Instagram story viewer> @iam_kadodo> Posts
104K
followers
2808
following
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Working under @tanzaniaparks
Kindly Visit @mikumi_nationalpark
"𝙉𝙖𝙩π™ͺπ™§π™š π™žπ™¨ 𝙣𝙀𝙩 𝙖 π™₯π™‘π™–π™˜π™š 𝙩𝙀 π™«π™žπ™¨π™žπ™©, π™žπ™© π™žπ™¨ π™π™€π™’π™š"
POSTS STORIES REELS TAGGED
πŸ“ŒHii ni ndani ya Hifadhi ya Taifa Mikumi,Hifadhi pekee utakayoweza kujionea Mandhari ya kuvutia pamoja na makundi makubwa ya wanyama kwa muda mfupi sana.
πŸ“ŒBrother @dullahplanet ambaye ni Mwandishi wa Habari na aliyekuwa mkali wa kipindi cha redio cha Planet Bongo na kipindi cha TV cha Friday Night Live EATV & Redio ameichagua @mikumi_nationalpark wewe je? Usiachwe na uzuri huu😊😊
.Β Β Β Β Β Β Β  .Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β  .
πŸ“Mikumi National Park
πŸ“Έ @jmaxx._ 
.
#mikumi #tanzania #nature#safetravels #enjoy #safaritanzania by @iam_kadodo
54
3 years ago
Download
πŸ“ŒIt was nice time to meet Conservation and Tourism Ambassador,Call her β€œLioness” @nakaayasumari 😊😊 on her visit to the β€œHome of wonders and true wilderness adventure” @mikumi_nationalpark 
πŸ“ŒIt was a great time to have you and we value your efforts towards conservation and Tourism in general,Kindly visit us again for another timeπŸ™
πŸ“Mikumi National Park
πŸ“Έ @nakaayasumari 
#lion #lioness #utalii #utaliiwandani taken in Mikumi National Park by @iam_kadodo
62
a year ago
Download
πŸ“ŒKaribuni mtembelee banda la Hifadhi za Taifa Tanzania lililopo hapa kwenye Viwanja vya Mwl J.K Nyerere maarufu kama Nane Nane tukupe taarifa mbalimbali za Hifadhi zetu.

πŸ“ŒMnajua kuwa msimu huu wa Nanenane kuna Ofa kabambe za kutembelea @mikumi_nationalpark  na @udzungwamountain_national_park? 😊😊
 
πŸ“Œ@tanzania_smile_safaris_ wameandaa safari itakayokata kiu hiyo ya siku mbili na kuwa na usiku mmoja ndani ya Hifadhi😊
#mikuminationalpark 
#udzungwanationalpark 
#utaliiwandaniπŸ‡ΉπŸ‡Ώ 
#utaliipopote taken in Morogoro, Tanzania by @iam_kadodo
20
a year ago
Download
Katika kuendeleza kampeni ya VOTE NOW 2026,Miss Grand International 2026, Jihan Dimack @jihandimack ameungana na TANAPA kupigia kura Hifadhi za Taifa Tanzania zilizoingia kwenye Tuzo za Utalii Duniani lakini pia kuhamasisha Watanzania kuzipigia kura Hifadhi za Taifa zilizoteuliwa kuwania tuzo za Dunia za Utalii (WTA) za mwaka 2026βœ…οΈπŸ†

πŸ“ŒJihan alipokelewa jijini Dar es Salaam akitokea Thailand, na mara moja akaingia kwenye kampeni ya #VoteNow2026 kusaidia Hifadhi za Taifa Tanzania kushindaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Tafadhali shiriki kupiga kura katika vipengele vifuatavyo:

a.) World’s Leading Destination 2026
Chagua: Tanzania

b.) World’s Leading National Park 2026
Chagua: Serengeti National Park

c.) World’s Leading Tourist Attraction 2026
Chagua: Mount Kilimanjaro

d.) World’s Leading Honeymoon Destination 2026
Chagua: Kitulo National Park

Kura Yako, Ushindi Wetu!!

#VoteNow2026 #TANAPA #WorldTravelAwards #TanzaniaUnforgettable taken in Tanzania by @iam_kadodo
0
13 hours ago
Download
Mikumi Special Tour
With My brother 

@iam_kadodo 

at @mikumi_nationalpark by @iam_kadodo
8
19 hours ago
Download
Who Else Think Like I Do? 🀣🀣
If I were an Elephant, I would probably call all other animals MY LITTLE BABIES πŸ˜‚πŸ˜‚.

Imagine being bigger than any one who comes near to me feels frightened.
Happy Weekend πŸ₯³#elisawildlife #natgeowild #africanamazing #tanzanianationalparks #serengetinationalpark taken in Serengeti National Park by @iam_kadodo
5
a day ago
Download
Moja na mbili kwenye harakati za ofisa kama kawaida yake hapo atatembea halafu baadae atasimama halafu anasahau kama alikuwa anafukuzwaπŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
#naturephotography 
#nature 
#adventure by @iam_kadodo
16
2 days ago
Download
Ni mara nyingi sana nimepost Picha, videos na nimeshea ujuzi wangu kuhusu wanyama pori na ninyi ndio support yangu comments like zinu ndo zilikuwa zinanitia moyo na hii kitu naifanya kwasababu napenda Nakupenda sana asili (nature) usiniache wewe ni mwanga wangu daima sitokuacha wala kukuchiti tupendane mpaka nitakapo kufata ardhini mimi ni wako leo mpaka kesho isiyokuwa na mwisho forever @twizzy_tours_and_safari  please repost , share like 

Camera man @twizzy_tours_and_safari 

@madealsimba @stantony_tz @zainabansell @tanzaniasafarichannel by @iam_kadodo
2
2 days ago
Download
As the afternoon winds down, the savannah puts on its grandest show. The light softens into a warm amber glow, turning every elephant herd and grazing zebra into a living piece of art.

It’s a beautiful, fleeting transition from the bustling daytime to the mysterious shadows of the @mikumi_nationalpark  night. by @iam_kadodo
11
3 days ago
Download
Si unaona kaofisa kanavyoanzia na kubwa hapo kana uweo wa kumaintain hiyo speed hadi kufikia umbali wa mita 600 muda ambao sharubu lazima ashatoa ulimi njeπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜„πŸ˜„
#naturephotography 
#nature 
#adventure by @iam_kadodo
3
3 days ago
Download
Kila nikikutana na simba naona kitu tofauti. Simba wa Serengeti wana ndevu wote au!!!??. Au ni paka wote?? Tofautisha na sharubuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£. Kwa nini Simba anaitwa paka mkubwa na paka wa nyumbani anaitwa nyauπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Picha za karibu za simba wa serengeti zimechukuliwana @canoncamera camera

#celebrateafrica 
#canonphotography 
#utaliiwandani 
#ttb taken in Serengeti National Park, Tanzania by @iam_kadodo
0
3 days ago
Download
Moyo wa mtu huifikiria njia. Bali bwana huziongoza hatua zake [mithali 16:9]  rafiki zetu ndio ndugu zetu FAM 4L πŸ“Œ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @iam_kadodo
19
3 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up