Instagram story viewer> @ibrhymes_tz> Posts
9.8K
followers
3797
following
BEST MALE MEDIA PERSONALITY AWARD WINNER
Producer & Sound Engineer @jambofmtz
Journalist |Edutainment Presenter|VoiceOver|RapArtist
Cont:0677201005
POSTS STORIES REELS TAGGED
PART 2: Straight talk na @kwitegga  anafunguka kutosikiliza Wasanii wa bongo, msiba wa baba yake, kukataa record label kubwa nk. Fuatilia... by @ibrhymes_tz
0
3 days ago
Download
Alhamis na Ijumaa hii ndani ya Power Fresh ya Jambo FM @jambofmtz anasikika @rascosembo kwenye straight talk. Mastori na michongo fresh inafunguliwa kwa speed ya rocket kuanzia saa 12 hadi 4 asubuhi.Hosted by @ibrhymes_tz @bizzofresh & @djshillartz. Usikose by @ibrhymes_tz
1
3 days ago
Download
Msanii wa Nigeria, Burna Boy, ameripotiwa kufadhili ujenzi wa shule ya sekondari na kituo cha afya katika jamii yake ya Ahoada West, jimbo la Rivers, Nigeria. 

Mradi huo wenye thamani ya takribani TSh milioni 498 unalenga kuboresha huduma za elimu na afya kwa wananchi.

#BurnaBoy #Nigeria by @ibrhymes_tz
0
4 days ago
Download
Drake ameamua kutowasilisha kazi zake kwenye Grammy 2027, licha ya kuwa tayari ameshawahi kushinda Grammy mara 5 kabla

Je, huu ni ujumbe kwa Grammy au ishara ya Drake kuelekea kuwa msanii independent?

#Drake #grammy 

🎥 @zungu_zungushaji 

💻 @jo_truth

#chaguamaishafresh #jambofmtz # by @ibrhymes_tz
2
10 days ago
Download
@lordeyesmweusi anasikika kwenye Power Fresh Jumanne hii. Straight talk kuhusu album ya N2N Soldier #Hawahemivol2. Saa 12-4 asubuhi. Hosted by @ibrhymes_tz @bizzofresh & @djshillartz kupitia @jambofmtz. Usikose by @ibrhymes_tz
0
12 days ago
Download
Msanii na mtunzi wa nyimbo Sia ameiuza asilimia 50 ya katalogi yake ya muziki kwa kampuni ya Pophouse Entertainment

Dili hilo linahusisha baadhi ya kazi zake kubwa kama “Chandelier,” “Titanium,” “Cheap Thrills” na “Unstoppable.”

Kama ungekuwa Sia, ungeuza 50% ya katalogi yako? au ungeendelea kuimiliki 100%

🎥💻 @jo_truth

#chaguamaishafresh #jambofmtz # by @ibrhymes_tz
13
12 days ago
Download
PART 1: Straight talk na @kwitegga kwenye Power Fresh ya Jambo FM @jambofmtz . Hosted by @ibrhymes_tz

- Alivyoshindwa Kisha kurudi tena @bongostarsearch 
- Hajui aina ya muziki anayofanya 
-Aelezea msongo wa mawazo unavyo athiri Vijana

#Itoldyou by @ibrhymes_tz
1
14 days ago
Download
Leo tunakamilisha mastori straight na @kwitegga kwenye Power Fresh ya Jambo FM. Usikose. Hosted by @ibrhymes_tz @djshillartz @bizzofresh by @ibrhymes_tz
0
16 days ago
Download
PART 2: Alhamis hii KWITEGGA anaendelea kusikika kwenye Power Fresh ya Jambo FM.Anafunguka mengi ambayo haujawahi kuyasikia pamoja muziki wake.Sikiliza Power Fresh Saa 12 hadi 4 Asubuhi. Hosted by BizzoFresh,Ibrhymes na Dj Shillah.Produced by Kemmy Tz
Cc
@jambofmtz @kwitegga @ibrhymes_tz @bizzofresh @djshillartz @officialkemmytz by @ibrhymes_tz
2
17 days ago
Download
Usikose exclusive hii na @kwitegga kwenye PowerFresh ya @jambofmtz asubuhi hii

#powerfresh #straighttalk by @ibrhymes_tz
1
18 days ago
Download
Katika pitapita zangu nimekutana na kazi ya huyu mwamba @kwitegga Ukimtegea sikio hautojuta kabisa. He is one of the best by @ibrhymes_tz
3
18 days ago
Download
Tuzo inakuja nyumbani.Nimekuwa mshindi wa BEST MALE MEDIA PERSONALITY. Asanteni sana wote mlioshiriki kuhamasisha au kupiga kura. I got love for u all. Nitawajuza kinachofuata soon. Asante sana @jambofmtz 

@mdaushupavu by @ibrhymes_tz
1
18 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up