Instagram story viewer> @kai_bey_actor> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Siri ya kuondokana na hofu ni kufanya kile unachokihofia 📽  @busatitv

#busatitv #tanzaniatiktok #bongomovie #love #housegirl 5 taken in Masaki, Dar Es Salaam, Tanzania by @kai_bey_actor
2
a day ago
Download
Kuna mda unamiss utotoni, tulikua tunatembea peku tunachomwa miba miguuni tunaugulia  na tunapona lakini sahivi tunavaa viatu miba inatuchoma moyoni tunaugulia kimyaa kimyaa 💔 🤚 

#bongomovie #tanzaniatiktok #love #kaibey #busatitv taken in Kampala International University Dar es Salaam College by @kai_bey_actor
4
7 days ago
Download
Bro, umri wa miaka 25-30 sio umri wa kufanya mzaha.
Si umri wa kula ujana. 
Ni kipindi ambacho maisha yanaacha kukulaghai na yanaanza kukuonyesha ukweli.

Kati ya miaka 25–30, reality inapiga kwa nguvu. Unaamka na kugundua muda haupo tena. Unaanza kuhesabu miaka badala ya ndoto zako. Unatazama watu wanaendelea, halafu wewe unahisi bado upo nyuma.

Cha uchungu unakuzidi zaidi,, kama mwanaume, hakuna watu wengi wanaosimama kusikiliza matatizo yako. Watu wanatarajia ujipange mwenyewe.
Ndiyo maana unabeba maumivu na presha Yako kimya kimya.

• Presha ya kufanikiwa.
• Presha ya kutafuta pesa.
• Presha ya kusaidia familia.
• Presha ya kuwa “mtu fulani”.

Ndani yako unajiuliza:
“Nimefail wapi?”
“Nilipoteza miaka yangu bora?”
“Mambo yatabadilika kweli?”

Bro, nikwambie ukweli; hiki kipindi hakijatengenezwa kuwa faraja.
Kimetengenezwa ili ujijenge kupitia maumivu, kukataliwa, kufukuzwa na kuumia zaidi.
Hapa ndipo wavulana wanakuwa wanaume, au wanabaki wavulana milele.

🕒 1. Kubali Ukweli: Muda Haukusubiri.

Muda hautosimama kwa sababu unaogopa, umechanganyikiwa au maisha hayakuwa fair.
Kila mwaka unaochelewesha kuchukua hatua, unaulipa kwa majuto.

Huu sio msimu wa kufuata starehe.
Ni msimu wa kufuata mwelekeo wako wa maisha.

❤️ 2. Usifanye Mapenzi Kuwa Suluhisho.

Acha kufukuzia wanawake kama ndiyo jibu la maisha.
Mapenzi ni mazuri, ndiyo, lakini:

• Mapenzi bila uthabiti yanakumaliza.
• Mapenzi bila lengo yanakupoteza.
• Mapenzi bila kukua kifedha yanakuvunja.

Mwanamke anaweza kukaa na wewe ukiwa una pesa, lakini heshima hupungua pale maendeleo yanaposimama.
Huhitaji kuwa tajiri leo, lakini onyesha jitihada, dira, na ukuaji.

Epuka wanawake wa kudai tu: muda wako, pesa, attention.
Wanakuchosha akili na mifuko yako.

Mwanamke wa kujenga naye maisha analeta amani, sio  presha.
Analeta Msaada, sio stress.

💰 3. Jifunze Kuhusu Pesa Mapema.

Pesa hazikupi furaha, lakini kukosa pesa kunakunyenyekeza vibaya.

Jifunze jinsi pesa inavyofanya kazi, hata kama ni ndogo.
Pesa ndogo hufundisha nidhamu, subira na control.

Acha kutumia pesa kuonyesha watu.
Acha kununua vitu usivyohitaji ili kufurahisha watu ambao hawatakusimamia siku maisha yatakapokupiga.

Wekeza kwenye skills. taken in Mwanza, Tanzania by @kai_bey_actor
3
12 days ago
Download
Je ni Sahihi kwa Wanawake Kupigana kwasababu ya MAPENZI?💔 
Series hii inaitwa WHO AM I ? inapatikana @busatitv pekee🔥

#tanzaniatiktok #burudanibilakikomo #bongomovie #films #busatitv by @kai_bey_actor
13
15 days ago
Download
Maisha ni kitabu ambacho kurasa zake Huwezi kuzimaliza kuzisoma. 💔

#tanzaniatiktok #busatitv #movies #kenyatiktok #congo film taken in Tabata Kinyerezi by @kai_bey_actor
12
18 days ago
Download
Unaweza kumpenda kwa moyo wako wote, ukampa muda, heshima na uaminifu, lakini mwisho wa siku akaenda kukusaliti na Mwanaume mbeba vyuma eti kisa ana Six Packs 😅 

Ni ngumu kuelewa kama haupo tayari kuelewa.

#tanzaniatiktok #kenya #films #love  #busatitv taken in Mafia by @kai_bey_actor
14
a month ago
Download
Mwamba anafanyiwa maigizo bila kujua kuwa Shemeji ni Mume mwenzie 🤣🤣

@abby_balthazar @kai_bey_actor by @kai_bey_actor
6
a month ago
Download
Safari ya mafanikio huanza kwa hatua moja ya ujasiri.

Usiogope kuanza upya, huenda ndio mwanzo wa mafanikio makubwa.🙏

#tanzaniatiktok #love #films #maisha #busatitv taken in Tabata kimanga by @kai_bey_actor
9
a month ago
Download
Tamthilia hii ya kimataifa ya kusisimua na kutisha🔥inapatikana kwenye youtube channel ya @busatitv pekee📽

#tanzaniatiktok #trendingreels #movies #love #michaeljackson taken in Tabata, Dar Es Salaam, Tanzania by @kai_bey_actor
0
a month ago
Download
Pesa haibadilishi Mtu..ila inafungua tabia zake zilizofungwa na Umaskini. 🤝

#tanzania #filamu #business  #worldcup  @asc_tanzania taken in Posta Ground Kijitonyama by @kai_bey_actor
5
a month ago
Download
My best series currently running on @busatitv youtube channel🔥 Next Level Production📽

#tanzania #filamu #drama #movies #love by @kai_bey_actor
4
2 months ago
Download
Utafanyaje siku ukigundua kuwa Mpenzi wako ana Mpenzi wake ambaye anampenda na kumuuza kuliko anavyokupenda wewe? 

Who Am I? Episode ya 3 tayari ipo YouTube @busatitv 

@abby_balthazar  @kai_bey_actor  @abdulkarimdee by @kai_bey_actor
18
2 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up