Instagram story viewer> @king_kibarati> Posts
1.1K
followers
1754
following
Engineer by Professional (PEng) | Young leader
Addicted to Sports & Community based Activities
POSTS STORIES REELS TAGGED
#KibinduFestival2023
#NyumbaniKwanza by @king_kibarati
14
3 years ago
Download
Mwamba wa kinondoni @mnyongesongoro 🫡 taken in Mwananyamala, Dar es Salaam by @king_kibarati
2
5 months ago
Download
#JOGGING_BONANZA_KINONDONI

Leo Julai 17, 2022 tumeshiriki Bonanza lililojumuisha vikundi mbalimbali vya Jogging wilaya ya Kinondoni, bonanza lililoandaliwa na kikundi cha Kopa Jogging Sports Club na limefanya viwanja vya Kopa Mwananyamala. 

Bonanza hilo licha ya kuimarisha afya, kuboresha na kupanua mahusiano miongoni mwa wadau wa mazoezi lakini pia lilikuwa na lengo mahususi la kuelimisha na kuhamasisha wananchi wakazi wa Wilaya ya Kinondoni na nchi nzima kuhusu umuhimu wa sensa kwa maendeleo ya taifa na kuwahimiza wananchi wote kujitokeza kuhesabiwa ifikapo Agosti 23, 2022.

Mgeni rasmi kwenye bonanza hilo alikuwa ni Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Mhe. Abbas Tarimba.

Pamoja na hayo Taasisi ya KISIWANI CLINIC CENTER (KCC) inapenda kuendelea kuwakumbusha wadau wote wa mazoezi kuwa siku ya Jumapili Septemba 25, 2022, kutakuwa na sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwa taasisi hiyo, sherehe itakayoambatana na burudani mbalimbali itafanyika viwanja vya BONDE, MWANANYAMALA KISIWANI na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu.

Karibuni wote.
#KCC_Tiba_endelevu
#Sensa2022 taken in Mwananyamala, Dar es Salaam by @king_kibarati
2
4 years ago
Download
Zidumu fikra za baba wa Taifa.

Asante @abou_mzalendo @mzalendo_graphics 🫡📸🔥 by @king_kibarati
0
2 days ago
Download
Happy Nyerere Day 2026
#Nukuu
#nyerereday by @king_kibarati
0
2 days ago
Download
Maisha ni kutafuta si kutafutana!

#TBT2020 Chalinze✅

#Stori imeanza✍🏿📝 taken in Chalinze Pwani by @king_kibarati
0
8 days ago
Download
Michezo ni furaha, hapo mchawi mbio zako tu🐓😂 by @king_kibarati
2
24 days ago
Download
Asante sana @itvtz kwa mwaliko👏🏿

@samia_suluhu_hassan 
@baba_keagan 
mwanafa @kinondonimunicipal 
@wizara_sanaatz by @king_kibarati
12
a month ago
Download
Asante anko @iddi__azzan kwa kuniunga mkono kwenye uratibu wa michezo kwa wananchi wa Wilaya ya Kinondoni kupitia taasisi yako ya AZZAN SPORTS FOUNDATION.

#heri_iwe_nasi_leo_na_siku_zote🙏🏿 by @king_kibarati
0
a month ago
Download
Asante @itvtz kwa kutufikia🤝 by @king_kibarati
7
a month ago
Download
Asante @azamtvsports kwa kutufikia🤝 by @king_kibarati
12
a month ago
Download
Kurukaruka kwa Maharage ndo kuiva kwake, jambo limerushwa limeangukia tarehe 13/09/2026, kiwanja cha nyumbani Bonde…. nna hamu sana ya kujumuika na familia yangu❤️

#LetThisHappen👏🏿 taken in Mwananyamala Kisiwan by @king_kibarati
0
a month ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up