Instagram story viewer> @kherimkamba> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Mwakilishi wa Kikao cha Wanaume by @kherimkamba
12
2 months ago
Download
Waluguru warefu wapo wengi mfano Mchizi wangu @dj_kman ila Mluguru mrefu mweupe nipo peke yangu. by @kherimkamba
29
2 months ago
Download
Usivunjenao Urafiki kwakuwa hawana msaada kwako, Marafiki ni wazuri sana ukishafanikiwa maana umuhimu wako utaongezeka kwao.
Pambana ufanikiwe maana Mafanikio humvuta hata Adui yako kuwa Rafiki yako. by @kherimkamba
0
2 months ago
Download
 by @kherimkamba
10
2 months ago
Download
 by @kherimkamba
3
3 months ago
Download
Serikali iliangalie sana hili la Studio ya Filamu kama alivyoshauri Mh @fadhilliwaka lakini msisahau kuhusu Sera ya Filamu maana hii ndyo iliyobeba Mahitaji na Muongozo wote wa Filamu kwa kuangazia maeneo yote ya Msingi, uzuri Wadau wenyewe wa Filamu walishaandika Muswada wa Sera ya Filamu tangu Mwaka2012 na kuikabidhi Wizara, hivyo Mh Waziri liangazie hili kwa Wivu mkuu ili uache Alama iliyowashinda Watangulizi wako @baba_keagan  @mwana  @gersonmsigwa @chuma_kaole @fadhilliwaka @wizara_sanaatz @tanzania_film_board by @kherimkamba
0
3 months ago
Download
Asante Mungu kwa Maisha ya Baba yangu, Asante sana kwa kuona yafaa sasa umchukue Baba yangu, ila tazama vile Mioyo yetu ilivyojaa Maumivu kuondokewa na Baba yetu ingali tukimuhitahi, hivyo twakuomba Allah Umsamehe Baba yetu Madhambi yake na umuhukumu kwa Mema yake, Uilaze Roho yake Mahali Pema Peponi nasi Utujaalie mwisho mwema In Shaa Allah by @kherimkamba
3
3 months ago
Download
Kheri ya kuzaliwa kwako Kaka Baraka Mkamba. 
Allah akujaalie Umri mrefu ukiwa na Afya njema na Ridhiki ya Matamanio yako In Shaa Allah by @kherimkamba
2
3 months ago
Download
Kheri ya kuzaliwa kwako Kaka Baraka Mkamba. 
Mungu Akujaalie Umri mrefu ukiwa na Afya njema na Ridhiki ya Matamanio yako In Shaa Allah by @kherimkamba
2
3 months ago
Download
 by @kherimkamba
2
6 months ago
Download
Ukweli ulio wazi na usiopingika ni kuwa kila Nafsi itaonja Umauti kwamaana sisi sote ni wa Mungu na kwake Mungu tutarejea.
Tumekuwa tukitoa kauli hizo kila tupatapo taarifa ya Msiba, Ni wazi huwa hatushitushwi na taarifa ya Msiba maana ni jambo la lazima kwa kila Kiumbe alie Hai, Kauli hizi tumekuwa tukizotoa ili kukili kuwa mwisho wa Kiumbe Hai ni kifo na kujipa Faraja, ila Kauli hizi ni ngumu kuzipokea na kuzikubali kwa yule aliyeondokewa na Mpendwa wake.
Naam, leo nimekuwa nikitetemeka Midomo na kuumia Moyo wangu kila nikizisikia ama nikitakiwa kuzitamka.
Napata maumivu makali sana kukili kuwa haupo nasi tena Rafiki yangu kipenzi wa tangu Utotoni.
Aaaa Nenda Rafiki, Nenda Primary Classmate wangu, Nenda Hidaya wangu ukiyezoea kuniita Baba watoto tangu tungali Watoto utani ambao tumeendeleanao hadi tunazeeka.
Daiwa utaishi Moyoni mwangu. by @kherimkamba
38
6 months ago
Download
Ewe Mwenyezi Mungu nakushukuru kwa kunijaalia Uhai na Afya njema kwa unyenyekevu Mkuu najikabidhi kwako Mola wangu na kukuomba unijaalie Umri mrefu zaidi ya huu nikiwa na Afya njema na Ridhiki ya Matamanio yangu na unijaalie mwisho mwema In Shaa Allah
Alhamdulillah Kheri ya kuzaliwa kwangu. by @kherimkamba
24
6 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up