Instagram story viewer> @libson_1> Posts
3.3K
followers
867
following
Be Humble
Being a competite Winner, Mentally,Spiritual and Physical.
#TUISHIWANANGU
The Writer
Amina Mbuya Son.
GOE 🙏
Money is IMPORTANT 💸💸
POSTS STORIES REELS TAGGED
Goli gani hili
@dodomajijifootballclub 2
@geitagoldfc 0 by @libson_1
3
6 hours ago
Download
@dodomajijifootballclub 1
⚽️ @fini_khleffin by @libson_1
2
6 hours ago
Download
Kuna record ambazo huvunjwa, lakini nyingine huonekana kama milima isiyopandwa kabisa.

Miaka 14 baadaye bado mzimu wa Lionel Messi unawatesa washambuliaji na dunia bado inaitazama rekodi ya Lionel Messi kwa mshangao

Mwaka 2012, Lionel Messi aliandika historia isiyosahaulika kwa kufunga magoli 91 ndani ya mwaka mmoja wa kalenda akiwa na Barcelona na timu ya taifa ya Argentina.

Rekodi ambayo imebaki kuwa moja ya mafanikio makubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa katika soka la dunia.

Lakini sasa, jina la Harry Kane linaibuka katika mjadala huu wa kihistoria mwenye umri wa miaka 14 sasa tangu uzaliwe kupitia sperm za Lionel Messi

Mshambuliaji huyo wa Bayern Munich amekuwa katika kiwango cha kuvutia mwaka 2026 na kwa mujibu wa takwimu zilizoripotiwa mpaka October 9,2026 King Kane amefikisha magoli 50 ndani ya mwaka huu.

Hiyo inamaanisha nini? Kane anahitaji magoli mengine **41** ili kufikia kilele kilichowekwa na Messi. Akiwa na michezo iliyosalia kabla ya mwaka kuisha, macho ya mashabiki yanaelekezwa kwake.

Hata hivyo kufunga magoli 91 ndani ya mwaka mmoja si jambo la kawaida. 

Ni mchanganyiko wa kipaji, uthabiti, afya, nafasi za kucheza na uwezo wa kugeuza kila nafasi kuwa tishio kwa wapinzani na vyote hivyo Harry Kane anavifanya kwa usahihi mkubwa sana.

Swali linabaki tu je? Harry Kane anaweza kufanya kile ambacho kwa miaka mingi kimeonekana kuwa karibu na kisichowezekana japo washambuliaji wengi waliweza kupambana sana.

Au record ya The Little Boy From Rosario Lionel Messi itaendelea kuwa kiti cha enzi ambacho hakuna mshambuliaji atakayekifikia mwaka huu na pengine miaka mingine.

Miaka 14 nyuma Messi aliweka historia na alivunja record ya Gurd Müller wa Bayarn Munich ambayo iliwekwa miaka ya 70.

Na sasa Harry Kane wa Bayern Munich ana mtihani wa kuijenga historia na kujeresha record ndani ya maktaba ya The Bavarria.

Harry Kane anapswa kufunga magoli 41 ndani ya miezi miwili iliyobaki ya kufunga mwaka 2026 na kuanzia October 12 hadi December 30 Bayern Munich wana michezo 16 kuanzia Ligi,UEFA na DFB-Pokal.

Kwa maana Harry anapaswa kufunga magoli at least 3 kwenye kila mchezo ndani ya michezo 16 ilikufikia record ya Lionel 91.

#846luckynumber by @libson_1
0
4 days ago
Download
Jina la Red Devils liliuhusishwa zaidi na klabu ya mchezo wa Rugby kutoka viunga vya Salford kisha likaenda kuwa utambulisho wa kudumu wa klabu ya Man United kuanzia miaka ya 60’s.

Uzaliwa wa jina hili ulipata uhai pale klabu hii ya mchezo wa rugby ilipo tembelea ardhi ya Ufaransa mwaka 1934 na kubatizwa jina la utani Les Diables Rouges“The Red Devils.”

Jina hilo lilipogusa tu eardrum ya masikio ya Sir Matt Busby na kusisimua neva za ubongo wake ghafla akapata tafakuri kuwa ni jina sahihi kuwa kilisha klabu ya maisha yake yani Man United.

Kisha ukaja mkutano wa vitu vitatu vilivyopelekea jina hili kuwa mali ya Man United kwanza ni uhatari wake uliotishia wapinzani ndani ya uwanja.

Pili ni rangi nyekundu ya jezi yao na tatu ni alama ya shetani mwenye pembe”Tridients” ambayo Man United walikuwa wanaitumia kama nembo ya utambulisho wao.

Chini ya Sir Matt Busby jina likaenda sawa na kila kitu ndani ya klabu yao hivyo Red Devils likawa ni utambulisho mkuu wa klabu yao mpaka leo.

Uzaliwa wa jina ulianzia pale Salford kisha mbegu kupandwa ndani ya Ufaransa na kuchipua ndani ya Old Trafford na kushamili ulimwenguni kote.

The Red Devils si kwa sababu ya uovu bali ni jina la kihistoria lililochaguliwa kuonyesha nguvu,ujasiri,ukali na roho ya ushindani ya Manchester United. by @libson_1
0
a month ago
Download
Lazima ujisaidie na usimame kwa ajili yako mwenyewe kwa sababu mwisho wa siku, hakuna anayejua ni lini ukimya wako ulianza.

Iwe unahisi ni kumbukumbu za zamani au hisia za mapenzi, haijalishi. 

Ukweli ni mmoja na ni rahisi kama mambo ambayo umeanza kuyaelewa hivi karibuni.

Kadiri unavyokua ndivyo unavyozidi kuipenda maisha halisi na kadiri unavyozidi kuzeeka, kwa namna fulani unarudi kuwa mtoto tena bila hata kutambua.

Na huu ni ukweli mzuri wa maisha utoto hauondoki kamwe.

Hubaki kama hazina iliyofichwa ndani ya kumbukumbu nzuri kwenye picha, wimbo, au barabara ambayo umeipita mara elfu ukiwa na mtu ambaye sasa hayupo tena.

Kwa hiyo kukumbuka yaliyopita si kurudi nyuma.Ni kuendelea kujenga kumbukumbu mpya.

Watu tunaokutana nao katika safari ya maisha ni kama nyimbo kwenye redio.

Kuna wimbo unaoupenda na unaongeza sauti baadhi ni wa muda mfupi na unaendelea nao, kisha kuna mwingine anayebadilisha kituo.

Usichukie hilo, kwa sababu si kila wimbo umeumbwa kudumu milele.

Kilicho muhimu ni kuamua kubadilika kujiboresha na kuacha kutarajia mambo ambayo yako nje ya uwezo wako.

Jidhibiti wewe mwenyewe. Dakika inayofuata ni yako, lakini hujui imebeba nini.

Ni kweli si rahisi kujipa moyo na kujisaidia kila wakati.

Lakini wakati mwingine, unachohitaji ni kukumbuka kwa nini ulianza.

Tujifunze kuthamini yale muhimu katika maisha, na kuyaacha mengine yapite kwa heshima, upendo na mtindo wetu wenyewe. by @libson_1
0
a month ago
Download
@yangasc 1
⚽️ @shalulile13 by @libson_1
0
a month ago
Download
@yangasc na Gaborone kwenye 1 na 2 by @libson_1
0
a month ago
Download
KWA NINI? MASHABIKI WA LIVERPOOL UTAMBULIKA KWA JINA LA THE KOPS.

Kila kitu kilizaliwa na kupata uhai miaka ya 1900’s ndani ya Afrika Kusini na ulikuwa wakati wa vita vya Boers.

Vita vya Boer’s ni vita vilivyo wahusisha Waingereza na Boers ambayo walikuwa walowezi wenye asili ya Uholanzi waliozamia Nchini Afrika Kusini na kuunda jamii zao.

Lakini ndani ya ardhi ya Afrika Kusini kulikuwa na kilima kimoja kilichotambulika kwa jina la Spion Kop sehemu ambayo Second Boers War vilipigana.

Kumbuka tu kulikuwa na First Boers War kati ya mwaka 1880-1881 ambao Boers walipigana na Waingereza na wakashinda.

Kisha ikaja Second Boers War ambayo vilipigana kati ya mwaka 1899-1902 kati ya Jumhuri ya Boers hasa South Africa Republic”Transvaal” na Orange Free State na Uingereza kupata ushindi.

Na Spion Kop ndio lilikuwa eneo kuu la mapigano wakati wa Second Boers War hasa Battle of the Spion Kop licha ya Uingereza kupata na ushinda lakini WANAJESHI wengi wa Uingereza walipoteza maisha.

Baadaye baadhi ya viwanja vya michezo nchini Uingereza vilianza kutumia jina “Spion Kop” kwa stands zilizokuwa na mashabiki wengi.

Anfield nayo ikawa na The Kop na jina hilo likawa sehemu kubwa ya utamaduni wa Liverpool pia The Kop ni jina la moja ya stands maarufu kabisa ndani ya Anfield.

Baadaye, jina Kop likawa utambulisho wa mashabiki waliokuwa wakikusanyika kwenye stand hiyo.

Kwa kuwa Wanajeshi wengi wa Uingereza waliopoteza maisha walikuwa wanatoka ndani ya Jiji la Liverpool na kwao ilikuwa ni sehemu ya kuwa enzi mashujaa wao.

Lakini kwa sababu ya kelele,nyimbo na nguvu yao ya kuisukuma timu mashabiki wa Liverpool wakaanza kuhusishwa sana na jina hilo.

Ndiyo maana utakuta wakisema“The Kop” ni moyo na sauti ya mashabiki wa Liverpool.

Na “Kopites” ni jina linalotumika kuwaita mashabiki wa Liverpool kwa ujumla ambayo utambulika kimfanano na wale mashujaa wa Uingereza kule vitani miaka ya 1990. by @libson_1
1
a month ago
Download
@singidablackstars akome kusaliti wakubwa @yangasc na @simbasctanzania by @libson_1
0
a month ago
Download
@mashujaafcofficial 2
@singida_black_stars_sc 1 by @libson_1
0
a month ago
Download
MWASHIUYA THE FLASH.Kasi yake ya kutisha iliwakosesha usingizi mabeki wengi kutokea ligi za chini kabisa 

Matumizi yake sahihi ya mguu wa kushoto, changanya na uwezo wake wa kukokota mpira tena mpira ukiwa jirani na mguu wake acha ile ya kuachia mafataki ya kutisha

Usisahau namna alikua Direct kulifuata box la mpinzani hakukua na kurudi nyuma mchanganyiko wa vitu hivi vilifanya izaliwe winga moja matata sana

Kimondo mpaka Yanga Africa, Kutoka Ccm Vwawa mpaka uwanja wa mkapa na kutisha kwa mtindo uleule iwe kushoto ama kulia Mwashiuya aliogopesha sana kukabiliana nae

Misimu mitatu ya moto jangwani, makocha tofauti lakini bado imani juu yake ilikua kubwa sana

Zikaja safari za Singida, Mbeya City, Kagera Etc kisha kimya kizito kikatawala 

Ilikua pigo kwenye karia yake, pigo kwa vijana wengi wa mbozi na maeneo yake waliotamani kufika alipofika ilikua mapema japo dalili zilikuepo

Mpira una mambo mengi sana

Nikimtizama bado anauwezo mkubwa sana anarejea ligi daraja la kwanza awe fit inshallah mpira huu huu bado unamdai

Mpira huu huu bado anaudai pesa nyingi sana

Amka Jofrey Mwashiuya mitaa inakusibiri uipe tena kile ulitoa miaka ile

Reposted from @petromichaels

Cc @official_geofrey_mwashiuya OUR LEGEND🙌🙌🙌 VWAWA & MLOWO🫡 by @libson_1
1
a month ago
Download
Jiulize hizo ni jezi za msimu gani kwa Yanga?
@yangasc kumzawadia jezi @fabriziorom ni ushamba, Angenunua kwa mapenzi yeke kweli mngeenda duniani by @libson_1
2k
a month ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up