Instagram story viewer> @kideoni> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
KIDEO KILIITIKA WANANGU!!!! Tulienjoy Movies Back To Back #Kideoni na Dunia ya Wapenda Filamu ilifurahi!!!
Cc @brakepoint.tz by @kideoni
133
a month ago
Download
Yo Sijui nianze wapi lakini Mungu ameendelea kuonyesha ukuu wake kwangu kupitia KIDEONI PROJECT naomba nichukue nafasi hii kushukuru wote waliofika na tukaenjoy movies kwa pamoja siku ya jana imeacha alama kwangu

Asante kwa Team yng @mr.romantic77 @g_events_tz @ibrah_icon pia Perfomers wote @boomtz_ @wizzjunior23 @just_beka79  na wengine..

Asante pia kwa @table.206 kwa Venue kali na kuikamilisha siku

S/O @sam_film7
S/O @imman_casual by @kideoni
76
2 months ago
Download
@kideoni hapa dodoma leo tumetazama #nafsi ya @officialboneka Moja ya film kali inayofanya vizuri..Kiukweli dodoma wamepata burudani.
C.c 
@officialboneka 
@kideoni 
@presenter_mbuya 
@its_mbuya77 
🎥 @chusefilmss by @kideoni
6
5 hours ago
Download
@kideoni ni Maono aliyoyaona kijana @amrahuul_ na leo hapa dodoma watu wanapata burudani....it's all about @kideoni 
C.c
@amrahuul_ 
@kideoni 
@presenter_mbuya 
@its_mbuya77

🎥 @chusefilmss by @kideoni
1
6 hours ago
Download
SIKITU nishafika KIDEONI CHINANGALI DODOMA Wewe Shabiki yangu uko wapi mpaka sasa Hujafika hapa 
Kabla ya NBC MARATHON kesho leo Usiku tunakutana KIDEONI
Tiketi 50k KAWAIDA  na 100k Kwa VIP
Piga 0792464917 kupata tiketi yako
NUNUA TIKETI MUDA HUU by @kideoni
4
10 hours ago
Download
Ohooooo #Kideoni ni leo Chinangali Park, Dodoma by @kideoni
2
12 hours ago
Download
KIDEONI X @yastanzania_  @mixx.tz Chinangali Park, Dodoma Jioni ya Leo 📺🍿 by @kideoni
44
13 hours ago
Download
KIDEONI DAYYYYYYYY  Chinangali Park Dodoma 📺🔥🔥

Team yetu ya #Kideoni tuko hapa Dodoma leo hii tunafunga Kideo Kikubwa (Big Screen) pale Chinangali Park kuangalia Movies mbalimbali na wadau wa hapa Dodoma

Kideo + Nyama Choma = 50k
Kideo peke yake = 20k

CHUKUA TICKET YAKO HV SASA
0792 464 917 | 0784 199 811

#Kideoni📺
#amovienightyoudontwanttomiss🍿 by @kideoni
18
18 hours ago
Download
Ni leo pale Chinangali park kuanzia saa 12:30 jioni hujachelewa njoo @kideoni tuenjoy na @amrahuul_ 

Tickets zinapatikana piga 0634412548 kuanzia 20,000/=

🎥 by @mr.romantic77 taken in Dodoma, Tanzania by @kideoni
11
18 hours ago
Download
BIG EVENTS DESERVE BIG VISUALS.🔥

From social media creatives to digital billboards, your event should have a visual identity that commands attention wherever your audience sees it.

For @kideoni Event in Dodoma, the campaign was extended beyond social media into large-format advertising keeping the event's visual identity consistent, bold and instantly recognizable.

DON'T JUST HOST AN EVENT.
MAKE YOUR EVENT LOOK LIKE AN EVENT.

📩 DM for Event Design Packages & Bookings.
📩 @kinaboygraphix 
☎️ +255 625 350 701
............
.............
#doctorgraphics #beyondexpectations #graphicdesigners #eventmarketing #posterdesign #kideoni #billboards taken in Dodoma, Tanzania by @kideoni
3
a day ago
Download
AIBU UTAONA WEWE 😀😀😀

Team yetu ya #Kideoni tuko hapa Dodoma na Jumamosi hii tunafunga Kideo Kikubwa (Big Screen) pale Chinangali Park kuangalia Movies mbalimbali na wadau wa hapa Dodoma

Kideo + Nyama Choma = 50k
Kideo peke yake = 20k

CHUKUA TICKET YAKO HV SASA
0792 464 917 | 0784 199 811

#Kideoni📺
#amovienightyoudontwanttomiss🍿 by @kideoni
21
a day ago
Download
Mwamba @officialboneka  amewasili Dodoma kwa ajili ya #Kideoni pale Chinangali Park ambapo tunafunga Kideo kikubwa na kuangalia Movies mbalimbali kwa pamoja pamoja na Burudani mbalimbali

Team yetu ya #Kideoni tuko hapa Dodoma na Jumamosi hii tunafunga Kideo Kikubwa (Big Screen) pale Chinangali Park kuangalia Movies mbalimbali na wadau wa hapa Dodoma

Kideo + Chama Choma = 50k
Kideo peke yake = 20k

CHUKUA TICKET YAKO HV SASA
0792 464 917 | 0784 199 811

#Kideoni📺
#amovienightyoudontwanttomiss🍿 by @kideoni
8
2 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up