Instagram story viewer> @kvz_fc> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Ratiba ya michezo ya Kombe la CECAFA Kagame Cup 2026.

#mudawakufurahi🔥 
#umojawetundioushindiwetu💪💪 
#kvz_kikosi_cha_valantia_zanzibar by @kvz_fc
4
13 days ago
Download
Kombe limefunga mkanda wa usalama, safari ya ubingwa imekamilika salama.

Mbele kuna dereva na kombe, nyuma kuna historia ya mafanikio.🫡 by @kvz_fc
17
a month ago
Download
CHAMPIONS by @kvz_fc
0
a month ago
Download
Mazoezi ya mwisho 

#cecafa #kagamecup #visitzanzibar #kvzfootballclub taken in Amahoro Stadium by @kvz_fc
1
7 hours ago
Download
Yes, NI BIG SCREEN ndani ya Makao Makuu ya Kikosi Cha Valantia Zanzibar Mtoni.

Mbali na kuwakilisha Kikosi Cha Valantia sisi @kvz_fc ndio wawakilishi pekee wa Zanzibar kwenye Michuano hii.🔥🔥

Viongozi wetu wakuu wakiongozwa na LT. COL Said Ali Shamuhuna wameandaa utaratibu maalum wa kutupa support kesho wakati tunakiwasha kwenye dimba la AMAHORO.

Kwa wale ambao hamtakuwa uwanjani, BIG SCREEN ndiyo sehemu sahihi ya kututazama.

Dua na maombi yenu ndio kila kitu kuelekea mchezo wetu wa kwanza hapo kesho🙏🙏 taken in Kigali, Rwanda by @kvz_fc
0
9 hours ago
Download
Last Session by @kvz_fc
5
11 hours ago
Download
Kuelekea mchezo wa kesho.

@cacafa #kagamecup #visitzanzibar #kvzfootballclub taken in Amahoro Stadium by @kvz_fc
0
14 hours ago
Download
Head Coach Hababuu Ali Omar akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho.

@hababuuomar 
#cecafa #kagamecup #visitzanzibar #kvzfootballclub by @kvz_fc
0
14 hours ago
Download
Kuelekea mchezo wa kesho

#cecafa #kagamecup #visitzanzibar #kvzfootballclub taken in Amahoro Stadium by @kvz_fc
0
14 hours ago
Download
Nahodha wetu Majid DUDU akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho.

#cecafa #kagamecup #visitzanzibar #kvzfootballclub by @kvz_fc
0
14 hours ago
Download
Kesho tutacheza mchezo wetu wa kwanza wa Michuano ya CECAFA KAGAME CUP hapa Kigali, Rwanda.

Mchezo huo utachezwa kwa saa za hapa Rwanda ni saa 12 Jioni ambayo ni sawa na saa 1 Usiku Nchini Tanzania. taken in Kigali, Rwanda by @kvz_fc
4
18 hours ago
Download
MCHEZO WA KWANZA 

🏆#CECAFAKAGAMECUP
🆚️ RAYON SPORTS
📆 26 JULY 2026
⏰️ 12:00 JIONI 
🏟 AMAHORO STADIUM 

#cecafa #kagamecup #visitzanzibar #kvzfootballclub by @kvz_fc
2
21 hours ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up