Instagram story viewer> @kinata_mc> Posts
166.5K
followers
348
following
Official Kinata #KinaMsat
Musician from East Africa Tanzania 🇹🇿
Booking📞 0666110412
Email 📧 [email protected]
POSTS STORIES REELS TAGGED
panga la nani kali!! 🫡🫡🫡!! by @kinata_mc
323
13 days ago
Download
Mungu anapanga lake na ww unapanga lako!! panga la nani kalii!! by @kinata_mc
796
18 days ago
Download
ndugu zangu niwaombe sana tuka subscribe my youtube channel twende nalo pia napokea clip challenge kwa number hii 0657709474  zawadi lazima ikiwa kali @mozeganglifestyle @sholo.the.rock by @kinata_mc
105
2 months ago
Download
Hatufanyanyi makosa kwakuwa kuna suala la kuomba radhi!! hapana ila shabiki zetu munatakiwa kutambua kuwa wasanii wenu kuna muda tunapitia changamoto sana!! ingawa suala la changamoto ni la kila mja ambae yuko hi duniani!! Naomba munisamehe sana kijana wenu nilipotereza!! by @kinata_mc
793
11 hours ago
Download
kwaiyo kaka unachamba mziki wetu!!!?? @el_mando_tz by @kinata_mc
235
a day ago
Download
Hii italeta shida 😂😂😂😂🙏 @kinata_mc by @kinata_mc
237
3 days ago
Download
Nilikuwa Natamani Sana Kuwa Na @linahafrica Kwenye Mahusiano 🗣️ @kinata_mc 

🎤: @fidomgaigai & @its_dullyb 
🎼: @djautorun007 
🎥 : @nelsonmbuzi_ 

#Genge by @kinata_mc
60
4 days ago
Download
Tarehe 18/10!! Jumapili ijayo ALLAH atujaalie kheri!! nyimbo yetu itakuwa kwenye all digital platforms!! twendeni tuka subscribe YOUTUBE channel yng mpya!! @djryder_misondo @dx10beats by @kinata_mc
465
5 days ago
Download
Hellow ndugu zangu shabiki zangu!! TAREHE 18/10
nyimbo yetu itakuwa kwenye all digital platforms!! naomba saport yenu iendelee! hii tumetumia KISWAHILI na ARABIC!! namna tu ya kuzidi kuongeza ubunifu ktk mziki wetu!! „”PANGA LA MUNGU”” by @kinata_mc
191
7 days ago
Download
 by @kinata_mc
44
9 days ago
Download
@kinata_mc amenata na beat kutukumbusha kuwa THE THRONE imeshapitishwa kuwa Kipindi Bora cha Burudani Afrika Mashariki…. malizia sentensi hii kisha nenda YouTube ya Crown Media ukashuhudie balaa lake 🙌🏾🔥🔥.

Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz DSM, ZANZIBAR & PWANI na 90.5 Mhz DODOMA. Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM, Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415.

#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele by @kinata_mc
102
11 days ago
Download
@kinata_mc amenata na beat ya ‘Panga La Mungu’ kwenye The Throne ya CROWN FM 🔥🙌🏾

Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz DSM, ZANZIBAR & PWANI na 90.5 Mhz DODOMA. Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM, Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415.

#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele by @kinata_mc
590
11 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up