Instagram story viewer> @lygrobeiby> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
HAPPY BIRTHDAY TO ME🥂🎂 by @lygrobeiby
3
3 years ago
Download
daaah I MISS YOU MAMA😭😭 by @lygrobeiby
4
4 years ago
Download
Nakumiss sana mom unajua kihasi gani ulikuwa nguzo yangu sijawahi acha kukukumbuka tokea ufariki ndo nimejua nin maana ya kuteseka na hiyo ndo tunait ukuaji nakuwa mpweke mpaka nakuwa napiga namba yako na hakiwa wakuwez kuijibu🕊🕊zaidi tu naambiwa nijaribu badae wakati najua haitawezekana unaishi ndani ya moyo wangu mom❤ yote ulinifundisha ila ulisahau kunifundisha nawezaje kuishi bila wew pain Mungu ndiye anaepanga kilakit kwenye haya maisha utabaki kuwa mpendwa wangu wakwanz na wengine watafata uliniachia nguvu na baraka tele pale uliponifia mikononi mwangu kwa ujasiri nilijikaza na kujiambia naweza nyota yako ipo na mim kilamuda na unanilinda....nilitaman tu nikuone pale hosprital hasubuh mchana na jioni kama nilivyokuwa nakuja bila kuchoka😭

siku unarusiwa sikuwa hata na mia yakukutoa niliangaika na uongozi wa hospitali tokea hasubuh mpaka saa12 jioni nikiwa sijala chochote sikuweza kukat tamaa maana nilijua nin natafuta kwenye maisha yangu..😓

nilifanikiwa kukuleta nyumban kwa tabu sana na mpaka dakika ya mwisho ulijitahid sana kunitia moyo na kunipa nguvu kwamba utapona na utaendelea na kazi zako kumbe ulikuwa unanipa matarajio pasipo na uwakika🕊🕊

ilipofika ijumaa ya tarehe12 mwezi wa2 2021 ulikuwa unacheka na mim vizur na kuniachia majukumu yakuwaangalia wadogozangu nikajua nitaendelea kuwa na wewe kumbe ndo ulikuw unaniaga kiaina flani hiv😭

sijakamilika katika haya maisha ila uwepo wako ulkuwa faraja sana kwangu na familia nzima ulikuwa mpambanaji sana mama nakuwa nakuota na kukuwaza kilamda....😭😭

kunavitu ambavyo sitakaa nivisahau kwnyemaisha yangu ikiwemo saa 21: dakika38 kilima cha kwa mrefu ulikata roho mikononi mwangu huku nakutazama😭😭 daah kunamaisha na hayo ndo yatakuwa historia yangu kwa wajukuu zako kwa badae

yoyo na yote nasema asante Mungu kwa ukuu na uweza wako maan wew ndo mpangaji wa kilakitu mim mwanadamu nawaza milioni lakin wew unawaza sifuri sitaki kukufuru ila Mungu umenipa jaribu ambalo unajua naliweza🙏🙏

vita umeipiga mwendo umeumaliza nenda salama pumzika kwa amani RAHA YA MILELE UMPE EEH BWANA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI🕊🕊

R.I.P MOM ur daughter lovie's you so much❤❤ by @lygrobeiby
4
3 years ago
Download
Shabani madobe by @lygrobeiby
0
2 years ago
Download
Happy new year Mungu amenipendelea tenaa🙏👊 by @lygrobeiby
0
2 years ago
Download
Sababu za Mungu🙏🙏 by @lygrobeiby
0
2 years ago
Download
DECEMBER TO REMEMBER TUMETOBOA🙏🙏 by @lygrobeiby
0
2 years ago
Download
Happy birthday to me age with grace forever🎂🎂🎂 by @lygrobeiby
6
2 years ago
Download
Eeh @whozu_ na @officialzuchu mmeuwa sana kwenye hili ngoma yani imekaa kibabeeee nyimbo yangu ya mwaka😘😘😘 by @lygrobeiby
1
2 years ago
Download
 by @lygrobeiby
0
2 years ago
Download
happy birthday to  you my beautifull sister🎂🎂 enjoy ur day😘😘❤❤ by @lygrobeiby
2
2 years ago
Download
KUNA MUDA HUWA NATAFAKARI JINSI GANI YAKUISHI HAYA MAISHA ILA NAKOSA CHAKUFANYA NABAKI KUMSHUKURU MUNGU KWA MATENDO YAKE MAKUU ANAYONITENDEA SIO KWAMBA NI MWEMA KULIKO WEWE AU YULE ILA KUNAUPENDELEO MUNGU ANANIFANYIA TRUST IN GOD🙏🙏 taken in Masaki, Dar Es Salaam, Tanzania by @lygrobeiby
0
2 years ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up