Instagram story viewer> @i_joohman> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Luka 2
40 Yule mtoto akakua, akaongezeka nguvu, amejaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake....Nahuyo mtoto ndio Mimi na sote tuseme Amen 🙏😄..#happy  #birthday to me 🎂🥳🥳 by @i_joohman
2
5 months ago
Download
*_Ooh, Has He been good to Us at all? We celebrate and appreciate Him with - Thank You, Lord_* 🙏
#ircc #ministry #jesuslovesyou taken in Kahama, Shinyanga, Tanzania by @i_joohman
1
9 months ago
Download
Picture with I_Jooh 
#picture #photographer #jesus #jesuslovesyou taken in Kahama Town by @i_joohman
0
9 months ago
Download
Confirmed!
Promoted!
Approved!
Accepted!
Congrats!
Cleared!

Director I_Jooh 
#photographer #work #jesus taken in Kahama Town by @i_joohman
4
9 months ago
Download
*NDUGU USIACHE...*

Usiache mambo ya Mungu uliyoyaanza... 

Ubora huonekana kwa kuendelea kutenda. 

Usiache kujazwa Roho. 

Waefeso 5:18
[18]Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;

YAWE ni maisha yako. Wewe siyo mtu mwenye mwili tu bali wa rohoni. 

Tembea katika Roho. 

Usiache kutumia karama za Roho. 

1 Timotheo 4:14
[14]Usiache kuitumia karama ile iliyomo ndani yako, uliyopewa kwa unabii na kwa kuwekewa mikono ya wazee.

Tena ujikumbushe na kutenda bila hofu. 

2 Timotheo 1:6-7
[6]Kwa sababu hiyo nakukumbusha, uichochee karama ya Mungu, iliyo ndani yako kwa kuwekewa mikono yangu.
[7]Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi.

Usiache kabisa kujifunza be INTENTIONAL, panga kabisa.

Matendo ya Mitume 2:42
[42]Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali.

Usiache kabisa kuomba na kufurahi katika Roho. 

1 Wathesalonike 5:16-17
[16]Furahini siku zote;
[17]ombeni bila kukoma;

Wakolosai 4:2-4
[2]Dumuni sana katika kuomba, mkikesha katika kuomba huku na shukrani;
[3]mkituombea na sisi pia, kwamba Mungu atufungulie mlango kwa lile neno lake, tuinene siri ya Kristo, ambayo kwa ajili yake nimefungwa,
[4]ili niidhihirishe, kama inipasavyo kunena.

Usiache kusema Injili kwenye wenye dhambi. 

Marko 16:15-16
[15]Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
[16]Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

WEWE USIACHE. 

ENDELEA KUJIFUNZA, 
ENDELEA KUOMBA,
ENDELEA KUJAZWA,
ENDELEA KUSEMA,
ENDELEA KUFANYA..

NI KUENDELEA. 

2025 GOING FOR THE DOUBLE. 

Be INTENTIONAL. 
Weka nia ya kufanya. 

Hiyo ndiyo namna ya KUTOMZIMISHA ROHO. 

By Pastor Benny Mhagale MD 
IRCC WORD-WIDE 
"Only Life In Jesus" taken in Kahama, Shinyanga, Tanzania by @i_joohman
0
10 months ago
Download
taken in Kahama, Shinyanga, Tanzania by @i_joohman
6
a year ago
Download
Mood 😁 😁 taken in Kahama  Town by @i_joohman
6
2 years ago
Download
 by @i_joohman
1
2 years ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up