Instagram story viewer> @imrankb__> Posts
3.5K
followers
1553
following
📊 Life • Savings • Financial Protection
🤝 Trusted guidance. Smarter decisions.
MD @ndinga_point
POSTS STORIES REELS TAGGED
Mtu wa thamani si yule anayeonekana mbele za watu, bali yule anayewafanya wengine wajisikie wenye thamani.

Nashkuru sana Mr. @lugumisaidi Kwa muda wako, ulikuwa wasaa mzuri kuteta nawe na kuzungumza mengi, ama Kwa hakika nimeongeza kitu kipya kwenye safari yangu.🔥🙏🏽
#lugumisaidi
#ndinga_point 

NB: Nisingepost, tatizo ni vile binadamu tumeumbiwa kusahau🤪 by @imrankb__
8
a month ago
Download
I had the privilege of attending INNOVATION WEEK TZ26, and it was an incredible experience!

#iwtz2026
#imrankb_ by @imrankb__
8
a month ago
Download
Attending the 10th Afri Agri Expo today was an incredible experience. 🙏🏽

Beyond exploring the latest innovations in agriculture and livestock, my main goal was to connect with key industry leaders to discuss how they can protect their agribusiness investments, farms, and families. 
@africaagriexpo @tantradetz 
#africaagriexpo2026 by @imrankb__
10
a month ago
Download
Nilikutana na kaka yangu #tambuu_motors, tukateta mawili matatu kuhusiana na kesho yetu iliyobora🔥.

Mimi @ndinga_point pamoja na  @issa_tambuu_magari ni wafanyabiashara tunaotambua na kuthamini kesho yetu Bora. Hivyo basi ni wajibu wetu Kwa uwezo wa Allah kuweka mipango madhubuti kwaajili ya baadae, kwetu Sisi pamoja na Familia zetu na hata Kwa wale tuwapendao.

Karibu tujifunze Kwa pamoja elimu kuhusu uhakika wa maisha (Life Insuarance). Wengi wetu hudhani ni hofu ya kifo ama kutokua na Imani na uwezo wa Mungu. 
Laa Hasha!
👇🏽

Rejea kwenye Qur'an (Surat Yusuf, Aaya ya 47)
"Mtapanda miaka saba Kwa kawaida yao, Kisha mtakachovuna kiacheni katika masuke yake, isipokuwa kidogo mtakachokula."

Nabii Yusuf (A.S) aliamuru watu wahifadhi ngano na nafaka kwa hofu ya Njaa ambayo ilikuwa inakuja baada ya miaka saba, ili kuepukana na madhara yatokanayo na Njaa kwa watu wake. 

Kisa cha Nabii Yusuf (A.S) kinabeba taswira na msingi mkuu wa Bima ya maisha (Life Insuarance)  na upangaji wa fedha wa akiba.

Kwenye kisa :Yusuf (A.S) aliandaa mkakati wa kukusanya na kuhifadhi akiba ya chakula wakati wa miaka saba ya neema ili kitumike wakati wa miaka saba ya njaa.

Kwenye Bima ya maisha: Wakati ukiwa na afya njema, kazi, na uwezo wa kifedha (miaka ya neema), unatenga kiasi kidogo cha kipato chako. Akiba hiyo inakuja kuilinda familia yako pale ambapo changamoto za maisha au msiba (miaka ya dhiki) vinapotokea.

Hivyo basi, Kisa cha Nabii Yusuf kinatufundisha kuwa kuweka akiba na kujikinga  na majanga ya baadae si ukosefu wa Imani, bali ni hekima na uwajibikaji.
#jubileelife #fanakaplan @jubileegrouptanzania by @imrankb__
4
2 months ago
Download
In a world where first impressions matter, I choose to let my presence speak through confidence, discipline, and professionalism. Every step is intentional, every experience is a lesson, and every new chapter is an opportunity to become better than yesterday.

@anouary_ 
#imrankb_ by @imrankb__
11
2 months ago
Download
Another year older +1. Another reason to think beyond today. 🎂🙏🏽

Ukiwa mdogo unaamini kesho itajipanga yenyewe. Kadri unavyokua, unaanza kugundua kwamba kesho inahitaji mipango.

Leo kwenye birthday yangu nimejifunza kitu kimoja: Umri unaongezeka, lakini majukumu na thamani ya maisha pia vinaongezeka.

Swali ni… wewe umejiandaa kiasi gani kwa kesho yako?

#LifeInsurance — protecting what matters most.

Ungependa kujua zaidi?, Niko tayari kukuelimisha.❤️

#Birthday #LifeInsurance #JubileeLife #ndinga_point by @imrankb__
22
2 months ago
Download
Je, Umewahi Kujiuliza Kitatokea Nini Kesho?

Hivi mimi na wewe, kile tunachokipigania kila siku Kiko salama kiasi gani ikiwa Jambo lisiloweza kuepukika likatokea Leo? 

Hapa ndipo dhana ya Bima ya Maisha (Life Insurance) inapoingia. Binafsi nimepata nafasi ya kuijua kiundani zaidi Agenda hii inayohusu bima ya Maisha. 

Ni tofauti na wengi wanavyofikiria, bima ya maisha siyo ajenda ya msiba pekee. Ni daraja la usalama linalohakikisha:👇🏽

Familia yako inaendelea kuishi kwa amani na kupata mahitaji ya msingi hata kama hutakuwepo au ukiwa huwezi tena kutafuta.

MIPANGO YA BAADAYE (kama ada za shule za watoto) haisimami hata dhoruba ikitokea.

Unawekeza na kuweka akiba inayoweza kukusaidia baadaye maishani.

Maisha hayana utabiri, lakini tunaweza kuyawekea ulinzi. Mada hii ni pana sana na kuna mengi ya kufahamu kuhusu jinsi unavyoweza kuanza kidogo kidogo kulingana na kipato chako.

Kaa tayari, kwani hivi karibuni tutazungumza kwa undani zaidi kuhusu ainisho za bima ya maisha.
@imrankb__
#JubileeLifeInsurance taken in Dar es Salaam, Tanzania by @imrankb__
8
2 months ago
Download
Great minds don’t chase attention, they build value until attention comes naturally.👑 by @imrankb__
16
2 months ago
Download
Wakati najifunza kuishi na watu, msisahau pia kujifunza kuishi na mimi😉
#MrBhuju taken in Serena Hotel by @imrankb__
26
5 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up