Instagram story viewer> @jumamoore> Posts
10.8K
followers
370
following
🏆Best Male Sports News Anchor 2025
🧑‍🎓Journalist | News Anchor
🎙Media officer @tanzania_lacrosse
💍@_.rahma_01
📺@Channeltentanzania
🎙@magicfmtanzania
POSTS STORIES REELS TAGGED
ALLAHAMDULILLAH KWA KILA HATUA taken in Dar es Salaam, Tanzania by @jumamoore
7
9 months ago
Download
A big matter requires big decisions and proper reflection, Allahamdulillah for performing the important act of worship of half of my Islam. I love my beloved wife. May Allah bless all our days to come, ameen thumma ameen.🤲❤️ taken in Masjid TAMBAZA by @jumamoore
50
10 months ago
Download
☺️☺️🥰 by @jumamoore
26
a year ago
Download
Siku ambayo Manchester United alichezea chuma 4 dhidi ya Leicester City katika dimba la King power United bado ilikuwa chini ya Kocha Ole Guna 😂😂😂
#unitedkingdom #manchesterunited #king #power #update taken in Dar es Salaam, Tanzania by @jumamoore
0
an hour ago
Download
 by @jumamoore
7
14 hours ago
Download
Mtagi mchezaji mwenye Tabia kama ya Abdul kabla ya game taken in Dar es Salaam, Tanzania by @jumamoore
7
15 hours ago
Download
Mskie kocha wa Pamba jiji Francis Baraza na nyota wakieleza maandalizi kuelekea mchezo wao dhidi ya Fountain Gate taken in Dar es Salaam, Tanzania by @jumamoore
0
16 hours ago
Download
Kocha mkuu wa Fountain Gate pamoja na mchezaji wameeleza maandalizi yao kuelekea mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania bara dhidi ya Pamba jiji utakaochezwa kesho dimba la sheikh Abeid Kaluta jijini Arusha taken in Dar es Salaam, Tanzania by @jumamoore
0
16 hours ago
Download
@yangasc bingwa kama unabisha weka comment by @jumamoore
0
19 hours ago
Download
Mashabiki wa @simbasctanzania wanamuamini sana kocha wao by @jumamoore
0
20 hours ago
Download
MPIRA UPO MWAKA 2026 ILA CECAFA UPO 1940🤔🙌🙌

Uamuzi wa kurusha shilingi umeifanya timu ya Taifa ya Tanzania ya Vijana chini ya umri wa miaka 17
‘Serengeti Boys’ ikose nafasi ya kushiriki Fainali za Mataifa ya
Afrika kwa vijana wa umri huo (AFCON U-17) 2027.

Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati
(CECAFA) liliamua kutumia njia ya kurusha shilingi kuamua timu ipi itaongoza kundi C la mashindano yake ya kuwania
kufuzu AFCON U-17.

Hiyo ilikuwa ni baada ya Serengeti Boys na Somalia kuwa sawa kwa idadi ya pointi, mabao ya kufunga na mabao ya kufungwa katika mechi mbili ambazo kila moja ilicheza.

Timu hizo kila moja imemaliza ikiwa imekusanya pointi nne
baada ya kushinda mechi moja na kutoka sare moja.

Kila moja imefunga mabao matatu na kila timu imemaliza
mechi mbili ikiwa imeruhusu nyavu zake kutikiswa mara moja.

Kutokana na hilo, CECAFA iliamua kutafuta kinara wa kundi kwa kurusha shilingi ambapo Somalia iliibuka mshindi na hivyo Serengeti Boys kuaga rasmi.

Somalia sasa imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ambayo pia itaungana na timu za Uganda, Rwanda na Ethiopia. taken in Dar es Salaam, Tanzania by @jumamoore
1
20 hours ago
Download
TBT YA SOKA: ALI KIBA ALIVYOSAJILIWA NA COASTAL UNION NA KUTIMIZA NDOTO YA KUCHEZA SOKA LA USHINDANI!

Katika historia ya soka la Tanzania, mwaka 2018 ulikuwa na tukio lililozua gumzo kubwa baada ya msanii maarufu wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba, maarufu kama Ali Kiba au King Kiba @officialalikiba kusajiliwa na klabu ya Coastal Union ya Tanga.

Mnamo Julai 2018, Wagosi wa Kaya walithibitisha kumsajili msanii huyo kama mshambuliaji kwa ajili ya msimu wa 2018/2019 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Usajili huo ulivuta hisia za mashabiki wengi, kutokana na ukweli kwamba Ali Kiba alikuwa akifahamika zaidi kwa muziki kuliko soka la ushindani.

Ali Kiba alivaa jezi namba 7, huku makubaliano yake na klabu hiyo yakimruhusu kuendelea na shughuli zake za muziki pale ratiba ilipomruhusu. Pia alikuwa mdhamini wa Coastal Union kupitia kinywaji chake cha MoFaya.

MECHI ALIZOCHEZA ALI KIBA

📌 Septemba 9, 2018: Ali Kiba aliingia akitokea benchi katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Arusha United, uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, wakati wa utambulisho wa jezi na wadhamini wa klabu hiyo.

📌 Desemba 9, 2018: Ali Kiba alicheza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu Bara akiwa katika kikosi cha kwanza cha Coastal Union dhidi ya Mbeya City, kwenye Uwanja wa Mkwakwani. Alicheza kwa dakika 64, akiwa na jezi namba 7, katika mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1.

Katika mchezo huo, Ali Kiba alionyesha juhudi zake uwanjani, huku shuti lake likizuiwa na beki wa Mbeya City na kuzaa kona ambayo ilitumiwa na Coastal Union kupata bao la kuongoza kupitia Ayoub Rouben. Mbeya City ilisawazisha katika kipindi cha pili.

MWISHO WA SAFARI YAKE YA SOKA

Licha ya matarajio makubwa yaliyokuwepo baada ya usajili wake, majukumu ya muziki na ratiba za klabu vilifanya asipate nafasi nyingi za kucheza. Taarifa za mwishoni mwa msimu wa 2018/2019 zilieleza kuwa Ali Kiba alikuwa amecheza mchezo mmoja wa ligi dhidi ya Mbeya City.

Hii ni moja ya kumbukumbu zinazotukumbusha kuwa soka na burudani vinaweza kukutana, na jina kubwa katika muziki linaweza pia kuingia katika historia ya soka la Tanzania.

Je, unakumbuka usajili wa King Kiba kwenda Coastal Union mwaka 2018? 👇

#TBT #AliKiba #CoastalUnion #TanzaniaF taken in Dar es Salaam, Tanzania by @jumamoore
4
21 hours ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up