Instagram story viewer> @irenengugo> Posts
1.7K
followers
1226
following
👑 3rdRunnerUp Miss DIT24/25
🌍 Youth Opportunities Advocate
🔗 Connecting youth to opportunities
🎓Computer engineer
🎓 Grants| Volunteering|Trainings
POSTS STORIES REELS TAGGED
Leo nilipata nafasi ya kuhudhuria Finali ya Vijana Uchumi Challenge, nikajifunza haya 👇
✅Mafanikio hayaji kwa bahati wala kwa haraka. Kila mafanikio tunayoyaona leo yamejengwa kupitia mchakato wa kujifunza, kuvumilia, kushindwa, kujirekebisha na kuendelea kusonga mbele.

✅Vivyo hivyo, kabla ya kuanzisha mradi au biashara, si kila wazo linafaa kutekelezwa. Ni muhimu kujiuliza .Je mradi huu unatatua changamoto halisi? Una athari chanya kwa jamii? Una uwezo wa kukua na kuleta thamani endelevu?

Haya ni baadhi ya masomo makubwa niliyojifunza kutoka Vijana Uchumi Challenge, na naamini yanaweza kuwa mwongozo kwa kila kijana mwenye ndoto ya kuleta mabadiliko kupitia ubunifu na ujasiriamali.

Ujumbe huu umetolewa na  Mhe. Albert John Chalamila , Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika hotuba yake kwenye finali ya vijana uchumi challenge .

Naipongeza Serikali  yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya Vijana na Ofisi ya raisi maendeleo ya vijana  @orvijana , kwa kuendelea kuandaa majukwaa kama haya yanayowawezesha vijana kuonesha ubunifu, kujifunza, kujenga mitandao na kupata fursa za kukuza mawazo yao.

Kama Youth Opportunities Advocate, ninaamini vijana wengi zaidi wanapaswa kushiriki kwenye fursa kama hizi ndipo mawazo yanapokutana na maarifa, ushauri na mtandao unaoweza kubadilisha ndoto kuwa uhalisia.#vijanauchumichallenge #youthempowerment #tanzania #youthopportunities #imbeju 

Ni somo gani limekugusa zaidi? Tuambie kwenye comments 
.
 
Ni somo gani limekugusa Chagua hapo taken in Julius Nyerere International Convention Centre - JNICC by @irenengugo
57
3 months ago
Download
IRENE NGUGO — A VOICE FOR YOUNG PEOPLE

Irene Ngugo is a young woman making a meaningful mark in matters concerning young people. Through her commitment, ideas, and passion for youth development, she continues to contribute to a generation that is informed, empowered, and ready to create change. Her work reminds us that when young women step forward, they do not only create opportunities for themselves—they open doors for others to rise.

IRENE NGUGO — SAUTI YA VIJANA

Irene Ngugo ni binti anayefanya vizuri katika masuala yanayohusu vijana. Kupitia kujituma, mawazo yake na dhamira yake katika maendeleo ya vijana, anaendelea kuwa sehemu ya kizazi kinachojitambua, kinachowezeshwa na kilicho tayari kuleta mabadiliko. Safari yake inatukumbusha kuwa binti anapochukua nafasi yake, haijijengei yeye pekee, bali hufungua milango kwa wengine kuinuka.

Congratulations, Irene Ngugo, for being a woman whose work and dedication continue to inspire young people to believe in their potential and take action.

#MalkiaSpeaks #FromAQueenToAQueen #MalkiaCampusForum by @irenengugo
35
a day ago
Download
Mitandao inaweza kueneza upotoshaji. Irene amechagua kusambaza ukweli. 📲

Kutana na @irenengugo, akitumia sauti yake kuhakikisha vijana wanapata taarifa sahihi za Afya ya Uzazi.

Hii ndiyo nguvu ya vijana kupitia uchechemuzi kidijitali.

#RealTalk #ElimikaWikiendi #DigitalAdvocacy #AfyaYaUzazi by @irenengugo
43
3 months ago
Download
I’m deeply grateful to Tech & Media Convergence (TMC) @mediaconvergency for the opportunity to be part of yesterday’s Technical Focus Group Discussion on “The Ghost in the Circuit: Autonomous Cyber Threats, Algorithmic Malice, and the Vulnerability of Tanzania’s Digital State.”

Yesterday wasn’t just about attending a discussion. It was about listening, questioning, contributing, and learning alongside professionals from different fields working around technology, cybersecurity, policy, and governance. Walking into the room as a Computer Engineering student and being part of such a conversation was an opportunity I truly valued.

The discussion challenged me to look beyond how technology works and think more deeply about how technology, law, policy, security, and society need to work together.

One question that really made me think was how we can defend critical digital infrastructure when AI driven attacks can operate at machine speed, while human defenders may need much more time to detect, understand, and respond to them. It made me think about the importance of real time monitoring, automated threat detection, AI assisted defence, resilient systems, and having the ability to respond quickly when an attack happens.

We also discussed the legal and accountability challenges surrounding autonomous AI systems, the responsibility of developers and deployers to build secure systems, the forensic capacity needed to investigate AI enabled cyber incidents, and how Tanzania can continue encouraging innovation while protecting national security.

Looking at the experiences of countries such as Estonia, Singapore, Israel, and the United Kingdom reminded me that Tanzania does not have to wait for every crisis to happen before learning from it. We can learn from what other countries have experienced, adapt what works to our own context, and build stronger systems before vulnerabilities become national crises.
Yesterday was more than an event for me. It was an opportunity to learn, question, contribute, connect with people from different fields #ai #digitaltransformation #womenintechnology #cybersecurity #eastafrica taken in Dar es Salaam, Tanzania by @irenengugo
12
2 months ago
Download
In spaces where conversations shape change, young people deserve to be seen, heard, and included.

Grateful for every opportunity to learn, connect, and advocate for a future where youth are not just participants, but active contributors to the decisions that shape our communities. 🌍#safedigitalspaces #digitaltraining #young #youth #youthempowerment by @irenengugo
20
14 days ago
Download
Being selected as a TGEE IT Bootcamp Mentor has been a meaningful opportunity for me. The mentor training equipped me with valuable skills in effective communication, teamwork, leadership, and creating an engaging learning environment.
As a mentor, I look forward to sharing my knowledge, experiences, and practical skills with the mentees while encouraging them to ask questions, explore their potential, and gain confidence in using technology.
As a mentor, I look forward to sharing my knowledge, experiences, and practical skills with the mentees while encouraging them to ask questions, explore their potential, and gain confidence in using technology.
#tgeeitbootcamp #helptohelp #girl #womentechmakers #training by @irenengugo
23
a month ago
Download
Empowering the next generation of tech leaders! 

Irene, a computer engineering student from @dit_tanzania shares her experience pitching her startup at the TWT Solutions Lab 2026. 

From receiving expert feedback to earning a certificate of participation, it’s all about bridging the gender digital divide!

Cc. GIZ Tanzania  #TWTSolutionsLab #DigitalTransformation #InnovationTanzania #SheTechTZ #TechWimenTZ by @irenengugo
15
5 months ago
Download
Nina furaha sana kutambulishwa kama mmoja wa Elimika Youth Digital Advocacy Champions! 

Kama kijana na mwanafunzi wa Computer Engineering, nimekuwa nikiamini kuwa teknolojia inaweza kuwa chombo cha kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Kupitia nafasi hii, nitapata fursa ya kushiriki katika uchechemuzi kuhusu masuala ya afya ya uzazi kwa kushirikisha taarifa sahihi, kuvunja imani potofu, na kuhamasisha vijana kufanya maamuzi sahihi.

Nikiwa msichana ninayependa kuona vijana wakifikia uwezo wao na jamii ikiwa na uelewa mzuri kuhusu afya ya uzazi, ninaamini kila mazungumzo na kila taarifa sahihi inaweza kuleta mabadiliko makubwa.

Asanteni @elimikawikiendi kwa kunichagua kuwa mmoja wa Youth Digital Advocacy Champions. Hii ni hatua muhimu katika safari yangu ya kujenga taaluma, kukuza uwezo wangu wa uongozi, na kutumia sauti yangu kuleta mabadiliko chanya katika jamii.

Safari imeanza, na ninafurahi kuwa pamoja nanyi. 

#ElimikaYouth #YouthDigitalAdvocacy #YouthLeadership #SRH #TechForGood CommunityImpact by @irenengugo
9
3 months ago
Download
Stepping into my season 🌿✨ Who’s with me?😙. Peace in my spirit, purpose in my steps.❤️. #elegance#tanzania #confidentwoman💃🏽💃🏽💃🏽 #peacefulmindset #timelesslook #minimalism #daressalaam #fashiontanzania #feminin taken in Dar es Salaam, Tanzania by @irenengugo
78
a year ago
Download
Je, miaka 15 ni umri unaofaa kuanza mahusiano? Au ni miaka 18? Au hakuna umri mmoja unaowafaa vijana wote?

Kesho saa nne asubuhi kwenye #ElimikaWikiendi Real Talk, tunafungua mazungumzo kuhusu umri wa kuanza mahusiano, changamoto zinazoweza kujitokeza na nafasi ya wazazi katika kuwaongoza vijana kufanya maamuzi yenye uelewa.

Hii ni mada inayowahusu vijana moja kwa moja, hivyo tunataka kusikia sauti yako. Una maoni gani? Una swali gani? Unadhani kijana anapaswa kuanza mahusiano akiwa na umri gani na kwa nini?

Usiwe mtazamaji tu. Njoo ushiriki kwenye mazungumzo yako.
Link ya session youtube https://tinyurl.com/hprs3vwj
 Facebook https://tinyurl.com/47v5j85j
 #tanzania #sexualreproductivehealth #education #digital taken in Dar es Salaam, Tanzania by @irenengugo
4
2 months ago
Download
In rooms that teach, challenge, and grow me. ❤️ 
Learning, connecting, and building something meaningful one
If you ever get the chance to attend spaces like this, take it. You never know what you’ll learn or who you’ll meet ✨

.#globalbusinessmixer#growth #enterprenuership #learning #girls taken in Julius Nyerere International Convention Centre - JNICC by @irenengugo
16
6 months ago
Download
Are you ready? 👀🔥

The long-awaited live show series is finally here!

As part of our ongoing work to create safe spaces where young people access accurate, relevant and timely information, @elimikawikiendi is introducing a new live show series called “Real Talk.”

Starting Saturday, 22nd August at 10:00 AM EAT, we will be having open and honest conversations on health-related issues affecting young people and adolescents.

📲 Live on Facebook, YouTube, TikTok & LinkedIn. And this is just another way #ElimikaWikiendi is taking youth-led conversations to the NEXT LEVEL ❤️🤍

What topics would you like us to discuss? Drop them in the comments 👇🏾

#RealTalk #DigitalHealth #YouthVoiceMatters #StoryTelling by @irenengugo
12
2 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up