Instagram story viewer> @letsimpactmillionsdocumentary> Posts
11.6K
followers
3
following
Our mission to impact millions begins with impacting you
.
Watch our latest episode ⤵️
POSTS STORIES REELS TAGGED
Nina malengo makubwa sana ya kutImiza kupitia forex.

Nilichokipata @intelligencefx ni kitu kikubwa sana ambacho natamani sana kama ningekipata nikiwa bado kijana.

Lakini wakati ni sasa.

Wanachokifanya @amrisaly na @mikedastan ni kitu kikubwa sana kinacholeta impact kubwa sana na kwa vijana hapa Tanzania na Duniani kwa ujumla.

Kuitazama full video gusa link kwenye bio.

Like comment na share na ndugu jamaa na marafiki zaidi.

OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS.🎉 by @letsimpactmillionsdocumentary
100
4 months ago
Download
DISCLAIMER::

SISHAURI na SIUNGI MKONO swala la KIJANA yeyote KUACHA CHUO.

Safari ya FOREX inaweza kutimia muda na wakati wowote katika maisha ya mtu.

Maamuzi ya MTU fulani KUACHA CHUO na kuendelea na forex YASIWE kigezo cha wewe pia KUFUATA njia hiyo. 

Naamini kuwa Hapa Duniani kila mmoja ana njia yake kuelekea mafanikio 

Na ELIMU ya shuleni bado ni MUHIMU na unaweza ukasoma kwanza KISHA forex ikafuata.

Tuandikie maoni yako kwenye comment section hapo chini.

Kuitazama Full video Gusa link kwenye bio.

LIKE na SHARE na marafiki zaidi.

OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS.🎉 by @letsimpactmillionsdocumentary
115
4 months ago
Download
HIZI NDIO SABABU KUU NA ZA MSINGI AMBAZO MIMI NILIWEZA KUCHUKUA MAAMUZI YA KUANZISHA INTELLIGENCEFX.

Sikiliza kwa umakini mkubwa ikiwezekana RUDIA Tena. Naamini utaelewa zaidi.

Tuandikie maoni yako juu ya Uamuzi huu.

Full video ipo YouTube Gusa link kwenye Bio Kuitazama.

Usisahau Ku-like comment na share kwa ndugu jamaaa na marafiki zaidi.

OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS. by @letsimpactmillionsdocumentary
4
4 months ago
Download
Tambua kwamba kila jambo linatokea kwa SABABU.

Niambie umejifunza nini katika video hii na video zingine ulizozitazama hapa instagram.

Andika kwenye comment section hapo chini.

Like na share na marafiki zaidi.

Kuitazama full documentary gusa link kwenye bio.

OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS. by @letsimpactmillionsdocumentary
2
3 months ago
Download
Unaweza ona jinsi ambavyo trader wengine wanavyo-trade na jinsi @intelligencefx tunavyofundisha namna ya kufanya trading.

Ukweli ndio huu na ninaamini kupitia video hii umejifunza vyema na kutoka na somo juu ya trading.

Andika maonin yako kwenye comment section hapo chini.

Je wewe unajua nini kuhusu Prop-firm?

Una uzoefu gani ana unaweza eleza nini kuhusu prop-form?

Tuambie kwenye comment section hapo chini.

Like na share na marafiki zaidi.

Kuitazama full documentary gusa link kwenye bio.

OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS. by @letsimpactmillionsdocumentary
2
3 months ago
Download
Yatambue maono ya @intelligencefx na tunapoelekea.

Kila jambo tunalolifanya limepitia mchakato mkubwa sana hadi kulitiza.

Hizi ni hatua ambazo ni za muhimu sana na hazipaswi kukwepwa hata kidogo.

Je wewe hutumiza malengo yako kwa njia gani?

Tuambie kwenye comment section hapo chini.

Like na share na marafiki zaidi.

Kuitazama full documentary gusa link kwenye bio.

OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS. by @letsimpactmillionsdocumentary
0
3 months ago
Download
Unaonaje haya maamuzi ya kufunga tradingfloor ya kwanza ya skycity hadi kufungua nyingine ya MASAKI?

Unatoa maoni gani?

Tuambie kwenye comment section hapo chini.

Like na share na marafiki zaidi.

Kuitazama full documentary gusa link kwenye bio.

OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS. by @letsimpactmillionsdocumentary
0
3 months ago
Download
Je unazijua faida na hasara za kuwa na team ya watu?

Wewe umewai kumbwa na changamoto zipi katika kazi yako?

Kuitazama full documentary gusa link kwenye bio.

Tuambie maoni yako kwenye comment section hapo chini.

Like na share na marafiki zaidi.

OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS. by @letsimpactmillionsdocumentary
1
3 months ago
Download
Tuambie wewe huchukua njia gani ya kuwekeza kwenye fedha ulizozipata?

Kuitazama full documentary gusa link kwenye bio.

Tuambie maoni yako kwenye comment section hapo chini.

Like na share na marafiki zaidi.

OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS. by @letsimpactmillionsdocumentary
2
3 months ago
Download
Je wewe ni selective kwenye kuchagua watu wa kufanya nao team up?

Unatumia sababu zipi kwenye kuchagua watu?

Kuitazama full documentary gusa link kwenye bio.

Tuambie maoni yako kwenye comment section hapo chini.

Like na share na marafiki zaidi.

OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS. by @letsimpactmillionsdocumentary
3
3 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up