
Download
MUSTSO HESLB HELP DESK
Cc. @mustso_president_ @mbeya_university @heslb_tanzania @grace_gavile @comrade_michael by @grace_gavile
3
3 months ago
Download
Great Birthday celebration with great man of God mwl Ezekiel hon president and vice president at MUST
BORN TO BE BLESSING🔥
#Viralreels #uscfmust #birthday #trending by @grace_gavile
3
3 months ago
Download
 by @grace_gavile
1
3 months ago
Download
 by @grace_gavile
0
3 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up