Instagram story viewer> @holysmile> Posts
18K
followers
6
following
Jukwaa la kutambua, kuthamini, kuunganisha na kusherehekea mafanikio ya wadau kutoka sekta mbalimbali. πŸŒπŸ†
POSTS STORIES REELS TAGGED
πŸ†πŸ”₯ MWANZA, MAPENDEKEZO YAMEFUNGULIWA RASMI!

Kuna majina yanajulikana kwa kelele, na kuna majina yanajengwa na kazi, matokeo na mchango kwa jamii. MDAU SHUPAVU AWARDS tunatafuta wale ambao matendo yao yanaacha alama.

✍️ JINSI YA KUPENDEKEZA MSHIRIKI
1️⃣ Andika jina kamili la mtu, biashara, kampuni au taasisi.
2️⃣ Andika kipengele unachompendekezea.
3️⃣ Mtag @mdaushupavu na @mdaushupavuawards kupitia Instagram na Facebook.

πŸ“… 18 – 30 SEPTEMBA 2026
πŸ“± WhatsApp/SMS: +255 622 891 972

Umaarufu unaweza kufanya jina lisikike, lakini mchango wenye matokeo ndio unaojenga legacy.

πŸ”₯ MWANZA, TUJITAMBUE β€’ TUUNGANE β€’ TUJENGE ZAIDI

Recognizing Impact β€’ Celebrating Excellence β€’ Building Legacy β€’ Inspiring Generations

Powered by HOLYSMILE by @holysmile
4
a month ago
Download
πŸ†πŸ”₯ MWANZA, MSIMU WA PILI UMEWADIA!

Vipengele rasmi vya MDAU SHUPAVU AWARDS – MWANZA 2026 | MSIMU WA PILI vimetangazwa rasmi.

Mwanza imejaa watu wenye maono, biashara zinazojenga uchumi, wabunifu wanaothubutu na taasisi zinazogusa maisha ya jamii. Sasa ni wakati wa kuwataja na kuwatambua wale ambao kazi na matokeo yao yanaacha alama. πŸ†

✍️ JINSI YA KUPENDEKEZA MSHIRIKI

1️⃣ Andika jina kamili la mtu, biashara, kampuni au taasisi unayopendekeza.
2️⃣ Andika kipengele unachompendekezea.
3️⃣ Mtag kupitia kurasa rasmi @mdaushupavu na @mdaushupavuawards kwenye Instagram na Facebook.

πŸ“… DIRISHA LA MAPENDEKEZO:
18 – 30 SEPTEMBA 2026

πŸ“± WhatsApp/SMS: +255 622 891 972

Umaarufu unaweza kufanya jina lisikike, lakini mchango wenye matokeo ndio unaojenga legacy.

πŸ”₯ MWANZA, TUJITAMBUE β€’ TUUNGANE β€’ TUJENGE ZAIDI

Recognizing Impact β€’ Celebrating Excellence β€’ Building Legacy β€’ Inspiring Generations

Powered by HOLYSMILE taken in Mwanza, Tanzania by @holysmile
2
a month ago
Download
πŸ†πŸ”₯ MWANZA, MSIMU WA PILI UMEWADIA!

Leo tunafungua rasmi ukurasa mpya wa MDAU SHUPAVU AWARDS – MWANZA 2026 | MSIMU WA PILI kwa kutangaza VIPENGELE RASMI vya msimu huu.

Mwanza ina watu wanaofanya kazi kimya, biashara zinazojenga uchumi, wabunifu wanaobadilisha tasnia na taasisi zinazogusa maisha ya jamii. Huu ni wakati wa kuwatambua.

Hatupimi umaarufu pekee tunatazama kazi, matokeo, impact na alama unayoiacha kwa wengine. πŸ†

Kwa sababu mafanikio yanapotambuliwa, hayabaki kuwa ushindi wa mtu mmoja; yanakuwa hamasa kwa kizazi kizima.

πŸ“ MWANZA 2026 | MSIMU WA PILI

πŸ”₯ TUJITAMBUE β€’ TUUNGANE β€’ TUJENGE ZAIDI

Recognizing Impact β€’ Celebrating Excellence β€’ Building Legacy β€’ Inspiring Generations

Powered by HOLYSMILE taken in Mwanza, Tanzania by @holysmile
0
a month ago
Download
πŸ†πŸ”₯ KAGERA, MAPENDEKEZO YAMEFUNGULIWA RASMI!

Sasa ni wakati wa kuwataja wale ambao kazi na matokeo yao yanaacha alama katika jamii.

Dirisha la MAPENDEKEZO – MDAU SHUPAVU AWARDS KAGERA 2026 | MSIMU WA PILI limefunguliwa rasmi. πŸ†

✍️ JINSI YA KUPENDEKEZA
1️⃣ Andika jina kamili la unayempendekeza.
2️⃣ Andika kipengele unachompendekezea.
3️⃣ Mtag kupitia kurasa rasmi @mdaushupavu na @mdaushupavuawards kwenye Instagram na Facebook.

πŸ“… DIRISHA LA MAPENDEKEZO
πŸ”₯ 17 – 30 SEPTEMBA 2026

πŸ“± WhatsApp/SMS: +255 622 891 972

Unamjua mtu, biashara, kampuni au taasisi inayofanya tofauti ndani ya Mkoa wa Kagera? Mpendekeze sasa!

Mchango wenye maana haupaswi kupita kimya. Tunatambua kazi, tunathamini matokeo na tunajenga legacy. πŸ†

πŸ”₯ KAGERA, TUJITAMBUE β€’ TUUNGANE β€’ TUJENGE ZAIDI

Powered by HOLYSMILE taken in Bukoba, Tanzania by @holysmile
2
a month ago
Download
πŸ†πŸ”₯ KAGERA, MAPENDEKEZO YAMEFUNGULIWA RASMI!

Sasa ni wakati wa kuwataja wale ambao kazi na matokeo yao yanaacha alama katika jamii.

Dirisha la MAPENDEKEZO – MDAU SHUPAVU AWARDS KAGERA 2026 | MSIMU WA PILI limefunguliwa rasmi. πŸ†

✍️ JINSI YA KUPENDEKEZA
1️⃣ Andika jina kamili la unayempendekeza.
2️⃣ Andika kipengele unachompendekezea.
3️⃣ Mtag kupitia kurasa rasmi @mdaushupavu na @mdaushupavuawards kwenye Instagram na Facebook.

πŸ“… DIRISHA LA MAPENDEKEZO
πŸ”₯ 17 – 30 SEPTEMBA 2026

πŸ“± WhatsApp/SMS: +255 622 891 972

Unamjua mtu, biashara, kampuni au taasisi inayofanya tofauti ndani ya Mkoa wa Kagera? Mpendekeze sasa!

Mchango wenye maana haupaswi kupita kimya. Tunatambua kazi, tunathamini matokeo na tunajenga legacy. πŸ†

πŸ”₯ KAGERA, TUJITAMBUE β€’ TUUNGANE β€’ TUJENGE ZAIDI

Powered by HOLYSMILE taken in Kagera, Bukoba by @holysmile
1
a month ago
Download
πŸ†πŸ”₯ OFFICIAL CATEGORIES ANNOUNCEMENT | KAGERA 2026

KAGERA, MSIMU WA PILI UMEWADIA!

Leo tunafungua rasmi ukurasa mwingine wa safari ya MDAU SHUPAVU AWARDS – KAGERA 2026 | SEASON II kwa kutangaza VIPENGELE RASMI vya msimu huu.

Hatutafuti majina makubwa pekee; tunatafuta kazi yenye alama, mchango wenye matokeo na watu wanaofanya tofauti katika jamii. Kutoka biashara, ubunifu, sanaa na burudani hadi elimu, afya, kilimo, huduma za kifedha na maendeleo ya jamiiβ€”kila sekta ina hadithi inayostahili kutambuliwa. πŸ†

Kwa sababu mafanikio yanapotambuliwa, yanakuwa hamasa kwa wengine kuthubutu kufanya zaidi.

πŸ“ KAGERA 2026 | MSIMU WA PILI

TUJITAMBUE β€’ TUUNGANE β€’ TUJENGE ZAIDI

Recognizing Impact β€’ Celebrating Excellence β€’ Building Legacy β€’ Inspiring Generations

Powered by HOLYSMILE taken in Kagera, Tanzania by @holysmile
1
a month ago
Download
πŸ† MDAU SHUPAVU AWARDS – GEITA 2026

πŸ”₯ MSIMU WA PILI | MAPENDEKEZO YAMEFUNGULIWA RASMI!

Geita ina watu wanaofanya kazi kimya, biashara zinazobadilisha maisha na taasisi zinazogusa jamii. Sasa ni wakati wa kuwataja, kuwatambua na kuwapa nafasi ya kuonekana.

✍️ JINSI YA KUPENDEKEZA

1️⃣ Andika jina kamili la unayempendekeza.
2️⃣ Andika kipengele unachompendekezea.
3️⃣ Mtag kupitia kurasa rasmi @mdaushupavu na @mdaushupavuawards kwenye Instagram na Facebook.

πŸ“… 16 – 25 SEPTEMBA 2026
πŸ“± WhatsApp/SMS: +255 622 891 972

πŸ† Unamjua mtu, biashara, kampuni au taasisi inayostahili kutambuliwa ndani ya Mkoa wa Geita? Mpendekeze sasa.

Kwa sababu mchango usipotambuliwa unaweza kusahaulika, lakini ukitambuliwa unaweza kuwa historia inayohamasisha kizazi kingine.

GEITA, TUJITAMBUE β€’ TUUNGANE β€’ TUJENGE LEGACY.

Recognizing Impact β€’ Celebrating Excellence β€’ Building Legacy

Powered by HOLYSMILE taken in Katoro Geita by @holysmile
92
a month ago
Download
πŸ†πŸ”₯ GEITA, MSIMU WA PILI UMEWADIA!

Safari ya MDAU SHUPAVU AWARDS & DINNER GALA – GEITA 2026 inaanza rasmi. Huu ni msimu wa kutambua mchango, kuthamini matokeo na kusherehekea wale wanaoacha alama ndani ya jamii.

πŸ“… 16 OCTOBA 2026
⏰ Saa 12:00 Jioni
πŸ“ GEITA

🎟️ VIINGILIO
NORMAL β€” TSh 100,000
VIP β€” TSh 200,000
VIP TABLE | Watu 4 β€” TSh 1,000,000
VIP TABLE | Watu 10 β€” TSh 2,000,000
VVIP TABLE | Watu 5 β€” TSh 1,500,000
PLATINUM TABLE | Watu 10 β€” TSh 3,000,000

πŸ“ž Booking: 0756 254 146

πŸ”₯ GEITA, TUJIANDAE!
TUJITAMBUE β€’ TUUNGANE β€’ TUJENGE ZAIDI

Recognizing Impact β€’ Celebrating Excellence β€’ Building Legacy

Powered by HOLYSMILE taken in Geita by @holysmile
2
a month ago
Download
πŸ†πŸ”₯ GEITA, WAKATI WETU UMEFIKA!

Kuna watu wanafanya kazi kimya, lakini matokeo yao yanazungumza kwa sauti kubwa. Kuna biashara zilizoanza kama ndoto, leo zimekuwa ajira. Kuna watu ambao hawapo kila mahali kwenye mitandao, lakini alama yao ipo kwenye maisha ya jamii.

Hao ndio tunaowatafuta.
Hao ndio tunaowatambua.
Hao ndio tunaowapa maua yao wakiwa bado wanaweza kuyaona. πŸŒΉπŸ†

MDAU SHUPAVU AWARDS & DINNER GALA – GEITA 2026 | MSIMU WA PILI ni zaidi ya tuzo; ni jukwaa la HESHIMA, FURSA, MAHUSIANO na LEGACY.

πŸ“… 16 OCTOBA 2026
⏰ Saa 12:00 Jioni
πŸ“ GEITA

πŸ“ž Booking: 0756 254 146

πŸ”₯ GEITA, TUJIANDAE!
TUJITAMBUE β€’ TUUNGANE β€’ TUJENGE ZAIDI

Kwa sababu historia haiwakumbuki waliokuwepo tuβ€”inakumbuka wale walioacha alama.

Recognizing Impact β€’ Celebrating Excellence β€’ Building Legacy

Powered by HOLYSMILE taken in Geita by @holysmile
1
a month ago
Download
πŸ† MDAU SHUPAVU AWARDS – SIMIYU 2026

MSIMU WA PILI | MAPENDEKEZO YAMEFUNGULIWA πŸ”₯

Dirisha la MAPENDEKEZO YA VIPENGELE vya MDAU SHUPAVU AWARDS – MKOA WA SIMIYU 2026 | MSIMU WA PILI limefunguliwa rasmi!

✍️ JINSI YA KUPENDEKEZA

1️⃣ Andika jina kamili la unayempendekeza.
2️⃣ Andika kipengele unachompendekezea.
3️⃣ Mtag kupitia kurasa rasmi za @mdaushupavu na @mdaushupavuawards kwenye Instagram na Facebook.

πŸ“… DIRISHA LA MAPENDEKEZO:
16 – 25 SEPTEMBA 2026

πŸ“± WhatsApp/SMS:
+255 622 891 972

Unaemjua ndani ya Mkoa wa Simiyu anayefanya kazi yenye matokeo na anastahili kutambuliwa? Huu ndio wakati wake. πŸ†

Recognizing Impact β€’ Celebrating Excellence β€’ Building Legacy

Powered by HOLYSMILE by @holysmile
127
a month ago
Download
πŸ† SHINYANGA INA WADAU SHUPAVU!

Dirisha la MAPENDEKEZO YA VIPENGELE vya MDAU SHUPAVU AWARDS – SHINYANGA 2026 | MSIMU WA PILI limefunguliwa rasmi! πŸ”₯

Hii ni nafasi yako ya kutaja watu, biashara, taasisi na wadau unaoamini kazi zao zinaonekana, mchango wao una maana na impact yao inastahili kutambuliwa.

✍️ JINSI YA KUPENDEKEZA
1️⃣ Andika jina kamili la unayempendekeza.
2️⃣ Andika kipengele unachompendekezea.
3️⃣ Mtaje pamoja na @mdaushupavu.

πŸ“… MWISHO: 16 SEPTEMBA 2026
πŸ“± WhatsApp/SMS: +255 622 891 972

Usisubiri jina unaloliamini litajwe na mwingine. Litaje wewe.
Kwa sababu wakati mwingine historia huanza na mtu mmoja kusema: β€œHuyu anastahili kutambuliwa.”

Recognizing Impact β€’ Celebrating Excellence β€’ Building Legacy.

#MdauShupavuAwards #Shinyanga2026 #MsimuWaPili #ShinyangaInaWadauShupavu #HolySmile taken in Mdau Shupavu by @holysmile
20
a month ago
Download
πŸ† MDAU SHUPAVU AWARDS – SHINYANGA 2026

MSIMU WA PILI | OFFICIAL AWARD CATEGORIES

SHINYANGA, MSIMU WA PILI UMEWADIA! πŸ”₯πŸ†

Baada ya mafanikio ya msimu uliopita, MDAU SHUPAVU AWARDS inarejea rasmi Mkoa wa Shinyanga kwa MSIMU WA PILI – 2026, ikiwa na dhamira ya kutambua, kuthamini na kusherehekea watu, biashara, taasisi, kampuni na wadau wanaoleta matokeo yenye maana katika maendeleo ya Mkoa wetu.

Hivi ndivyo VIPENGELE RASMI vya msimu huu:

πŸ’Ό BUSINESS, ENTREPRENEURSHIP & COMMERCE

01. Best Entrepreneur & Business Leader
02. Best Innovative Business / Company
03. Best Female Business Influencer
04. Best Youth Startup Entrepreneur
05. Best Brand of the Year
06. Best Retail Store
07. Best Hardware Store
08. Best Emerging Company
09. Best Trendy Clothing Store
10. Best Fashion Designer & Tailor

πŸ’„ BEAUTY, FASHION & PERSONAL CARE

11. Best Salonist & Creative Hairstylist
12. Best Cosmetics Influencer
13. Best Cosmetics Service Provider
14. Best Makeup Artist
15. Best Barbershop

🍽️ HOSPITALITY, FOOD & EVENTS

16. Outstanding Hospitality Destination
17. Best Hotel Service Provider
18. Best Restaurant & Café Service Provider
19. Best Hospitality & Entertainment Venue
20. Best Catering Service Provider
21. Best Cultural Catering Influencer
22. Best Cake Service Provider
23. Best Bakery & Snacks Service Provider
24. Best Decoration Service Provider
25. Best Bridal & Event Styling Service
26. Best Entertainment Group
27. Best Music, Sound & Entertainment Service Provider

🌍 TOURISM & RECREATION

28. Best Tourism & Cultural Influencer
29. Best Community & Recreation Spot

πŸ“Ί MEDIA, DIGITAL & CREATIVE INDUSTRY

30. Best FM Radio Station
31. Best Online TV & Digital Media Platform
32. Best Media Personality
33. Best Social Media Influencer
34. Best Content Creator
35. Best Photography & Videography Studio
36. Best Public & Community Photographer
37. Best Cinematographer
38. Best Artist Influencer
39. Best DJ
40. Best Female MC
41. Best Male MC

🚚 TRANSPORT, ENERGY & BUSINESS SERVICES

42. Best Transport & Logistics Service Provider
43. Best Energy & Gas Distributor
44. Best Furniture Service Provider

⛏️ MINING & NATURAL RESOURCES

Kwa kuzingatia nafasi kubwa ya sekta. taken in Mdau Shupavu by @holysmile
126
a month ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up