Instagram story viewer> @mandoplus_> Posts
46.4K
followers
0
following
Recap Entertainment | Recap Sports | Recap Movie | Recap Fashion | Recap Lifestyle
POSTS STORIES REELS TAGGED
SUMA MNAZALETI UMEMKOSEA ALIKIBA NA UMEMKOSEA DIAMOND, KUNA MAISHA BAADA KUTOKA KWA DIAMOND ISIWE CHUKI IWE KUJENGA

Kwa Upande wangu najua Diamond anamuheshimu sana Alikiba, Watu wake wanaweza wakawafanyq mashabiki wakahisi inawezekana wanatakani kwenye muziki awepo Diamond pekee yake.

Maisha ni Upendo, wasanii waliofanikiwa huwa wanashirikiana na ndio mana Diamond anashirikiana na wengine kama Jux, Alikiba nae ana wasanii anaoshirikiana nao.

Kushirikiana na wengine sidhani ni kwa lengo la kumshambulia Diamond, Tuwaheshima hawa wasanii wamefanya makubwa sanaa.

Mfano mzuri Suma wewe umeshindwa kufanya muziki ila kuna hao Alikiba, Diamond, Harmonize, Rayvanny na wengine wao wameweza jiulize wamewezaje na wewe umeshindwaje?? Maana yake wanatumia muda sana kutengeneza BRAND zao ambao zinatakiwa kuheshimiwa. by @mandoplus_
131
an hour ago
Download
ALIKIBA, HARMONIZE , RAYVANNY WALIVYONOGESHA BASKETBALL, ARENA IKIJENGWA KIKAPU ITAKUWA NA NGUVU KAMA FOOTBALL

Nimependa namna mastaa wa Bongo wanavyojitoa kwenye Michezo Tanzania kwa Sasa, Jana mastaa kama Alikiba, Harmonize, Rayvanny na wengine wamejitokeza BDL

@darcitybasketball dhidi ya @steinwarriors_basketball mchezo ulipewa heshima na Makamu wa Rais na Viongozi wengine kwa kuutazama live IST

Hongereni @darcitybasketball Rais wao @mzenjiii by @mandoplus_
12
2 hours ago
Download
T TOUCH SHIKILIA HAPO HAPO S2KIZZY NDIO UPEPO WAKO WATAKUSAHAU USISUBIRI MTU AKUAIFIE, NGOMA NA BILLNASS ILIKUWA MPANGO

Hii ngoma ya Nenga na Touch kwangu mimi ulikuwa mpango na wala T Touch hahakurupuka, inshu yake na Zombie anatakiwa asiache kumponda maana watu watamsahau by @mandoplus_
46
3 hours ago
Download
EP YA 4AIDE OF LOVE YA JOHNS BM IMESHIKA NAFASI YA 7 BONGO🙌

Hongera my brother @johns_bm endelea ku-push mzee wangu by @mandoplus_
5
3 hours ago
Download
DAR CITY MPAKA INDIA 🙌 HAWA CONTENT CREATOR KUTOKA INDIA WALIVYOKUTANA NA MZENJI NA KUMPATIA ZAWADI

Hawa hapa Content Creator wakubwa kutoka India @iishaansahu m_s_kamdar wakiwa na mwenzake walivyohudhuria Mchezo wa Fainali wa Basketball na kumpatia Zawadi mmiliki wa @darcitybasketball @mzenjiii by @mandoplus_
6
4 hours ago
Download
DAR CITY WALIVYOKQBIDHIWA KOMBE LAO NA MHE. MAKAMU WA RAIS by @mandoplus_
3
17 hours ago
Download
ALIKIBA AKISALIMIANA NA WAJINA WAKE ALLY PG MCHEZAJI WA DAR CITY BAADA YA KUTWA UBINGWA.

Huyu hapa Mchezaji wa @darcitybasketball @officialpg_ally akisalimiana pamoja na mastaa mbalimbali akiwemo @rayvanny @harmonize_tz @zechicharito1 na wengine baada ya Mchezo wao na kutwa Ubingwa wa Mkoa wa Dar Es Salaam

Cameraman ndio mimi hapa Wajina wake El MANDO😂 by @mandoplus_
31
17 hours ago
Download
DAR CITY MABINGWA WA MKOA WA DAR ES SALAAM MSIMU WA PILI MFULULIZO by @mandoplus_
0
17 hours ago
Download
SHOW YA BIEN IMECHAPWA LIVE UWANJA WA BASKTEBALL MASAKI DAR ES SALAAM MBELE YA AKINA ALIKIBA, HATMONIZE NA RAYVANNY by @mandoplus_
7
18 hours ago
Download
ALIKIBA NA BIEN WATUMBUIZA WIMBO WAO WA FINALE MBELE YA MAKAMU WA RAIS NA WAZIRI MAKONDA MCHEZO WA DAR CITY DHIDI YA STEIN.

Kabla ya @officialalikiba kunyanyuka cheki @harmonize_tz na @rayvanny walivyokuwa wanamsukuma ananyanyuke akatumbuize by @mandoplus_
74
18 hours ago
Download
ALIKIBA ALIVYOSALIMIANA NA SALLAM SK, HARMONIZE NA RAYVANNY by @mandoplus_
140
20 hours ago
Download
MWIJAKU USO KWA USO NA OMMY DIMPOZ NA NAVY KENZO MCHEZO WA DAR CITY by @mandoplus_
6
20 hours ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up