Instagram story viewer> @heisngiringa> Posts
1.7K
followers
2046
following
CEO & Founder @jupiter_electronics1
BUSINESS ☎️: 0747-444-363
Email: [email protected]
POSTS STORIES REELS TAGGED
September To Remember taken in Moshi by @heisngiringa
23
18 days ago
Download
Maumivu ni sehemu kubwa ya mafanikio na watu wengi hatuaambiwi aya .tumezoea kuona mafanikio tu bila kujua sehem kubwa ya hayo mafanikio nyuma kulikuwa na maumivu . ATA YESU Alichagua Maumivu kwa ajili ya kutukomboa kwenye dhambi . Hii inatuonesha wazi kuwa Kama Tunapenda mafanikio basi Tuyapende na Maumivu pia . Maumivu katika dunia ya kila siku ni Vitu vyote tunavovifanya ata kama hatuvipendi Ila Tunafanya Tu ili Kufikia Malengo 🙏. Instead Ya kuepuka Face Them Anza Kuyapenda maana Ukishayazoea Ndio mafanikio Yenyewe 

WARUMI 8.18 

#mungunimwema taken in Moshi by @heisngiringa
55
21 days ago
Download
#vlog 
#contentcreator 
#fyp 
#AnyoneCanCook👨🏽‍🍳 by @heisngiringa
70
a month ago
Download
Kuwa bachelor Ila Hakikisha Una pisi Moja Inayokuzingatia 🙏
Happiest birthday to Me 🙏🙏
Grateful For another Year taken in Moshi by @heisngiringa
74
a month ago
Download
Embu Mtag Yule Rafiki yako Mbahili sana Kupitiliza 😂😂 taken in Kilimanjaro, Tanzania by @heisngiringa
73
2 months ago
Download
Thursday In 4K 
Swala la Kuoa Bado Bado Sana 😂😂📌

#mungunimwema #lifecoach taken in Moshi by @heisngiringa
44
2 months ago
Download
Bachelor pro max 😂🔥 Moja Kati ya Tharapy Nzuri sana kwenye maisha ni hii apa Kupika + Music make sure unapata sio CHINI ya sku 2 HADI 3 uwe unapika huku Una playlist Nzuri Enjoy 
Comment favorite part 🫶🩷

#mungunimwema #mwakawavita #lifestyle taken in Kilimanjaro, Tanzania by @heisngiringa
85
2 months ago
Download
Leo Comment Ziwe Chache 😂
Anyway Hili swala La Kuchoma Foil kwenye Gas mnalionaje !? 

🫶🩷comment your favorite part 
And also Lemme know niendelee na voice overs au niache 😂🙏

#lifestyle taken in Kilimanjaro, Tanzania by @heisngiringa
58
3 months ago
Download
Mtu asiniulize swala la Kuoa😂😂tafadhali sana 🙏🏿……

Day in life kama winga na finalist masomo ya udaktari 
Tv stand from @jupiter_electronics1 
Drumsticks 🍗 from @interchick_shambani 

# taken in USA by @heisngiringa
82
4 months ago
Download
Mambo yamekuwa mengi sana na Muda n mchache , Ipo sku tutaelevate kutoka kwenye haya Maisha Kwenda ya Juu zaidi ni Muhimu sana kukumbuka Tulipotoka Anyway Comment Your favorite part 🫶❤️✅. 

 Alafu Kipi Bora Ufanye usafi Ndio Ule au ukishamaliza kula Ndio Ufanye Usafi ?!
Nawasikiliza 

#fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #mwakawavita #vlog #friday by @heisngiringa
46
4 months ago
Download
Happy Father’s Day To all The fathers out there and the one in Heaven 🫶🙏. 
Cooking is a therapy akikisha unapata na playlist Nzuri tu 
Maswala Ya kuoa nishaurini baada ya miaka 5 🙏🏿🙏🏿
Comment your favorite part 🫶❤️
Thanks for the likes and the shares 🙏🏿🙏🏿

#mungunimwema #mwakawavita by @heisngiringa
66
4 months ago
Download
Maisha ya kawaida ya mwanachuo Apa Tanzania 🇹🇿 

 Umegundua nini??
Comment your favorite part ❤️🫶

#arsenal by @heisngiringa
81
4 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up