Instagram story viewer> @jembefmtz> Posts
20679
posts
149K
followers
26
following
Official Account 93.7 Mwanza | PAMOJA SANA...! | [email protected] | [email protected]
YOUTUBE CHANNEL LINK👇👇
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Kurasa Zaidi ya 1800 Bila  Chuma by @jembefmtz
6
4 months ago
Download
Asante kwa safari ya miaka 10 ya kuwa nasi pamoja kama familia moja yenye, upendo, na ushirikiano! Kutoka Jembe FM, tunasema asante kwa wasikilizaji wetu, wadau, na timu nzima iliyoifanya ndoto hii kuwa kweli.

Miaka 10 ya pamoja bado tupo nawe kama familia moja na  tunakila sababu ya kusema Ahsante kwa Time kutusikiliza, kutufatilia, na kutukumbatia Daima! 💪📻 #familiamoja #AhsanteKwaTime by @jembefmtz
88
8 months ago
Download
Klabu ya Simba imelazimishwa sare tasa ya bila kufungana dhidi ya Mogadishu City kwenye mchezo wa CECAFA Kagame Cup uliopigwa kwenye uwanja wa Pelé uliopo jijini Kigali nchini Rwanda.

Licha cha ya kuwatumia nyota wake wapya haijafanikiwa kupata bao kwenye mchezo wa leo na wa kwanza wa Kundi B katika michuano ya CECAFA Kagame Cup 2026. 

Follow Us On Social Media
‎Instagram - @jembefmtz
‎Facebook - @jembefmtz
‎X(Twitter) - @jembefmtz
‎TikTok - @jembefmtz
‎Thread - @jembefmtz

#AhsanteKwaTime 
#Familiamoja
#10YrsJembefm
‎ by @jembefmtz
0
9 hours ago
Download
Shirika la usimamizi wa mazingira na maendeleo ya uchumi kwa kushirikiana na wadau Mbalimbali  limeazimisha siku ya kuzuia kuzama maji "Duniani".

Maadhimisho hayo yamefamyika kwa Mara ya kwanza jijini Mwanza na kuwaleta  pamoja  wadau na viongozi Mbalimbali ili kujadili na kuweka mikakati itakayosaidia kuzuia video vitokanavyo na kuzama maji

Akiogoza  maadhimisho hayo Mkurugenzi wa shirika la EMEDO Editrudith Lukanga amesema EMEDO itaenselea kutoka elimu Kwa jamii kwani mara nyingi vifo hivyo hutoea kimya kimya na kufanya  janga hili kuwa na idadi kubwa ya vifo vitokanavyo na kuzama maji, ameitaka jamii kichukua tahadhari wakati wote wanapokuwa maji

Katibu Tawala Msaidizi  mipango na uratibu Mkoa wa Mwanza Henry Mwaijega ambae alikuwa MGENI rasmi amefungua maadhimisha hayo kwa niaba ya katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza ambapo amesema Serikali kwa kushirikiana na EMEDO itaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha vifo vitokanavyo na kuzama maji vinazuilika 

Amesema kuwa Kuzama maji inashika nafasi ya 4 Kwa kusababisha Vifo Kwa watoto Wa umri Wa mwaka1 hado miaka 4 na na nafaasi ya tatu kwa  kuua  watoto Wa Miaka 5 hadi14

Kwa upande wake  Afisa mradi wa kuzuia kuzama maji Arthur Mgema kutoka Shirika la EMEDO amesema takwimu za shirika la afya Duniani  WHO Inaonyesha yakriban watu laki tatu hifariki Kila mwaka kwa kuzama maji hivyo ametoka Rai kwa jamii kuongeza ari ya kichukua tahadhali kwani kuzama Kuna Uilika

Maadhimisho ya siku ya kuzuia kuzama maji hifanyikankila mwaka July 25 huku mwaka huu  2026 ikisema "tuungane kuzuia vifo vitokanavyo na kuzama maji.

Follow Us On Social Media
‎Instagram - @jembefmtz
‎Facebook - @jembefmtz
‎X(Twitter) - @jembefmtz
‎TikTok - @jembefmtz
‎Thread - @jembefmtz

#AhsanteKwaTime 
#Familiamoja
#10YrsJembefm
‎ by @jembefmtz
0
10 hours ago
Download
Ni Mapumziko ya kipindi cha kwanza cha mchezo wa CECAFA Kagame Cup kati ya Simba SC na Mogadishu City matokeo ni sare tasa ya 0-0.

Mchezo huo unapigwa kwenye Uwanja wa Kigali Pelé uliopo jijini Kigali, nchini Rwanda.

Follow Us On Social Media
‎Instagram - @jembefmtz
‎Facebook - @jembefmtz
‎X(Twitter) - @jembefmtz
‎TikTok - @jembefmtz
‎Thread - @jembefmtz

#AhsanteKwaTime 
#Familiamoja
#10YrsJembefm
‎ by @jembefmtz
0
10 hours ago
Download
Ofa maalumu ya vipimo vya mwili mzima bure @lupimoclinic_ 

Follow Us On Social Media
‎Instagram - @jembefmtz
‎Facebook - @jembefmtz
‎X(Twitter) - @jembefmtz
‎TikTok - @jembefmtz
‎Thread - @jembefmtz

#AhsanteKwaTime 
#Familiamoja
#10YrsJembefm
‎ by @jembefmtz
0
11 hours ago
Download
Klabu ya Singida Black Stars imeanza kampeni yake ya kuwania ubingwa kwa kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Jamus FC. Mchezo huo wa kundi B la Kombe la Kagame ulipigwa katika uwanja wa Kigali Pele Stadium nchini Rwanda.

Timu ya Jamus kutoka Sudan Kusini ilipata mabao yake kupitia kwa Ramazani L. aliyeandika bao la kwanza mapema dakika ya 12. Cherelino T. alihitimisha ushindi huo kwa kufunga la pili katika dakika za nyongeza za kipindi cha pili mnamo dakika ya 90+2.

Follow Us On Social Media
‎Instagram - @jembefmtz
‎Facebook - @jembefmtz
‎X(Twitter) - @jembefmtz
‎TikTok - @jembefmtz
‎Thread - @jembefmtz

#AhsanteKwaTime 
#Familiamoja
#10YrsJembefm
‎ by @jembefmtz
0
11 hours ago
Download
Klabu ya Simba SC imemtambulisha rasmi winga mpya, Keletso Makgalwa, raia wa Afrika Kusini, kuimarisha safu yake ya ushambuliaji. 

Mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 29 amejiunga na Wekundu wa Msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya Sekhukhune United. 

Usajili huu uliidhinishwa kwa mapendekezo ya Kocha Mkuu Steve Barker ambaye anamfahamu vyema tangu nchini kwao.

Follow Us On Social Media
‎Instagram - @jembefmtz
‎Facebook - @jembefmtz
‎X(Twitter) - @jembefmtz
‎TikTok - @jembefmtz
‎Thread - @jembefmtz

#AhsanteKwaTime 
#Familiamoja
#10YrsJembefm
‎ by @jembefmtz
1
13 hours ago
Download
Jumla ya viongozi wa CHADEMA 51 ambapo kutok kanda ya Victoria yenye mikoa ya Mwanza ,Geita na Kagera wamekamatwa jumla ya viongozi 23,Kanda ya Serengeti yenye mikoa ya Mara,Shinyanga na Simiyu wamekamatwa jumla ya viongozi 17 huku kanda ya Nyasa wakiwa wamekamatwa viongozi 11

Taarifa hiyo imetolewa leo na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Mwanza Julai 25,2026 baada ya kuwatembelea baadhi ya viongozi kwenye gereza la Butimba.

Follow Us On Social Media
‎Instagram - @jembefmtz
‎Facebook - @jembefmtz
‎X(Twitter) - @jembefmtz
‎TikTok - @jembefmtz
‎Thread - @jembefmtz

#AhsanteKwaTime 
#Familiamoja
#10YrsJembefm
‎ by @jembefmtz
0
14 hours ago
Download
Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 25, 2026, ameshiriki maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, mkoani Dodoma.

Katika maadhimisho hayo, Rais Samia aliweka Silaha za Jadi na shada la maua kwenye Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa kwa ajili ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania na kulinda taifa.

Shughuli hiyo pia ilihusisha gwaride maalumu la maombolezo lililoandaliwa kwa heshima ya mashujaa wa taifa.

Follow Us On Social Media
‎Instagram - @jembefmtz
‎Facebook - @jembefmtz
‎X(Twitter) - @jembefmtz
‎TikTok - @jembefmtz
‎Thread - @jembefmtz

#AhsanteKwaTime 
#Familiamoja
#10YrsJembefm
‎ by @jembefmtz
1
14 hours ago
Download
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa chama hicho kitayaandikia mashirikisho makubwa ya mpira duniani FIFA na CAF kwa ajili ya kuyapatia taarifa za uwepo wa magaidi nchini.

Kauli hiyo imekuja michuano ya mataifa ya Afrika AFCON 2027 ikitarajiwa kufanyika Kenya ,Uganda na Tanzania 

Kauli hiyo ameitoa leo Julai 25,2026  akizungumza na vyombo vya habari jijini Mwanza.

Kwa taarifa zaidi tembelea YouTube yetu @jembefmtz

#AhsanteKwaTime 
#Familiamoja
#10YrsJembefm
‎ by @jembefmtz
757
15 hours ago
Download
SATURDAY ON KIKWETU

Leo ndani kikwetu Kali za Africa Mashariki tunapiga story na mkali kutoka bongo @raj_zorah usikae mbali bila kusahau tutamsikiliza ndani ya 93.7 
Via @jembefmtz Stay tuned 
——————————————————————————
Host: #Radioempress @nattyebrandy
 
  #Wakufunziwaburudani #Radioempress 
#Jembefm2026 #AsantekwaTime Usipojisikiasikiliza  kikwetukalizaafrikaMasharikia by @jembefmtz
5
19 hours ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up