Instagram story viewer> @mafolebaraka> Posts
71.6K
followers
4100
following
Techprenuer, digital jobs consultant, Marketing expert.
[email protected]
Building @remotika_africa @mshahara_co @curasa_co @mshiko_app
POSTS STORIES REELS TAGGED
Link kwenye bio taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mafolebaraka
2
a month ago
Download
Mara kadhaa nimekuwa nikipokea dm kutoka kwa watu mbalimbali wakitaka consultation call kutoka kwangu.

Rasmi sasa nimefungua  dirisha la watu wanaohitaji kufanya consultation call na mimi, kwa sasa consultation na mimi ni kupitia online pekee.

Unaweza kubook kupitia liinks.co/mafolebaraka taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mafolebaraka
10
a month ago
Download
Ambao mna kampuni na mnataka kutangaza kupitia link in bio yangu hii ndio fursa adhimu ya kutangaza biashara zenu hapo.

Bei

Link ya biashara yako kukaa kwa siku: Tsh 200,000
Link ya biashara yako kukaa kwa wiki : Tsh 500,000
Link ya biashara yako kukaa kwa wiki mbili: Tsh 700,000
Link yako kukaa kwa mwezi: Tsh 1000,000

Wasiliana nami kupitia namba ya whatsapp 0687360065 ama email partnerships@mafolebaraka.com

NB: Tunafanyia kazi utaratibu wa kubid … taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mafolebaraka
3
a month ago
Download
Kila kitu Omary ameimba humu 🧎‍♂️‍➡️ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mafolebaraka
11
16 hours ago
Download
My sister @lyimoupendo  ameshinda UN Climate AI award 2026 kupitia startup yake ya @climaid_tz .

Award hizo zimetolewa huko Phnom Penh, Cambodia.

Kama mwanafamilia ningependa kutuma pongezi kupitia ukurasa wangu na nyie watanzania wenzangu mnaweza kumpongeza kwa kufollow page yake binafsi na ya startup @climaid_tz .

Kwetu taratibu tunaanza kupambana na AI😂😂🥂🎉🔥 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mafolebaraka
4
2 days ago
Download
AI imerahisisha mambo na kuyafanya kuwa rahisi na sasa tech bros wanaweza kutengeneza apps kali na kutengeneza mikakati ya marketing kwa urahisi.

With AI giving them the same result wameanza kugundua having technical skills isn’t enough kutengeneza product na kuifanya iwe successful sokoni.

Do tou agree na nilichokisema? taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mafolebaraka
14
2 days ago
Download
Natamabi watu wangejua matumizi ya AI outside kuchat na Claude na Chat Gpt.

Most of hizi AI tools tunazoziona zina usercase nyingi sana na for you to benefit nayo inabidi uende beyond hapo.

Don’t do the same mistake our parent did wakati internet inangingia.

Kuwa familiar na all potentials za AI plus fanya wanao na familia yako wawe familiar nayo tu.

Unatumia AI kufanya nini? taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mafolebaraka
12
2 days ago
Download
Wazee kuleni hela za wazungu tu, muhimu tulipize kisasi walichotufanyia kwenye ukoloni.

Pitia pitia kwenye comment hapo utamuona

Hii kazi imepostiwa kwenye website ya @mshahara_co taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mafolebaraka
31
3 days ago
Download
 by @mafolebaraka
7
3 days ago
Download
Hii kazi tuliiposti kwenye website ya @mshahara_co  na kuna jamaa yuko Tanzania ameipata.

$50 ya haraka haraka.

Tembelea www.mshahara.co sasa na uiapply taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mafolebaraka
16
3 days ago
Download
Unatafuta kazi? Then jifunze AI na hili sio ombi tena ni suala la lazima.

Hili nimejifunza wakati natafuta kazi na btw kujua AI sio kujua kuchat na Chatgpt ama claude ni kuweza kutengeneza AI agents/Internal tools na kufanya AI automation.

Binafsi hadi sasa nimetengeneza tools mbalimbali ikiwemo for email marketing na now najitahidi nitengeneze personal manychats.

Unafikiria nini kwenye hili? taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mafolebaraka
13
3 days ago
Download
Any nominations for the best brother in the world? I’m in wakuu😂😂 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mafolebaraka
11
3 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up