Instagram story viewer> @jaysestore> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
#jaysestore #household #iringatanzania🇹🇿 #decostyle #decoration taken in Iringa Town-Tanzania by @jaysestore
1
6 months ago
Download
Alluminium bags available full set 390k✅
Ina lock 🔐 imara 💯 
📱 0712867407
#mabegioriginal #mabegiyanguo #safaribags #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #virałreels by @jaysestore
0
8 months ago
Download
THE WAITING IS OVER WE ARE OPEN!! Asante sana @_kaka_africa_stylist kwa kutuamini na kutupa kazi 🙏🏻😎

Pia nichukue nafasi hii kuwakaribusha kwenye page yangu ambayo ipo instagram na tiktok@jaysestore

Our services & products: 
• Home decors & accessories.
• Office decors, accessories & furnitures accessories.

MORE DETAILS CHECK OUR CATALOGUE ON OUR PROFILE & SOCIAL MEDIA
☑️tiktok jayse store
☑️Instagram jayse store
CALL US +255626353360
📍Iringa town, Tanzania.
-Delivery service is free around Iringa town & customers outside Iringa we do transportation at affordable prices.
……………………………………

- Tunauza bidhaa, samani na urembo wa majumbani.
- Tunauza bidhaa na samani za ofisini. Unaweza kutizama catalog yetu kwenye mitandao ya kijamii ili kuangalia bidhaa unayoitaka na kuweka oda yako.

**DELIVERY SERVICES*🚚
-Tunatoa huduma ya kuletewa bidhaa unazonunua bure wateja wa Iringa mjini. Kwa wateja wa mikoani tunakutumia kwa bei ya usafiri nafuu.

Tunapatikana Iringa mjini, Tanzania. 
☎️+255626353360
-Mitandao ya kijamii tiktok & Instagram jayse store.
Karibuni sana kwa mahitaji ya homedecors 

#jaysestore #iringatanzania🇹🇿 #wanawakemotochallenge #samiaqueen👑 #gospelmusic #paulclement #homestyle #homedecorlovers #onlineshop #wallpaper #wallpapersticker #iringa #mbeya #gospelchallenge #bidhaazamajumbani taken in Iringa Town-Tanzania by @jaysestore
3
a year ago
Download
🎙️ SWALI LA MUZIKIKWANZA UPDATES

Kwanini hatuoni nyimbo nyingi za Gospel kutoka Iringa zikifanya vizuri na kusikika zaidi? 🤔🎶

Je, ni kwa sababu hakuna mwamko wa kutosha kutoka kwa wasikilizaji wa muziki wa Gospel, au ni kwamba wasanii wa Gospel waliopo Iringa hawapewi nafasi na majukwaa, vyombo vya habari na wadau wa muziki?

👉 Wewe unaona tatizo liko wapi? Na tufanye nini ili muziki wa Gospel kutoka Iringa upate nafasi zaidi? 🎤🔥

Video Credit @nanajoe_muzikikwanza 
Sponsored By @jaysestore taken in Iringa Town by @jaysestore
1
2 months ago
Download
Happy birthday to me🥰✨🎂
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, na jambo la kwanza kabisa ninachotaka kusema ni ASANTE MUNGU. 🙏🏽

Asante kwa kunipa zawadi ya maisha, asante kwa kila pumzi ninayovuta, asante kwa kunilinda katika siku ambazo nilijua na zile ambazo sikujua. Asante kwa kunivusha kwenye nyakati ngumu, kwa kunipa nguvu nilipokuwa dhaifu, na kwa kunishikilia nilipohisi siwezi kuendelea.

Leo ninapotazama nilipotoka na nilipofika, najua kabisa kwamba si kwa nguvu zangu, bali ni kwa neema zako. Kuna mambo mengi ambayo kama si Wewe, nisingekuwa hapa leo.

Mungu, asante kwa kila mlango uliofungua, hata kwa ile milango uliyofunga kwa sababu baadaye niligundua ulikuwa unanilinda. Asante kwa mafunzo, maumivu, furaha, machozi na ushindi — vyote vimenifanya kuwa mtu niliye leo.

Katika mwaka wangu huu mpya, naomba uendelee kuniongoza. Nipe hekima ya kufanya maamuzi sahihi, moyo wa kukutegemea, nguvu ya kuvumilia, na neema ya kutimiza kusudi uliloweka ndani yangu.

Mwaka huu sitaki tu kuhesabu miaka yangu, nataka kuhesabu neema zako. 🙏🏽❤️

Happy Birthday to me! 🎂✨
Ebenezer — mpaka hapa Bwana amenisaidia. 🙌🏽

Mungu, maisha yangu yote ni ushuhuda wa wema wako.
Asante kwa mwaka mwingine wa maisha. Asante kwa kunifikisha hapa. Na zaidi ya yote, asante kwa kutokuniacha. ❤️🙏🏽

#gospelmusic #gospel #ezebubeseehowfaryoubroughtme by @jaysestore
14
2 months ago
Download
AUTOMATIC WATER PUMP DISPENSER 15,000

☎️0702-936631 Call /0626353360 watsap
#waterdispenser #household #iringatanzania🇹🇿 #iringa #decostyle taken in Iringa, Tanzania by @jaysestore
0
6 months ago
Download
Rugs ndogo restocked 
Size 45*45cm 
Available in different colors by @jaysestore
0
6 months ago
Download
Rugs ndefu restocked 
Size 60*120cm 
Available in different colors by @jaysestore
0
6 months ago
Download
Square rugs restocked 
Size 50*120cm.
Available. by @jaysestore
0
6 months ago
Download
Hakikisha haukosi hizi soft blanket material yake na ubora ni 10/10 🔥🔥🔥🔥 taken in Iringa Town-Tanzania by @jaysestore
0
6 months ago
Download
Mzigo wa soft blanket ni wakutosha. Hizi soft blanket ninzuri sana materia yake ni nzuri hatari hakikisha haukosi. unalitumia mahali popote sio tuuu kwaajili ya kulalia hata ukiwa sebleni Kukiwa na baridi unajifunika vizuri bila shida yoyote. 
Hakikisha haukosi hili ndani kwako. taken in Iringa Town-Tanzania by @jaysestore
0
6 months ago
Download
Tume restock Throw blanket 
Sasa zinapatikana kwa bei nafuu sana. 
Kwa mikoani mzigo tunatuma kwa uaminifu mkubwa karibu sana. taken in Iringa Town-Tanzania by @jaysestore
0
6 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up