Instagram story viewer> @intelligencexpress> Posts
1.2K
followers
8
following
Reliable Logistics & Delivery Solution
Safirisha nasi kutoka Dsm kwenda mikoa yote,
📍Likoma na Pemba Kariakoo |Masaki
📞 +255 690 500 000
POSTS STORIES REELS TAGGED
Q&A | why @intelligencexpress apart from any other? by @intelligencexpress
19
2 months ago
Download
Kitu ambacho wafanyabiashara wengi hawakijui ni kwamba delivery ni sehemu muhimu sana ya customer experience, 

Delivery sio tu kusafirisha mzigo kutoka point A kwenda point B, delivery ni sehemu ya customer experience ya biashara yako,

Mteja anapo-visit duka lako, unapata nafasi ya kumuonyesha ni kwa kiasi gani unamjali kupitia namna unavyompokea, unavyoongea naye na huduma unayompa,

Lakini now days, asilimia kubwa ya wateja wanaagiza online na bidhaa zao zinafanyiwa delivery,

Hapo ndipo wafanyabiashara wengi wanapokosea,

Unaweza kuongea na mteja vizuri sana wakati wa kumuuzia, akakuamini, akatuma pesa na kulipia bidhaa, lakini kama mtu wa delivery anampelekea mzigo kama anamrushia au kama ni kitu amepewa bure, ile experience nzuri yote uliyoijenga inaishia hapo,

Mbaya zaidi, mteja tayari ameshakulipa lakini bado analazimika kufanya kazi ya ziada,

“Mzigo wangu umetoka?”
“Umefika wapi?”
“Utafika saa ngapi?”
“Nimpigie nani?”

Mteja wako hatakiwi kuwa tracking system ya mzigo wake mwenyewe,

Na hiyo ndio sababu tukaleta Intelligence Express,

Hatujali tu kuhusu mzigo wako, tunajali pia biashara yako na experience anayopata mteja wako,

→ Ukituma mzigo, tunawasiliana na mpokeaji kumjulisha,

→ Mzigo ukifika, tunawasiliana naye tena kumfahamisha,

→ Akitaka delivery mpaka alipo, tunamfikishia,

→ Hatakiwi kukufuatilia wewe kila dakika,

→ Hatakiwi kuhangaika kufuatilia mzigo ambao tayari amelipia,

Kwetu mteja ni mfalme, mteja ni boss,

Na tunataka kila mzigo unaotoka kwenye biashara yako umfikie mteja kwa experience inayolingana na namna unavyotaka biashara yako ikumbukwe,

Wewe uza, sisi tutadeliver,

Kwa usafirishaji wa cargo, parcels, bidhaa za biashara, pamoja na huduma za kuhamisha ofisi, biashara au makazi,

📞 0690 500 000

Intelligence Express, tunabeba zaidi ya mzigo, tunabeba reputation ya biashara yako, by @intelligencexpress
28
2 months ago
Download
Baada ya muda mrefu wa kufanya operations offline, leo tunaanza rasmi safari mpya kwa kukutambulisha Intelligence Express Online na kukupa information za nini tunafanya, 

Huu sio utambulisho wa kampuni nyingine ya kawaida ya usafirishaji, 

Ni mwanzo wa mapinduzi ya namna mizigo inavyosafirishwa East Africa, 

Iwe wewe ni mfanyabiashara unayetuma bidhaa kwa wateja wako, unapokea mzigo kutoka kwa supplier wako, unahitaji kutuma parcel, kusafirisha vifurushi, kuhama nyumba au ofisi, au unahitaji door to door delivery, Intelligence Express ipo kwa ajili yako, 

Na sehemu nzuri zaidi ni kwamba huna haja ya kuleta mzigo kwetu, 

Sisi tunakufuata ulipo na kuuchukua bila gharama yoyote ya ziada, 

Na hii sio kwa wafanyabiashara pekee, 

Ni kwa kila mtu anayethamini usalama, uharaka, uaminifu na gharama nafuu katika usafirishaji wa mizigo kutoka Dar es Salaam kwenda mikoani, nchi za jirani, au kutoka mikoani kuja Dar es Salaam, 

Lakini kwetu, kusafirisha mzigo sio mwisho wa huduma, 

Tunajali mzigo wako, lakini tunajali zaidi biashara yako, kwa sababu biashara yako ikikua na sisi tunakua, 

Ndiyo maana tumeamua kutoa value ambayo huwezi kuipata kwa kampuni nyingine yoyote ya usafirishaji, 

Mteja wetu atapata nafasi ya kufikiwa na wateja wengi zaidi kupitia platform zetu, free business consultation kwa kutumia uzoefu wetu wa zaidi ya miaka saba kwenye biashara za online na offline, support kwenye ukuaji wa biashara, pamoja na free high quality content creation na collaboration, 

Tuko tayari kufanya kila tunachoweza kuhakikisha biashara yako inakua, kwa sababu mafanikio yako ndiyo mafanikio yetu, 

Karibu Intelligence Express, 

Hatubebi tu mizigo - tunabeba na biashara yako, 

📍 Ofisi zetu zinapatikana Kariakoo, mtaa wa Likoma na Pemba, 

📞 Wasiliana nasi kupitia 0690 500 000, tukufuate mzigo wako popote ulipo na kuufikisha kwa usalama, uharaka na uaminifu mkubwa, 

Huku tukikupatia taarifa za mzigo wako hatua kwa hatua kuanzia makabidhiano ya mzigo mpaka kupokelewa unapofika, 

Asante kwa kuwa sehemu ya mwanzo wa safari hii, 

Karibu kwenye mapinduzi ya usafirishaji. taken in Dar es Salaam, Tanzania by @intelligencexpress
192
3 months ago
Download
Kila brand kubwa huanza na idea, lakini identity ndio huifanya ikumbukwe, 

Leo tunafurahi kukutambulisha rasmi logo ya Intelligence Express, 

Kila line, kila color na kila detail kwenye logo hii imechaguliwa kwa makusudi kuwakilisha kile tunachosimamia, 

Arrow inaashiria speed, movement, progress na reliability, values ambazo zitakuwa sehemu ya kila delivery tutakayofanya, 

Hii sio tu logo, 

Ni utambulisho wa ahadi yetu ya kutoa huduma za logistics ambazo ni salama, za haraka na zenye kuaminika, huku tukijenga mahusiano ya muda mrefu na kila mteja, 

Karibu Intelligence Express, 

Delivering More Than Cargo, 

Usisahau ku-share post hii kwa mfanyabiashara au mtu yoyote anayejali usalama, uharaka na uaminifu wa usafirishaji wa mizigo yake, 

The most sensitive part ni hatujali tu kuhusu mzigo wako tunajali zaidi kuhusu biashara yako, 

How? 

Waiting is finally over, watch and read our next post inayokuja kesho asubuhi - tutaelezea how, 
.
.
Swipe uone logo zote 6, halafu tuambie ipi imekukosha zaidi kwa ku-comment kati ya namba 1 mpaka 6, taken in Kariakoo, Dar es Salaam by @intelligencexpress
125
3 months ago
Download
What started behind the scenes is finally coming online🚀

For the past few months, we’ve been building, testing, learning, and serving people offline, 

Now it’s time to bring Intelligence Express to the world, 

Follow @intelligencexpress,

Stay tuned by @intelligencexpress
38
4 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up