Instagram story viewer> @iamdejumbo> Posts
422
posts
21.7K
followers
995
following
Journalist | Music Analyst
Breaking Down the Music Industry 🌍
Weekly Charts • Smart Reviews
Connecting Fans & Artists
📊 Data-driven. Culture-focused.
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Tayari imepita miaka 16 tangu @mwasitij aachie wimbo wake maarufu wa "Sio Kisa Pombe" uliotoka rasmi tarehe 5 Februari 2010 kama sehemu ya albamu yake ya #Kamili.

Ukiachana na mistari ya hadhi ya nyota tano kutoka kwa @quickrocka beat la viwango vya FIFA  @tuddthomas heshima za pekee zimuendee Mopao @barnabaclassic kama sehemu ya watu walioshiriki kuandaa historia inayoendelea kuishi.

Mpaka leo, wimbo huu bado unahesabika kuwa miongoni mwa classics za Bongo Flava zinazopendwa na wengi.

N:B Nakaribisha maelekezo, nyongeza au marekebisho🙏

Je, huu ni miongoni mwa nyimbo unazozikumbuka mpaka leo? 👇 by @iamdejumbo
7
23 days ago
Download
Wimbo "Oliver Twist" wa D'banj haukupewa jina hilo kwa bahati mbaya. Umechochewa na mhusika wa riwaya maarufu Oliver Twist wa Charles Dickens, ambaye alikuwa maarufu kwa kusema, "Please, sir, I want some more." 

D'banj alitumia wazo hilo kwa ucheshi kuonyesha tamaa yake ya kuwa na wanawake wengi warembo, huku akiwataja mastaa kama Beyoncé, Rihanna na Nicki Minaj.

Wimbo huu uliweka historia kwa kuwa wimbo wa kwanza wa Afrobeats kutoka Nigeria kuingia kwenye Top 10 ya UK Singles Chart, ukifika nafasi ya 9 mwaka 2012. Pia uliongoza UK R&B Chart na kushinda tuzo ya Song of the Year kwenye Headies 2012.

🔥 "Oliver Twist" ni moja ya nyimbo zilizofungua njia kwa mafanikio ya Afrobeats duniani.

#Dbanj #OliverTwist #Afrobeats #Nigeria taken in Lagos, Nigeria by @iamdejumbo
5
23 days ago
Download
Je, ulijua kuwa wimbo wa "Todii" wa Oliver Mtukudzi ambao wengi huucheza kwenye harusi na sherehe, kwa kweli ni wimbo wa majonzi makubwa? 💔

Wimbo huu ulitungwa kuzungumzia athari za janga la UKIMWI, lakini Mtukudzi alichagua kutolitaja neno hilo moja kwa moja. Badala yake, alitumia lugha ya kishairi na misemo ya Kishona iliyogusa mioyo ya wengi.

Kupitia ujumbe mzito wa Todii, Oliver Mtukudzi alisaidia kuvunja ukimya kuhusu UKIMWI na baadaye akateuliwa kuwa Balozi wa UNICEF kwa Kanda ya Kusini mwa Afrika.

🎵 Wakati mwingine, wimbo unaotufanya tutabasamu unaweza kuwa umebeba simulizi la maumivu makubwa.

Powered by: @shop.na.mimi_
& @obamacomputers

#OliverMtukudzi #Todii #AfricanMusic #MusicFacts #Zimbabwe UNICEF DeJumboTanzania by @iamdejumbo
46
a month ago
Download
Kuhusu hii production ya hii ngoma ya @mbosso_  #DJ kwanza nimpongeze @kaniba_creator lakini kipekee niseme @mbosso_ wewe ni Genius hii combo ya Afrobeats na Three Step Grooves ni nomaaa 🔥🔥🤴🙌 by @iamdejumbo
60
a month ago
Download
Sema @younglunya anasifa sana kwahiyo Bongo ma rapper wako wawili tuu yeye na yeye 😂😂🙌🤴 Ila huyu @harmonize_tz atengwe tuu maana humu kaua sana 🙌🤴🔥🔥

By the way nimependa mafurumbanya kwenye hii video ya @director_kenny na beat la #BoboMadeit by @iamdejumbo
12
a month ago
Download
Tems continues to fly the African flag high!

The Nigerian superstar is set to perform at the opening celebration of the Obama Presidential Center in Chicago, USA.

As the only Nigerian artist on the lineup, Tems continues to showcase her global influence while representing Africa on some of the world's biggest stages.

Another major milestone in her remarkable journey and a proud moment for African music worldwide. 

#Tems #Nigeria #AfricaToTheWorld #ObamaPresidentialCenter #Afrobeats MusicNews taken in Lagos, Nigeria by @iamdejumbo
0
a month ago
Download
DAVIDO ATUMIA JUKWAA LA FIFA KUPAZA SAUTI KUHUSU WALIOTEKWA NIGERIA 🇳🇬

Msanii wa Afrobeats, Davido, ametumia tamasha la FIFA World Cup Countdown Concert mjini Los Angeles kuikumbusha dunia kuhusu wanafunzi 39 na walimu 7 waliotekwa katika Jimbo la Oyo, Nigeria.

Akiwa amevaa koti lenye majina ya waliotekwa pamoja na ujumbe “BRING THEM HOME”, Davido alituma ujumbe mzito wa kutetea haki za binadamu na kuhamasisha juhudi za kuwaokoa walioko mikononi mwa watekaji.

Je, unaonaje hatua ya wasanii kutumia majukwaa makubwa ya kimataifa kuzungumzia masuala ya kijamii?

#Davido #FIFAWorldCup #BringThemHome #Nigeria #Afrobeats HumanRights EntertainmentNews taken in Lagos State Nigeria by @iamdejumbo
0
a month ago
Download
Kanye West's (Ye) Gemini Season video has sparked a huge debate after he was seen pouring milk on his wife Bianca Censori in one of the scenes that sparked different emotions and interpretations from fans.

Many see it as part of an artistic creation with a cryptic message, while others believe it is a technique to attract attention that Ye is used to using in his works.

Do you think it is art with a deep message or a method to seek discussion online? 🤔

#KanyeWest #Ye #BiancaCensori #GeminiSeason #BULLY EntertainmentNews DeJumboTanzania ::: taken in US Capital, Washington DC by @iamdejumbo
0
a month ago
Download
Ayra Starr ametimiza ndoto yake ya kutumbuiza kwenye Tiny Desk, ndoto aliyokuwa nayo tangu akiwa na miaka 14.

Katika maadhimisho ya #BlackMusicMonth, nyota huyo wa Afrobeats aliacha mtindo wake wa kawaida wa “Fashion Killer” na kuvaa mavazi rahisi ili mashabiki wajikite zaidi kwenye sauti yake na uwezo wake wa kutumbuiza. 🔥🎶

Kupitia nyimbo kama Rush, Gimme Dat, Commas na Tornado, Ayra Starr ameonesha kwa nini anaendelea kuwa miongoni mwa sauti kubwa zaidi za muziki wa Afrika duniani. 🌍⭐

#AyraStarr #TinyDesk #Afrobeats #BlackMusicMonth Starrgirl by @iamdejumbo
7
2 months ago
Download
Baada ya @marioo_tz kumtangaza @kaniba_creator kama Executive Producer wa EP yake mpya ya #MMMCXII (3112), maswali yamekuwa mengi sana. Hii sio tu heshima ya jina, hii ni dhamana kubwa sana kisheria na kimaslahi.

​Je, Executive Producer ana haki gani kwenye mapato (royalties) ya mradi mzima? Na kwanini Marioo amechukua maamuzi haya makubwa sasa hivi?

​Ilibidi nimtafute Mtaalamu wa Sheria na Masuala ya Kiburudani, Bi. @aggie_law12 , ili atupe mwangaza, atoe elimu, na kufafanua kiundani kabisa mchongo mzima wa mikataba na mapato unavyoenda nyuma ya pazia. Wengi mnaona tu muziki, lakini hamjui biashara yake.

📹: @vinabank_tz

​#Marioo #Kanibali #MMMCXII # by @iamdejumbo
39
2 months ago
Download
Hapo Zamani za kale nilipata bahati ya kuongea na kaka angu @iambenpol na nilitaka kujua behind story ya ngoma yake ya #SOPHIA miongoni mwa ngoma zilizofanya poa kipindi hicho en still mpaka sasa bado umebaki kama mziki mzuri.

By the way kwa kuwa leo tunaadhimisha #TBT sio mbaya ukapita pale YouTube ukasikiliza tena hili goma. by @iamdejumbo
0
2 months ago
Download
Alhamdulillah🙏

📷: @shneida_infos by @iamdejumbo
0
2 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up