Instagram story viewer> @iaaso_dar> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Tarehe 04/07/2026, Rais wa Serikali ya Wanafunzi, Mh. Salim Sadick Mnemo, alivunja rasmi Bunge la Serikali ya Wanafunzi.

Tukio hili lilitanguliwa na uwasilishaji wa Ripoti ya Utekelezaji wa Kazi za Serikali kwa mwaka wa masomo 2025/2026, iliyowasilishwa na Waziri Mkuu. Ripoti hiyo ilianika mafanikio, changamoto, na hatua zilizopigwa katika kuwatumikia wanafunzi.

Tunawashukuru viongozi wote, wabunge, na wanafunzi kwa ushirikiano mkubwa katika kipindi chote cha uongozi huu.

Uongozi ni Utumishi! 🤝
IaaNextLevo

#StudentGovernment #Leadership #CampusLife #InstituteOfAccountancyArusha #IAA StudentCouncil TanzaniaStudents FutureLeaders taken in Kijitonyama, Dar es Salaam, Tanzania by @iaaso_dar
0
15 hours ago
Download
Hongera Stanslaus James Bosongo 
Spika wa Bunge la serikali ya wanafunzi Chuo Cha Uhasibu Arusha kampasi ya Dar es salaam.
#election #iaastudents #iaa taken in Kijitonyama, Dar es Salaam, Tanzania by @iaaso_dar
4
12 days ago
Download
Hongera Yunge Sumbu 
Prime minister IAASO DAR CAMPUS 
#iaa #iaastudents taken in Kijitonyama, Dar es Salaam, Tanzania by @iaaso_dar
9
15 days ago
Download
David Somoka (Mwenyekiti IAASO) Pamoja na Daniela Rwamukwaya (Makamu mwenyekiti IAASO) wapishwa rasmi kuongoza serikali ya wanafunzi Chuo Cha Uhasibu Arusha kampasi ya Dar es salaam.
#UongoziWaWanafunzi #iaastudents taken in Kijitonyama, Dar es Salaam, Tanzania by @iaaso_dar
0
15 days ago
Download
Chair Person IAASO DAR CAMPUS 
Vice Chair Person IAASO DAR CAMPUS 
2026/2027
#election #iaastudents #iaastudents taken in Kijitonyama, Dar es Salaam, Tanzania by @iaaso_dar
5
16 days ago
Download
Uapisho waTume ya Uchaguzi 2026/207
#tume #iaanextlevo #iaastudents #election taken in Kijitonyama, Dar es Salaam, Tanzania by @iaaso_dar
3
17 days ago
Download
Upcoming league 
UNISOKA LEAGUE WE ARE READY 🔥🔥
#unisoka 
@unisokaleaguetz 
#IAAStudents #iaa #fifaworldcup taken in Kijitonyama, Dar es Salaam, Tanzania by @iaaso_dar
5
18 days ago
Download
General election (IAASO DAR CAMPUS)
#iaa #IAAStudents #election taken in Kijitonyama, Dar es Salaam, Tanzania by @iaaso_dar
134
19 days ago
Download
TAARIFA KUTOKA IAA DAR MEDIA

Mhe. Salim Sadick Mnemo, Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kampasi ya Dar es Salaam, kupitia mamlaka aliyonayo, amelivunja rasmi BUNGE la serikali ya wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2025/2026 tarehe 04 Julai, 2026.

Tunawatakia kila la kheri wabunge na viongozi wote waliomaliza muda wao wa utumishi, na tunasubiri kwa hamu hatua zinazofuata katika uongozi wa kampasi yetu.

#IAADarMedia #IAASODar #UongoziUjana #LookIntoTheFuture #leadthewaywithiaa taken in Kijitonyama, Dar es Salaam, Tanzania by @iaaso_dar
1
20 days ago
Download
Wajumbe wa kamati ya Uchaguzi mkuu wa Serikali ya wanafunzi Chuo Cha Uhasibu Arusha 
#IAAStudents 
#iaa taken in Tanzania by @iaaso_dar
5
24 days ago
Download
Uchaguzi wa wajumbe wa Tume ya Uchaguzi mkuu wa Serikali ya wanafunzi Chuo Cha Uhasibu Arusha umefanyika leo na kupata wajumbe wote waliostahili kwa mchakato wa kura uliofanyika.
#iaa taken in Tanzania by @iaaso_dar
0
24 days ago
Download
Best wishea to
All Bachelor's Degree for your exams
#IAAStudents taken in Tanzania by @iaaso_dar
0
2 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up