Instagram story viewer> @imelda_foundation> Posts
169
followers
64
following
Equality for All๐Ÿ“Œ
๐ŸŒŸ Empowering Lives, Creating Change ๐ŸŒ | ๐Ÿ’– Supporting communities in need
๐Ÿ“ž +255 753 772 505
POSTS STORIES REELS TAGGED
Its All about God's Grace๐Ÿ™ by @imelda_foundation
0
a year ago
Download
MIMI Naungana๐Ÿค na Mama @gwajimad katika hii campaignโ˜‘๏ธโ˜‘๏ธ

MIMI NIMEWAUNFOLLOW WEWE JE?? by @imelda_foundation
7
a year ago
Download
๐ŸŒ Kheri ya Siku ya Mtoto wa Afrika! ๐ŸŒŸ
Tunaenzi nguvu, ndoto na haki za watoto wetu wa bara la Afrika. Ni wajibu wetu kuwalinda, kuwawezesha na kuwapa nafasi ya kung'aa.

Watoto wanastahili elimu yenye ubora na mazingira salama ili wawe viongozi wa kesho.

#SikuYaMtotoWaAfrika #AfricanChildDay2024 #ProtectEducateEmpower #WatotoNiTaifa #ImeldaFoundation #EmpoweringLivesAndChange by @imelda_foundation
0
a year ago
Download
Leo ni Siku ya Kukuza Uelewa Kuhusu Ualbino ๐ŸŒž

Ualbino si laana, ni upekee wa uumbaji wa Mungu. Leo tunasimama kwa pamoja kupinga unyanyapaa, dhuluma na imani potofu dhidi ya watu wenye ualbino, Tuwaoneshe upendo, heshima na usawa.

๐Ÿค Tuungane kwa upendo, tuyashinde maonevu.
๐ŸŒ Jamii jumuishi ni haki ya kila mmoja wetu.
๐ŸŒŸ Ualbino ni uzuri wa tofauti โ€“ si kikwazo, ni utajiri wa ubinadamu.

#AlbinoAwareness
#StopDiscrimination
#UelewaUalbino
#Tuwalinde
#AlbinoRights
#ImeldaFoundationInaungaMkono by @imelda_foundation
0
a year ago
Download
Tusaidiane kumgusa Bwana Nyerere anahitaji msaada wetu kwa ajili ya matibabu zaidi. Kiasi chochote kinaweza kuwa tumaini kubwa kwake. ๐Ÿ’›๐Ÿ™

#TumsaidieNyerere #MatibabuKwaUpendo by @imelda_foundation
0
a year ago
Download
Letโ€™s join hands to help Binti Masika get the treatment she needs. Every little contribution counts. ๐Ÿ’™ 

#SupportBintiMasika #ActOfKindness by @imelda_foundation
0
a year ago
Download
Uongozi wa Imelda Foundation unatoa shukran zao za dhati kwa Mheshimiwa @gwajimad kwa juhudi zake kubwa katika kutokomeza ukatili, Uongozi wake umeleta mabadiliko chanya kwa jamii yetu haswa katika taswira ya Ukatili. ๐Ÿ™โค๏ธ

#ShujaaWaMabadiliko #StopUkatili #ukatiliwakijinsia #ukatili by @imelda_foundation
3
a year ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up