Instagram story viewer> @lygomedia_> Posts
17
posts
12
followers
1
following
๐ŸŽฌ Your Campus Storytellers
๐Ÿ“ธ Events โ€ข Interviews โ€ข Designs
๐Ÿ”ฅ Turning Moments Into Stories
๐Ÿ“ฉ Work with us
https://wa.me/255759848498
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
 by @lygomedia_
0
3 days ago
Download
 by @lygomedia_
2
6 days ago
Download
 by @lygomedia_
2
6 days ago
Download
 by @lygomedia_
0
6 days ago
Download
 by @lygomedia_
0
7 days ago
Download
๐Ÿšจ DIRISHA LA UDAHILI LIMEFUNGULIWAโ€ฆ NA COMMENTS ZIMEANZA KUTUCHANGAMSHA! ๐Ÿ˜‚๐ŸŽ“Kila mwaka ni simulizi ileile. Mara tu maombi yanapofunguliwa, mitandao hujaa maswali, ushauri, utani na wakati mwingine majibu yanayowaacha watu wakicheka au kushangaa.Lakini nyuma ya kila swali kuna mtu anayetafuta nafasi ya kujenga maisha yake kupitia elimu. Ukiweza kumsaidia kwa taarifa sahihi, fanya hivyo. Kama hujui, acha nafasi kwa wanaojua.Au mnaonaje tumpe mji ni chuo gani kitampokea bila kupepesa macho ?!Pia๐Ÿ‘‡ Ni comment ipi kuhusu udahili umeiona leo ambayo imekuacha ukicheka au ukishangaa? Tuandikie hapa chini.๐Ÿ“ฒ Follow @LyGomedia kwa habari, elimu, burudani na mijadala inayogusa jamii kila siku.#LyGomedia #Udahili #TCU #Vyuo #University Tanzania Elimu Trending InstagramTanzania by @lygomedia_
2
8 days ago
Download
๐ŸŽ™๏ธ "Tatizo kubwa la vijana wengi si ukosefu wa fursa... ni kupenda slope."Founder wa LyGomedia anaeleza kwa nini vijana wengi wanashindwa kufikia malengo yao. Je, ni uvivu, hofu ya kuanza, au kweli tumekuwa tukikimbilia njia rahisi kuliko kujenga uwezo?๐Ÿ”ฅ Tazama mahojiano haya mpaka mwisho, kisha tuambie maoni yako.๐Ÿ’ฌ Je, unakubaliana na kauli hii? Andika NDIYO au HAPANA na utoe sababu zako.#LyGomedia #YouthTalk #Mindset #Success #InspireInformCreate Vijana Motivation Leadership Tanzania by @lygomedia_
4
13 days ago
Download
๐Ÿšจ "Ukijua mchezo wa sanaa, hutahangaika!"Haya ni maneno yenye uzito kutoka kwa Pare Boy kwenye mahojiano yetu maalum. Amefunguka kuhusu maisha ya msanii, namna ya kuusoma mchezo wa sanaa, na mambo ambayo vijana wengi wanapaswa kuyajua.Je, unakubaliana naye? Andika maoni yako kwenye comments.๐ŸŽฅ Full interview kupitia LyGomedia.#PareBoy #LyGomedia #BongoFleva #Sanaa #EntertainmentTZ Trending MusicTZ Interview by @lygomedia_
22
15 days ago
Download
Katika hali isio ya kawaida LyGomedia imefika huku kwenye mapenzi ya kina na wafuatiliaji wake .Ni level mpya kidunia kama record iliowekwa na wapenzi hawa hadi kufikia kilele ya mnara .๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Vipi wako anaweza kufanya au mnaweza kufanya kilichofanywa na wawili hawa?! by @lygomedia_
2
23 days ago
Download
Mafanikio hayaji kwa bahati. Yanajengwa na akili inayofikiri kwa ubunifu, maamuzi sahihi, na nidhamu ya kusimamia malengo kila siku. Smart thinking hukupa mwelekeo, lakini discipline ndiyo inayokufikisha kwenye matokeo unayoyatamani.#LygoMedia #SuccessMindset #Discipline #GrowthMindset #MotivationDaily Focus HardWorkPaysOff DreamBig StayCommitted PersonalDevelopment MindsetMatters SuccessJourney JoelMedia Novio PareBoy by @lygomedia_
8
23 days ago
Download
โœจ KESHO NDANI YA LyGo Spotlight!Kila safari ina mwanzo, kila changamoto ina somo, na kila ndoto ina nafasi ya kutimia.Kesho nitakuwa Special Guest kwenye LyGo Spotlight, nikizungumza na Host Micky kuhusu safari yangu, changamoto nilizopitia, na jinsi ya kuendelea kusimama pale wengi wanapoamua kukata tamaa.Kama unatafuta motisha, matumaini, na sababu ya kuendelea kupigania ndoto zako, hii interview ni kwa ajili yako.๐Ÿ—“๏ธ Kesho ๐ŸŽ™๏ธ Host: Micky ๐Ÿ‘ค Guest: Godfrey Dismas (Founder, LyGoMedia)Usikose! Kuna kitu kinaweza kubadilisha mtazamo wako.#LyGoSpotlight #LyGoMedia #BeInspired #InspireOthers #Motivation Hope SuccessJourney Tanzania CreativeJourney by @lygomedia_
3
a month ago
Download
๐ŸŽ™๏ธ JE, NI NINI KINACHOWAFANYA BAADHI YA WANAFUNZI WA VYUO KUWA NA MASPONSOR?Katika mahojiano haya, mwanafunzi wa chuo anazungumzia baadhi ya sababu zinazotajwa mara kwa mara kuhusu uwepo wa mahusiano kati ya wanafunzi na watu wazima wenye uwezo wa kifedha, maarufu kama "masponsor". Miongoni mwa sababu zinazotajwa ni changamoto za kifedha, gharama za maisha ya chuo, shinikizo la kuendana na maisha ya kisasa, pamoja na hamu ya kupata mahitaji na vitu ambavyo wengine huenda wasingeweza kuvipata kwa urahisi.Suala hili limeendelea kuwa mjadala mkubwa katika jamii, huku watu wakilitazama kwa mitazamo tofauti. Wapo wanaoamini kuwa hali ngumu za maisha ndiyo chanzo kikuu, huku wengine wakiona kuwa maamuzi binafsi na ushawishi wa mazingira pia vina nafasi kubwa.Je, wewe una maoni gani kuhusu jambo hili? Unadhani ni sababu zipi hasa zinazowasukuma baadhi ya wanafunzi kuingia katika mahusiano ya aina hii?Tazama mahojiano haya, sikiliza maoni ya mwanafunzi huyu, kisha shiriki mtazamo wako kwenye sehemu ya maoni.๐Ÿ‘‡ Tuambie unafikiria nini kuhusu suala hili.#LyGoMedia #CampusLife #Mahojiano #YouthVoices #UniversityLife StudentLife Tanzania CampusTalk Discussion TrendingTopics by @lygomedia_
5
a month ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up