Instagram story viewer> @kishaitv> Posts
66.2K
followers
1
following
Official account of Kishaitv ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Home of sports and entertainment
Exclusive interviews, hot stories
๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป
POSTS STORIES REELS TAGGED
TAARIFA KWA UMMA.

#KishaiTv #KishaiDigital by @kishaitv
48
2 months ago
Download
ARSENAL YAPANDA NAFASI YA PILI!

Ushindi wa Arsenal dhidi ya Nottingham Forest umeifanya timu hiyo kurejea nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu England, ikiipiku Brighton.

Powered by @giftfreight_ltd @dubai_computers by @kishaitv
0
14 hours ago
Download
Shabiki wa Yanga Kevoo alia na ubora wa X factor Aziz Ki na Albert Kangwanda

๐ŸŽค @jr_mtungo 

Full interview inapatikana Youtube ya Kishai Digital

Powered by @dubai_computers @giftfreight_ltd by @kishaitv
1
14 hours ago
Download
Mdau wa Soka kutoka Kenya @afandeceleh amewataja Wachezaji kutoka Ligi ya Tanzania wanaomvutia zaidi wakiwemo Libasse Gueye,Elie Mpanzu,Ibrah Bacca,Gjigui Diarra, Fei Toto.

Full Interview ipo Youtube Channel ##kishaidigital 

Powered by @dubai_computers @giftfreight_ltd by @kishaitv
63
14 hours ago
Download
"Mtu anayefuatilia Ligi ya Tanzania anajua @singidablackstars ni mojawapo ya Timu bora sana" @afandeceleh 

Full Interview ipo Youtube Channel #kishaidigital 

Powered by @dubai_computers @giftfreight_ltd by @kishaitv
19
15 hours ago
Download
Mdau wa Soka kutoka Kenya @afandeceleh amesema  anaungana na Watanzania wote kuomboleza kifo cha aliyekuwa Kocha msaidizi wa @pambajijifootballclub Themy Felix kilichotokea jana.

Full Interview ipo Youtube Channel ##kishaidigital 

Powered by @dubai_computers @giftfreight_ltd by @kishaitv
8
15 hours ago
Download
Shabiki wa Simba akitamba na mchezaji wake Libasse Gueye na ubora wake msimu huu

๐ŸŽค @jr_mtungo 

Full interview inapatikana Youtube ya kishai Digital

Powered by @dubai_computers @giftfreight_ltd by @kishaitv
2
15 hours ago
Download
Kikosi cha Singida BS kimetanguliza mguu mmoja hatua ya makundi kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tusker ya Kenya

Ushindi huu unawapa nafasi kubwa klabu hiyo kwani bao la ugenini linabeba maana kubwa kwa Singida BS ya Tanzania

Powered by @dubai_computers @giftfreight_ltd by @kishaitv
0
15 hours ago
Download
Golikipa wa @singidablackstars Yona Amos amwsema siri ya yeye kuwa na Kiwango bora Uwanjani ni kushirikiana na wenzake.

Powered by @dubai_computers @giftfreight_ltd by @kishaitv
1
16 hours ago
Download
Mchezaji na Mfungaji wa goli la @singidablackstars dhidi ya @tuskerfc Jeancy Mboma @jamesmboma53 amesema jana alizungumza na rafiki yake na alimwambia kuwa lei atafunga goli hivyo anafuraha sana.

Powered by @dubai_computers @giftfreight_ltd by @kishaitv
3
16 hours ago
Download
Meneja Habari na Mawasiliano wa @singidablackstars @massanzajr amekiri kwamba @tuskerfc wamewapa upinzani mzuri mchezoni na wamecheza vizuri zaidi ya kiwango chao kilicjozoeleka.

Full Video ipo Youtube Channel ##kishaidigital 

Powered by @dubai_computers @giftfreight_ltd by @kishaitv
3
16 hours ago
Download
MKANDARASI AINGIA KWENYE 18 ZA MHE:WAZIRI PAUL MAKONDA. 

Waziri wa Habari,utamaduni,sanaa na michezo .Mh Paul Makonda amemtaka mkandarasi anae tekeleza ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa kuongeza idadi ya wafanyakazi ili kukamilisha kazi ya ubomoaji 

Akiwa ameongozana na nyota wa Soka  duniani Didier Drogba mhe,Makonda amesisitiza kuwa serekali ilitoa furusa hiyo kwa mkandarasi huyo katiya makampuni 200 hivyo anataraji kuona matokea kwa haraka na ya viwango vya juu.

Powered by @giftfreight_ltd @dubai_computers by @kishaitv
0
16 hours ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up