Instagram story viewer> @iamtozb> Posts
10.3K
followers
7688
following
MADE IN TANZANIA 🇹🇿
SINGLE BOY @yangasc & @fcbarcelona vs @arsenal FUN
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Mungu akitaka kukuletea anae kufaa huanza kwa kuondoa wasio kufaa hata kama utaumia vipi ila ukimaliza kulia jiandae kumpokea anae kufaa by @iamtozb
0
a month ago
Download
Njaa haina adabu,
lakini ina akili:
Wakati mwingine
shida ndizo
zinazotufundisha
ubunifu ambao tusingeupata tukiwa
tumeshiba. by @iamtozb
0
a month ago
Download
Usiache kujifunza kuhusu kuilimit furahaha yako na
kuizuia huzuni/hasira
zako... and always nzuri
ibaki kuwa nzuri na mbaya
ibaki kuwa mbaya Kwa kipindi chake.. Maisha
lazima yaendelee🙏 by @iamtozb
0
a month ago
Download
USIOGOPE KUPATA HASARA YA KUMPOTEZA MTU ,OGOPA HASARA
YA KUPOTEZA HESHIMA
YAKO PALE
UNAPOJARIBU
KUMRIDHISHA MTU
AMBAYE HAJALI
THAMANI YAKO.• by @iamtozb
2
a month ago
Download
“Huwa tunakutana na watu maishani Kwasababu maalumu . Wengine huja kama
Baraka na wengine huja kama funzo by @iamtozb
1
a month ago
Download
 by @iamtozb
0
a month ago
Download
 by @iamtozb
0
a year ago
Download
 by @iamtozb
0
a year ago
Download
 by @iamtozb
0
a year ago
Download
 by @iamtozb
0
2 years ago
Download
Inshallah by @iamtozb
0
2 years ago
Download
Alhamdoulilah by @iamtozb
0
2 years ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up