Instagram story viewer> @juveman13> Posts
58
posts
1.8K
followers
1410
following
hiphop artist from East Africa -Tanzania🇹🇿
flowkiller, stagekiller,freestyler,songwriter
pharmaceutical personnel
🏆 winner best raper iringa town
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Ndugu zangu ni muda mwingine tena nimekuja mbele zenu kuomba support kati jambo Lang la uzinduzi wa Ep yangu siku ya jumamosi tarehe 25/7 ukumbi wa royal palm iringa town 
Wasani mbali mbali wa ndani watakuwepo pamoja na wasani kutoka dar @applemusicsoundtz @wizzymp_official @yededee 
@ibraah_tz @iringaupdates @tmaley7_tz @jaysmith_tz @officialsamsilver @rojamoah @smeizakbello @maunamsalama 
@eastafricaradio @wasafifm @jioniyaleo_efmradio by @juveman13
75
19 days ago
Download
Juveman freestyle #wyflriddim #mbuzi @djmac__ @rockstarafrica #fredrickmulla @coy_mzungu #lifestyle #motivation @odong_tz
Director @niggamontana_tz @jaysmith_tz 
Producer @smillertz10 
Location iringa town
Harakat non stop 🙏 @nurufmiringa @eastafricaradio @wasafifm @cloudsfmtz @rucu_iringa @maunamsalama by @juveman13
310
3 months ago
Download
Asanteni mashabiki zang wa nguv kwa support  katika tamasha lililoandaliwa na mkuu wa mkoa wa iringa  @ndg.kheri_james pamoja na @nurufmiringa more thing a coming go on support me 🙏 by @juveman13
31
4 months ago
Download
👟🎤KUPIGA MPIRA NA KUPITA NA BEAT @juveman13 anajua vizuri. Msanii wetu wa Hip Hop na nyota wa @ayoungstars ana habari kubwa!
EP yake mpya ya "MY TIME"  itazinduliwa Kesho (Julai 25, 2026) katika Ukumbi wa Royal Palm Iringa Mjini. Kwa wapenzi wa muziki na michezo, hii ni siku yetu! Njoo uunge mkono kwenye jitihada za nyota wetu anapopanda stejini.

🤔 Je, uko tayari kwa "My Time Ep"? Tuambie kwenye comments!

#MyTimeEP #youngstarssportsacademy #NyandaZaJuu #muzikinamichezo taken in Iringa Town-Tanzania by @juveman13
4
a day ago
Download
Don't miss satur vibes 🖐🏽🔥 all under wagwaan management @juveman13 himself.......with all stars iringa town halla 🔫🥷 taken in Ruaha Catholic University by @juveman13
9
a day ago
Download
Harakat non stop 25/7 jumamos hii ukumbi wa royal palm usipange kukosa kamat ticket yako mapema kwa shingili elf 5 regular,30 VIP 

Piga namba 0685870184 kwa maelekzo zaidi🙏🏼 by @juveman13
8
3 days ago
Download
25/7 jumamosi hii usipange kukosaa kiwanja ni Kimoja 2  royal palm @yededee @rucu_musicclub @nurufmiringa @shambafmradio @chrisjuniorofficiall 

Usisahau kusali 🙏🏼 by @juveman13
6
3 days ago
Download
Msanii @juveman13 akieleza kuwa maandalizi ya tamasaha lake la uzinduzi wa EP yameshakamilika kwa asilimia kubwa kuwa kila kitu kiko sawa, Uzinduzi wa EP hiyo utafanyika julai, 25 katika ukumbi wa royal palm.

CC: @djnasiwakunyumba, @misshappy_tz @bizzo_the_mc

🎦🎬@msodo_

#nurufm
#nurudigital
36m by @juveman13
11
3 days ago
Download
CC: @djnasiwakunyumba, @misshappy_tz @bizzo_the_mc

🎦🎬@msodo_

#nurufm
#nurudigital by @juveman13
15
3 days ago
Download
Kuelekea uzinduzi wa EP yake, msanii wa Nyanda za Juu Kusini @juveman13 ametangaza kuwa wasanii watakaopanda jukwaani ni pamoja na @Dee Danger🇹🇿 , @wizzymp_official pamoja na wengine wengi

CC: @djnasiwakunyumba, @misshappy_tz @bizzo_the_mc 

🎦🎬@msodo_

#nurufm
#nurudigital by @juveman13
11
3 days ago
Download
Nitakuwepo katika Uzinduzi wa Ep ya Msanii Juveman kuhakikisha uwakika wa Burudani pia Atakuwepo @wizzymp_official na @yededee na Wasii wengine wengi 
Kata Ticket yako Mapema. EP. MY TIME by @juveman13
8
5 days ago
Download
Usipange kukosaa 25/7 royal palm ticket zip 5k@rucu_iringa @officialzackchriss @isco_creator_visual uzinduzi wa ep mytime@rich_msafii @nurufmiringa taken in Iringa Town-Tanzania by @juveman13
12
8 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up