Instagram story viewer> @jaydon_og_> Posts
284
posts
33.8K
followers
672
following
Actor | Brand Influencer
GEN Z MNAMASIMANGO😎
🎬 Film • Skits • Lifestyle
📩 For Work/Bookings: DM / Email
🙏 God First
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Jana nimepata bahati ya kipekee – kuangalia Kombolela pamoja na mtu niliyekuwa namuona kwenye TV! Kaka Hamadi Kikala @officialboneka , asante sana kwa yote uliyonifanyia jana. Uliongea nami kama ndugu, ukinitambulisha kwa watu wako wote bila kuniona mdogo(@clara_nampunju , @dr_machupa1 @its_makoti7 na @chanuo_nchakali2 . Jana nimeondoka nikiwa na nguvu mpya, heshima kubwa, na furaha isiyo na kifani. Hii ilikuwa siku yangu ya furaha kweli! Mungu akulipe wema ulioweka ndani yangu, na safari njema kila hatua.

📺: @kombolela_series - @sinemazetuhd @azamtvburudani by @jaydon_og_
14
a year ago
Download
Kwa hili nimefanya kutoka moyoni . Nipo tayari kupitianjia yoyote utakayopita kwasababu wewe ni sehemu ya mwili wangu. 🤍🌹.

FREE CANCER ♋️ 

Usikose kuangalia Jua kali kwanzia Jumatano hadi Jumapili Saa 3:30 Usiku kupitia @maishamagicbongo 
#juakaliseries 

Nimeamua kumsapoti Dada angu Femi kwani Ugonjwa wa Cancer ukiuwahi unatibika . Nawapenda sana luka na Femi 🤍 Dada lamata kazi hii hapa naomba uipokee .

Cc: @isarito_tmt 
Cc: @official_mulky 
Cc : @judithi_juakali 
Cc : @beatrice_taisamo 
Cc :@sophy_juakali 
Cc :  @idrissamohammedy 
Cc :@love_juakali 
 
Founder : Cc @lamataleah 

Cc: @selemanimasenga 
Cc: @saidmkukila 

#juakali #freecancerjuakalifemi #freecancer 

@Dada @lamataleah napenda kuigiza Nishike Mkono Asante. by @jaydon_og_
19
3 years ago
Download
Napenda kutoa Shukrani zangu za dhati kwa Viongozi wa Azam tv na Madiba nawashukuru sana kuniamini nakunipa nafasi naamini nitaendelea kuwa mstari wa mbele kuonyesha njia na wengine Asanteni  @azamtvburudani @azamtvtz @mangi_madiba @sicos_dp @jaydon_og_ @mkwere_original @kimbembetz  @mamakimbo_og by @jaydon_og_
14
3 years ago
Download
Your life is someone’s dream Don’t be ungrateful. - kipaji cha kijiji 🦅 by @jaydon_og_
8
3 days ago
Download
Hebu badili watu, tafuta strangers, hawajui kuhusu wewe watakupa michongo, shida ni hao watu wanakujua sana. - Kipaji cha kijiji 🦅

#reels #lifestyle by @jaydon_og_
11
4 days ago
Download
Kama huwezi kuishi kwa kile unacho kiamini basi haina maana ya wewe kuishi - kipaji cha kijiji 🦅

#fyp #lifestyle by @jaydon_og_
12
5 days ago
Download
Even a poor boy feels rich If he has a girlfriend who respects him- “One man down in love ❤️

🦅: call me Kipaji cha kijiji taken in Mitani by @jaydon_og_
4
8 days ago
Download
Heshimu Kila Mtu Hata Wale Unaowaona
Hawana Cha Kukusaidia Wanaweza Wakawa Ni Sababu Ya Wewe Kufika Unapotaka.› Usiache Kujifunza vitu kutoka kwa wengine 📌🔥 Comment your fav part 

#lifestyle #vlog by @jaydon_og_
8
9 days ago
Download
@jobdick05 🗣️ - “Nidhamu sio kwamba Uwe Muoga📌

Haijalishi unajaribu sana, kushindwa ni lazima. Lakini endelea. Uvumilivu ndio kila kitu. Hatujifunzi kutokana na kushinda bali kutokana na kushindwa kwetu Nimetoka gizani, ndiyo maana sitacheza na nuru niliyoipata. Maisha ya pili ni zawadi, si mzaha🔥🙌

#reel #tanzania by @jaydon_og_
6
10 days ago
Download
Ahsante Mungu sehemu ambazo wengine walitarajia kuona aibu zetu wewe umeweka heshima yako. Captain wa Yanga Africa BBD - Dickson job 

✍️: @officialboneka 
📸: @kikobenson1 taken in Morogoro, Tanzania by @jaydon_og_
7
11 days ago
Download
Ndoto kubwa huanza na wazo moja na watu wanaoamini ndani yake. ❤️

Nilimuuliza Captain @jobdick05 :

“Miaka 5 ijayo unaiona wapi Wape Tabasamu?”

Sikiliza jibu lake. 🎤⚽🔥 📸: @msangipatrick17 
@wapetabasamu @kibwana_shomari @luganonicky by @jaydon_og_
31
12 days ago
Download
Wakati mwingine tunabaki kimya kwa sababu hata machozi hayawezi kuelezea maumivu tunayoyabeba. My brother @mlilotz hapa ulicheza kwa hisia sana na mimi nishabiki yako ni kajaribu kidogo ulichofanya 😇 Your more Talented person. 

SANAA NI VAZI LA HESHIMA....

@sharifa_makope @officialboneka @kimbembetz @abdullywriter @kim_bernick @sophiamgaz @sicos_dp @majagiking @jeraha_series  @sinemazetu103 by @jaydon_og_
11
a year ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up