Instagram story viewer> @kimaro_hardware> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Tunayo furaha kubwa kumkaribisha @kimaro___jr kuwa Brand Ambassador wetu wa @kimaro_hardware πŸŽ‰

Hii ni hatua mpya ya mafanikio, ubunifu na ukuaji wa biashara yetu. Tunaamini ushirikiano huu utaleta thamani kubwa kwa wateja wetu na kuifanya brand yetu kufika mbali zaidi.πŸ“ˆ

Karibu sana @kimaro___jr kwenye familia yetu, safari imeanza! πŸš€

#kimaro_jr #BrandAmbassador #kimarohardware by @kimaro_hardware
19
2 months ago
Download
Sisi ni @kimaro_hardware Karibu tukuhudumie. by @kimaro_hardware
0
2 months ago
Download
@kimaro_hardware Kwetu sisi ni mwendo wa Delivery na Utalii, karibu tukuhudumie. 🫴

#kimarohardware #batibora #beinafuu #freedelivery #jenganasi πŸ πŸ”¨ by @kimaro_hardware
2
20 days ago
Download
@kimaro_hardware sisi kama wakuu wa Majeshi ya Kuuza na Kusambaza vifaa vya Ujenzi Tanzania tunaomba oda na Location yako swala la mzigo kukufikia Tuachie sisi....🀝

#kimarohardware #batibora #beinafuu #freedelivery #jenganasi πŸ πŸ”¨ by @kimaro_hardware
7
23 days ago
Download
@kimaro_hardware sisi ndio Wakuu wa Majeshi kwenye swala zima la kuuza Bati Bora na Imara kwa bei nafuu...πŸŽ–

#kimarohardware #batibora #beinafuu #freedelivery #jenganasi πŸ πŸ”¨ by @kimaro_hardware
0
23 days ago
Download
Tafiti zilizofanywa na wataalamu waliobobea kutoka @kimaro_hardware zinaonyesha kati ya watu 10, watu 9 wana ndoto za kuliliki nyumba, na mtu mmoja tayari anamiliki nyumba.πŸ˜‡
 
Ni ukweli usiopingika kwamba Kila Mtanzania ana ndoto ya siku moja kumiliki nyumba yake. 🏑

Safari huanza na uamuzi, na ndoto hutimia hatua kwa hatua. @kimaro_hardware tunajivunia kuwa sehemu ya safari yako kwa kukupatia mabati imara na yenye ubora wa kujenga nyumba ya ndoto zako.πŸ’­

Usiache ndoto ibaki kichwani, Fanya maamuzi, anza kuijenga ndoto yako leo! πŸ’™πŸ 

@kimaro_hardware ni daraja la kutimiza ndoto zako, sisi  tunakuuzia bati bora na imara kwabei nafuu, Karibu tukuhudumie. 🫴 by @kimaro_hardware
0
25 days ago
Download
Usijiulize Mzigo utakufikiaaje wewe piga simu moja tuu, toa oda yako swala la kukufikia tuachie sisi @kimaro_hardware Wataalamu wa hizi kazi.🫴

#kimarohardware #BatiBora #BtiTanzania ##Jenganasi #JengaKwaUhakika by @kimaro_hardware
0
a month ago
Download
Popote ulipo tunakufikia Tena kwa Haaraka na Usalama wa hali ya juu. 🏍

#kimarohardware #batibora #jenganasi #btitanzania by @kimaro_hardware
0
a month ago
Download
@kimaro_hardware Tunawatakia Heri ya Siku ya Baba Duniani.

Happy Father's Day.πŸ’™ 

#KimaroHardware #BatiBora #BtiTanzania #Jenganasi by @kimaro_hardware
0
a month ago
Download
Weekend imefika na sisi kama @kimaro_hardware  Hatuwezi kukubali weekend hii ikapita kinyonge.😊

Weekend hii ukija @kimaro_hardware utapata Punguzo la bei kwa 3.03% hii ni upande wa bidhaa za bati pekee.🫴

@kimaro_hardware tunakupa mabati bora, ushauri wa ujenzi na huduma ya usafirishaji kwa haraka. Tunakutakia mwisho mwema wa wiki na mafanikio katika kila hatua utakayopiga.🀝

#KimaroHardware #weekendoffer #BatiBora #BtiTanzania #jenganasi πŸ πŸ”¨ by @kimaro_hardware
0
a month ago
Download
🌟 Happy New Week! 🌟

Wiki mpya, fursa mpya na mafanikio mapya. Karibu @kimaro_hardware kwa mabati bora, uimara wa uhakika na huduma ya haraka. πŸ πŸ”¨

Jenga nasi kwa ubora! 🏠

#kimarohardware #bestqualitybestprice  #batibora #batitanzania #jenganasi by @kimaro_hardware
0
a month ago
Download
Bidhaa Bora kwa Bei Nafuu inapatikana @kimaro_hardware Pekee. 

Tunafanya kazi Masaa 24, Karibu tukuhudumie.🏠

#kimarohardware #bestqualitybestprice  #batibora #batitanzania #jenganasi by @kimaro_hardware
0
a month ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up