Instagram story viewer> @mainfmtanzania> Posts
39.7K
followers
190
following
📡Main FM 91.7 Kigoma: Tumekufikia!
📻Kasulu-Uvinza-Buhigwe-Kibondo:91.7MHz
☎️+255677775533
POSTS STORIES REELS TAGGED
Tunawashukuru sana wafuatiliaji wetu wote kwa kuendelea kutuamini na kuwa nasi kila hatua. ❤️

Tumefikisha WATAZAMAJI MILIONI 1 kwenye YouTube yetu ya Main Fm Tanzania 🙌🔥

Hii ni hatua kubwa ambayo tumeifikia pamoja na nyinyi. Asanteni kwa kuendelea kutazama, kusikiliza, kushare na kutuunga mkono.

Safari inaendelea… 🚀
#RedioMoja 
#Tumekufikia 
#Youtube 
#Mainfmtanzania 
#Kigoma by @mainfmtanzania
3
a month ago
Download
#Kaatayari
#Staytuned
#TunaJamboNaWewe by @mainfmtanzania
5
2 months ago
Download
Wimbi la udanganyifu katika suala la masomo limekuwa likiongezeka. Hivyo, wazazi na walezi wanashauriwa kuwa makini na kuwatafutia watoto wao maeneo ya masomo yenye utulivu, usalama na mazingira rafiki kwa kujifunza

Sikiliza MAIN FM kupitia 91.7 Mhz Kigoma, Kasulu, Uvinza, Buhigwe.

Pia tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii, Instagram, Facebook, TikTok, na Youtube @mainfmtanzania pia tusikilize kupitia www.mainfm.co.tz pia Radio Box na Radio Garden tafuta Main FM

Fuatilia Youtube Chaneli Yetu ya Main FM Tanzania
#trending #viral #instagram #explorepage by @mainfmtanzania
0
34 minutes ago
Download
#MICHEZO: "Kuna namna wachezaji Wazawa hawapewi heshima kama wanayopewa wachezaji wa Kigeni"

@mainpesalotto @mainpesalotto

Sikiliza MAIN FM kupitia 91.7 Mhz Kigoma, Kasulu, Uvinza, Buhigwe.

Pia tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii, Instagram, Facebook, TikTok, na Youtube @mainfmtanzania pia tusikilize kupitia www.mainfm.co.tz pia Radio Box na Radio Garden tafuta Main FM

Fuatilia Youtube Chaneli Yetu ya Main FM Tanzania
#trending #viral #instagram #explorepage by @mainfmtanzania
0
12 hours ago
Download
#MICHEZO: Msemaji wa Mashujaa FC Steven Ndorobo amesema mchezo dhidi ya Azam FC utakuwa mchezo wa kurejesha heshima ya Klabu ya Mashujaa baada ya kuchezea kichapo cha goli 6_1 dhidi ya Simba.

Mashujaa inajiandaa kucheza mchezo wake wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kipigwa Oktoba 24, 2026 katika uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.

@mainpesalotto @mainpesalotto

Sikiliza MAIN FM kupitia 91.7 Mhz Kigoma, Kasulu, Uvinza, Buhigwe.

Pia tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii, Instagram, Facebook, TikTok, na Youtube @mainfmtanzania pia tusikilize kupitia www.mainfm.co.tz pia Radio Box na Radio Garden tafuta Main FM

Fuatilia Youtube Chaneli Yetu ya Main FM Tanzania
#trending #viral #instagram #explorepage by @mainfmtanzania
1
12 hours ago
Download
#HABARI: Hali ya Usafiri na usafirishaji katika kata za Mwilamvya na Kimobwa zilizopo Halmashauri ya Mji wa Kasulu, Mkoani Kigoma imeendelea kuimarika kufuatia ujenzi wa barabara inayounganisha kata hizo, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa miradi ya Kata.

Wakizungumzia utekelezaji wa mradi huo wa barabara, Wananchi wa Kata ya Mwilamvya wamesema kuwa kukamilika kwa barabara hiyo kutasaidia kurahisisha usafirishaji wa mazao kutoka shambani, sambamba na kutatua changamoto ya usafiri katika kata hizo.

Kwa upande wake, Diwani wa Kata ya Mwilamvya, Emmanuel Gamuye amesema kuwa barabara hiyo itafungua mitaa kwa baadhi ya wananchi ambao makazi yao yalikuwa hayafikiki kwa urahisi, sambamba na kurahisisha shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi, huku akiwataka wananchi ambao barabara imepita katika maeneo ya mashamba yao kuendelea kuwa watulivu kwani ujenzi wa barabara hiyo ni sehemu ya maendeleo kwa wananchi.

Nae, Kaimu Afisa Mtendaji wa Kata ya Mwilamvya, Idd Emmanuel Daud ameeleza kuwa kukamilika kwa barabara hiyo kutarahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii baina ya kata hizo mbili, ambapo wananchi watakuwa na uwezo wa kuingia na kutoka katika kata hizo kwa urahisi zaidi kufuata huduma hizo.

@mainpesalotto @mainpesalotto

Sikiliza MAIN FM kupitia 91.7 Mhz Kigoma, Kasulu, Uvinza, Buhigwe.

Pia tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii, Instagram, Facebook, TikTok, na Youtube @mainfmtanzania pia tusikilize kupitia www.mainfm.co.tz pia Radio Box na Radio Garden tafuta Main FM

Fuatilia Youtube Chaneli Yetu ya Main FM Tanzania
#trending #viral #instagram #explorepage by @mainfmtanzania
1
13 hours ago
Download
#Mainfmcup2026: Airport Parking wamesemema wako tayari kukabiliana na Maweni Parking katika mchezo wa Main Fm Cup utakaopigwa Jumamosi hii.

Powered by;
@mainpesalotto @oryxenergiestanzania @tanesco_official_page @takukuru.tz
@sunsetvistahotel_ @nhiftz @kilahumbakivumu @puntaprotanzania @tunza_dunia @vijanakazi_furniture

#trending #viral #kigomainacheza #mainfmcup2026 by @mainfmtanzania
1
16 hours ago
Download
#HABARI: "Kama kuna kitu Mwalimu Nyerere alikipambani ni Amani ya nchi yetu alikuwa tayari kukosana na kila mmoja ili amani ya nchi idumu" Mwananchi

@mainpesalotto @mainpesalotto

Sikiliza MAIN FM kupitia 91.7 Mhz Kigoma, Kasulu, Uvinza, Buhigwe.

Pia tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii, Instagram, Facebook, TikTok, na Youtube @mainfmtanzania pia tusikilize kupitia www.mainfm.co.tz pia Radio Box na Radio Garden tafuta Main FM

Fuatilia Youtube Chaneli Yetu ya Main FM Tanzania
#trending #viral #instagram #explorepage by @mainfmtanzania
1
16 hours ago
Download
#BURUDANI: Watanzania wamejitokeza kwa wingi kumpokea kwa shangwe na bashasha Rosemary Uisso, maarufu kama Rose Uisso (@rossie__.uisso), aliyekuwa nchini Thailand kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya Miss Global 2026.

Katika mashindano hayo, Rose Uisso alifanikiwa kuingia katika Top 12, hatua inayoonesha juhudi na umahiri wake katika kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye jukwaa la kimataifa.

Mbali na mafanikio hayo, Rose aliibuka mshindi wa tuzo ya Best Costume, akiiwakilisha Tanzania kwa fahari kupitia vazi lake lililovutia katika mashindano hayo.

Mapokezi hayo ya furaha yanaonesha upendo na pongezi za Watanzania kwa Rose Uisso kwa kuitangaza nchi na kuipa heshima Tanzania katika mashindano hayo ya kimataifa.

@mainpesalotto @mainpesalotto

Sikiliza MAIN FM kupitia 91.7 Mhz Kigoma, Kasulu, Uvinza, Buhigwe.

Pia tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii, Instagram, Facebook, TikTok, na Youtube @mainfmtanzania pia tusikilize kupitia www.mainfm.co.tz pia Radio Box na Radio Garden tafuta Main FM

Fuatilia Youtube Chaneli Yetu ya Main FM Tanzania
#trending #viral #instagram #explorepage by @mainfmtanzania
0
17 hours ago
Download
#BURUDANI: Shyare Andrade amerejea nchini Ecuador akiwa na mataji mawili aliyoyatwaa katika mashindano ya urembo, yakiwemo tuzo ya Country Power of the Year na nafasi ya First Runner-Up katika mashindano ya Miss Grand International 2026.

Mrembo huyo amepokelewa kwa shangwe na furaha katika Uwanja wa Ndege wa Guayaquil, huku mashabiki wake wakisubiri kwa hamu kukutana naye kesho katika hafla maalumu ya Meet & Greet.

@mainpesalotto @mainpesalotto

Sikiliza MAIN FM kupitia 91.7 Mhz Kigoma, Kasulu, Uvinza, Buhigwe.

Pia tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii, Instagram, Facebook, TikTok, na Youtube @mainfmtanzania pia tusikilize kupitia www.mainfm.co.tz pia Radio Box na Radio Garden tafuta Main FM

Fuatilia Youtube Chaneli Yetu ya Main FM Tanzania
#trending #viral #instagram #explorepage by @mainfmtanzania
0
18 hours ago
Download
#HABARI: Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ameagiza kuanza mara moja kwa utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Msimba, unaotarajiwa kunufaisha zaidi ya wakazi 26,000 wa maeneo ya Msimba, Kasaka na Kazegunga mkoani Kigoma.

Mradi huo unaosimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Kigoma (KUWASA), unatarajiwa kugharimu shilingi bilioni 2.08. Kwa mujibu wa mkataba, utekelezaji wake ulipaswa kuanza mwezi Desemba 2024, hata hivyo, hadi sasa mradi huo ulikuwa bado haujaanza kutekelezwa.

Utekelezaji wa mradi huo utahusisha ujenzi wa tenki la kuhifadhi maji lenye ujazo wa mita za ujazo 1,000, ujenzi wa kituo cha kusukuma maji pamoja na ulazaji wa mabomba yenye urefu wa kilomita 7.5.

Mradi huo unatarajiwa kuboresha upatikanaji wa maji kwa wakazi wa maeneo hayo kwa kuongeza upatikanaji wa huduma hiyo kutoka siku mbili hadi siku tano kwa wiki, hatua itakayosaidia kupunguza changamoto ya maji kwa zaidi ya asilimia 90 katika maeneo yatakayonufaika.

Utekelezaji wa mradi huo unatarajiwa kuwa mkombozi kwa wakazi wa Msimba, Kasaka na Kazegunga, ambao wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji, na hivyo kuboresha hali ya maisha pamoja na huduma za kijamii na kiuchumi katika maeneo hayo.

@mainpesalotto @mainpesalotto

Sikiliza MAIN FM kupitia 91.7 Mhz Kigoma, Kasulu, Uvinza, Buhigwe.

Pia tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii, Instagram, Facebook, TikTok, na Youtube @mainfmtanzania pia tusikilize kupitia www.mainfm.co.tz pia Radio Box na Radio Garden tafuta Main FM

Fuatilia Youtube Chaneli Yetu ya Main FM Tanzania
#trending #viral #instagram #explorepage by @mainfmtanzania
0
18 hours ago
Download
Zingatia Mtandao wa Viwango💛💙 
Jiunge na mtandao wenye: 
🔹 Minara 4,900+ nchi nzima 
🔹 Minara 1,000+ zaidi ya mtandao mwingine wowote. 
🔹 Minara takribani 25% zaidi ya wengine.
Sisi ni mshirika wako wa kuaminika katika kila hatua ya mafanikio yako. @yastanzania_  #ZingatiaMtandaoWaViwango 
#YasTanzania by @mainfmtanzania
0
19 hours ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up