Instagram story viewer> @innosrema> Posts
2.1K
followers
967
following
DIGITAL CONTENT CREATOR
Humble & innocent.., I believe in God
Youtube link
POSTS STORIES REELS TAGGED
Jana baada ya mechi kati ya Brazil na Ufaransa wachezi wanaokipiga pale real Madrid ViniJr na Camavinga walionekana wakiwa wamekaa chini pambeni ya ukuta wa uwanja wa Gillette stadium huko Massachusetts, Nchini marekani 

Ukweli mkao huu umeinua husia kubwa sana hasa kwa wale ambao wana ndoto nabado wanazipambania japo wanishi ndoto zao ila bado wana ishi na ku- act kama watu wa kawaida kabisa 

Cc..✍️ by @innosrema
45
7 months ago
Download
Msanii wa muziki wa bongo fleva Gachi amedai kuwa huwa anatumia kiasi cha shilingi milioni moja kwa siku moja.

Aidha amesema kuwa huwaga anatumia milioni kumi kwa mwezi kwaajili ya skini care.

''Oky skini care yangu ni milioni kumi kwa mwezi na matumizi yangu kwa siku ni milioni moja '' Amesema -Gachi by @innosrema
0
a month ago
Download
Muigizaji wa filamu kutokea nchini Tanzania Kajala Masanja ameweka wazi kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa hakuruhusiwa kufanya mazoezi baada ya kupata jeraha kwenye shingo yake akiwa Gym.

Kajala ameeleza kuwa kutokana na jeraha hilo hakuruhusiwa kunyanya uzito wowote lakini anashukuru kwasasa ameambiwa anaweza kukimbia na kutembea .

''Kwa miezi nane, sikuruhusiwa kufanya mazoezi kufuatia jeraha la shingo nililopata gym; hivyo, sikuruhusiwa kabisa kunyanyua uzito wowote. Ninashukuru kwamba sasa nimeambiwa ninaweza kuanza kutembea na kukimbia kidogo. Lakini ukweli ni kwamba, ninaikumbuka sana gym ile gym ya kweli na ya nguvu! 😭❤️ Hatua kwa hatua, huenda nitarudi tena. 💪🏽

Pia nafanya mazoezi ya tiba ya viungo (physiotherapy) kila siku ili kunisaidia kupona na kuwa na nguvu zaidi''Ameandika -Kajala Masanja by @innosrema
0
a month ago
Download
Katibu Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, amefukuzwa uanachama wa chama hicho.

Uamuzi huo umetangazwa usiku wa leo Jumatano, Agosti 26, 2026, na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Asha-Rose Migiro, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.

Dkt. Nchimbi amefukuzwa uanachama siku moja baada ya kumuandikia Rais Samia Suluhu Hassan barua ya kuomba kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ombi ambalo lilikubaliwa.

Dkt. Migiro amesema uamuzi huo umetokana na maazimio ya vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM vilivyokutana jijini Dar es Salaam kuanzia asubuhi hadi usiku wa leo.

Amesema miongoni mwa ajenda zilizojadiliwa katika vikao hivyo ni suala la maadili lililokuwa likimkabili Dkt. Nchimbi, ambapo vikao vyote vilijadili suala hilo na kufikia uamuzi wa kumfukuza uanachama.

Cc..innosrema ✍️ by @innosrema
2
2 months ago
Download
Siku ya leo Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Makamu wa Rais, Baaadhi ya wachambuzi wanaweza kulitazama jambo hilo si kama mwisho wa safari yake ya kisiasa, Bali kama mbinu ya kujitengenezea upya kisiasa na kurudisha imani ya Chama cha Mapinduzi kwa wananchi.

Katika mazingira ambayo CCM inakabiliwa na maswali kuhusu Uongozi, Uwajibikaji na imani ya wananchi, kujiuzulu kwa kiongozi mkubwa kunaweza kutafsiriwa kama hatua ya kuonesha kwamba viongozi wanaweza kuwajibika pale inapobidi. Hatua kama hiyo inaweza pia kusaidia kukisafisha chama na kukipa nafasi ya kujenga upya uaminifu wake kwa wananchi.

Kwa upande wa Dkt Emmanuel John Nchimbi mwenyewe, hatua hiyo inaenda kumsaidia kujenga taswira mpya mbele ya Watanzania ya kiongozi anayejua wakati wa kubaki madarakani na wakati wa kuchukua hatua ngumu kwa maslahi mapana ya Nchi kwa ujumla.

Na kama kweli anaangalia safari ya kisiasa ya muda mrefu kuelekea mwaka 2030, Basi kujenga uaminifu kwa wananchi kuanzia sasa kunaweza kuwa sehemu muhimu ya safari hiyo.

Siasa ni safari ndefu wakati mwingine mtu anaweza kupoteza nafasi leo ili kujenga uaminifu wa kesho.

Toa maoni yako___________________________ by @innosrema
0
2 months ago
Download
Muigizaji Aunty Ezekiel amemshauri Kajala Masanja aolewe kwasababu umri umeshaenda.

Aunty Ezekiel ameeleza kuwa  kama Harmonize amerudi na anataka ndoa basi akubali aolewe.

''Mwenye amerudi mpaka anataka ndoa means kwamba ameshakua serious olewa tu baby umri aurudi nyuma unaenda mbele ''Amesema -Aunty Ezekiel by @innosrema
0
2 months ago
Download
Msanii wa muziki wa bongo fleva Qchief wakati yupo kwenye Sgr akielekea kwenye tamasha la miaka 30 ya bongo fleva amesema kuwa aliliuza gari alilopewa na Harmonize kwasababu lilikuwa halimtoshi.

''Unakumbuka harmonize alivyonipa kigari chake unajuwa kwanini nilikibwenga  sienei kwahiyo ile miwani pia sikuenea''Amesema -Qchief by @innosrema
0
2 months ago
Download
Wakati mrembo Pipytida yupo live tiktok alitoa nafasi ya watu kutoa madukuduku yao na moja ya watu waliotoa maduku duku ni mwanadada Zaria  aliyejitambulisha kama mchepuko wa Kiredio akidai kuwa Kiredio alikuwa anamsaliti Vee Dollarz kupitia yeye .

Mwanadada Zaria amedai kuwa hajapendezwa na kitendo cha Kiredio kumblock na kumpigia simu mama yake na kumtusi.

''Duku duku langu ni kwenda kwa kiredio wa vee dollarz kiredio bwana alikuwa anamsaliti vee dollarz kupitia mimi alinilipa hela dukuduku langu alienda kumpigia mama yangu mzazi akamtukana ''Amesema -Zaria

Cc..innosrema ✍️ by @innosrema
0
2 months ago
Download
Muigizaji  Sabrinaquentz amesimulia namna alivyowahi kuwa na mahusiano kwa miaka miwili bila kujua kama mwanaume huyo ni mume wa mtu na ana familia yake 🤔.

Sabrina amedai kuwa mwanaume huyo  hakuwahi kuonyesha dalili zozote kama anamke kwasababu alikuwa analala kwake mpaka asubuhi anaelekea kazini ndani ya miaka miwili.

''Imeenda miaka miwli na kitu nakuja kujua anamke na kwangu alikuwa anakuja anakaa hadi saa nane na wakati mwingine anakaa mpaka asubuhi''Amesema -Sabrina

Cc..innosrema ✍️ by @innosrema
0
4 months ago
Download
Huu ni mwonekano wa Mfanyabiashara na mtengeneza maudhui ya vichekesho mitandaoni (comedian) Asmah Majed akiwa kwenye mwonekano mpya na mabody guard

Ukweli sikuizi Asmah amekuwa akipendeza sana kwenye kila post ambayo anaweka mitandao.

Unamwoneje kwa upande wako______?

Cc..innosrema ✍️ by @innosrema
0
4 months ago
Download
Muigizaji wa filamu kutokea nchini Tanzania Sabrina quentz anadai kwenye maisha yake ya mahusiano hajawahi kupewa milioni 5 au milioni 10 na mpenzi wake.

''Sijawahi kuwa na mwanaume akanipa sijui milioni tano sijui milioni kumi ''Amesema -Sabrina by @innosrema
0
4 months ago
Download
Harmonize ameanza kuwapa presha mashabiki wake baada ya kuachia kionjo cha wimbo mpya! Kama utatoka rasmi, huu utakuwa wimbo wake wa 7 kwa mwaka huu. Kinachozua mjadala zaidi ni kwamba kwenye video ya kionjo anaonekana akiwa location ya shooting, jambo linaloashiria huenda anarekodi video rasmi kabisa.

Je, unadhani Harmonize anaenda kuachia hit nyingine au safari hii atakuwa amewahi sana kutoa nyimbo? Maoni yako ni yapi kuhusu kasi yake ya kuachia muziki mwaka huu_______? 

Cc..innosrema ✍️ by @innosrema
0
4 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up